Heshima kwenu wabobezi wa mambo haya.
Naomba ushauri wenu kwenye kumiliki kati ya hizi gari mbili....ipi ni nzuri na nitaimudu?
Binafsi nafanya kazi kwenye migodi, hivo ningelipenda kuwa na usafiri ambao ntadumu nao kwa muda mrefu unless mtu afike bei na kunivua.
Land Rover RangeRover Evoque...