India imeripoti kushuka kwa maambukizi ya virusi vya corona katika miji yake mikubwa miwili ya Delhi na Mumbai, inayokaliwa na zaidi ya theluthi mbili ya wakazi bilioni 1.4 wa taifa hilo.
Maambukizi mapya 326,098 yameripotiwa ndani ya saa 24 zilizopita, pamoja na vifo 3,890, ingawa wataalamu wa...