jioni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usitegemee sana Lipa kwa Simu kwa Vodacom, Wakati wa Jioni! Utadhalilika

    Voda Voda Voda!! Inakuwaje kila ikifika jioni huduma za Mpesa zenu hazipatikani? Hili ni tatizo almost mwezi mzima sasa. Kila ikifika saa Moja jioni. Huwezi kufanya Malipo yoyote kwa Lipa Namba ya Voda. Nawahama!!! Vodacom Tanzania
  2. LIVE Yanga SC 3-1 Coastal Union | CRDB Federation Cup | 12.03.2025 | KMC Complex | 10:00 Jioni

    Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP, YOUNG AFRICANS SC watakuwa dimbani leo majira ya saa 10kamili jioni,wakimenyana vikali na Coastal Union ya Tanga. Timu ipi kusonga hatua inayofuata katika mashindano haya? Ambatana nami mwanzo hadi mwisho kukuletea updates/yanayojiri moja...
  3. Jioni ya leo Namungo dhidi ya Simba ni mechi safi isiyo na makando makando huwezi tabiri mshindi kabla ya mechi

    Tukashuhudie mechi ya ligi kuu NBC kweli isiyo na mipango twendeni tukaone mechi kikosi vikipangwa bila maelekezo toka kwa wamiliki wa timu ....Hata simba akishinda huwa anapata point halali za jasho na damu wachezaji wana henyeka hii inawasaidia sana simba kwenye mashindano ya caf ,kufanya...
  4. DC wa ILALA Asubuhi kaja na "HALA BI MKUBWA" akishirikiana na Mwijaku, Jioni anakuja na CCTV za zaidi ya Million 500 !!

    Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 . Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi? Sawa ni Cameras, kuwepo na Center ya uchakataji wa Taarifa , bado Milioni 500? Jamaa anakula na Kupuliza. sOMA: Pre...
  5. FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

    Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
  6. S

    Salim Kikeke kufanya mahojiano na Mbowe kuanzia saa 12 jioni ya leo

    Hii ndio habari nimeona mtandaoni jioni hii: Mahojiano yatakuwa live kupitia YouTube. https://www.youtube.com/watch?v=PjKQHmASvCM
  7. Sisi Wasabato tunasherehekea Mwaka Mpya saa kumi na mbili jioni

    Sisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia. Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia Heri ya Mwaka mpya 2025
  8. Jioni ya leo tunakwenda kushuhudia yanga akicheza na tawi lake tusubirie mchezo mbovu na upangaji mbaya wa kikosi mechi isiyo na upinzani!

    Fouintain gate ni singida big stars ya mwigulu nchemba doto ya singida black stars hili nalo ni tawi jingine la yanga wala hawezi pata upinzani ni maelekezo na simu moja kutoka kwa mwenye timu hivyo ni yanga kijizolea point na kocha kupanga kikosi cha wachezaji wa akiba tutegemee magoli ya...
  9. Leo jioni CCM Liti tunakwenda kushuhudia game bora ya msimu kati ya Simba na Yanga B

    Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wawe makini wanakwenda kuhujumiwa kwa kutiwa majeraha ili...
  10. Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dakika za jioni dhidi ya JKT Tanzania

    1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote. 2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya utoto dakika za mwisho ( inawezekana ni mwanafamilia wa Simba). 3. Joshua mutale apewe mapumziko na...
  11. Machache yaliyoonekana Simba ikishinda dakika za jioni dhidi ya CS Sfaxien

    1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile. 2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la pumzi kwa wachezaji , mara nyingi inataka kuanzia dk ya 60 nakuendelea. 3. Yusuph Kagoma ni kiungo...
  12. Kibu Denis aibuka shujaa kwa Mkapa, CS Sfaxien wapagawa na kumpiga Refa dakika za jioni

  13. Bunge la Ufaransa lafanya kikao jioni hii na baadae kupiga kura kumuondoa waziri mkuu Michelle Barnier

    Waziri Mkuu wa Ufaransa Michel Barnier ambae yupo njiani kurejea Ufaransa kutoka katika ziara nchini Saudi Arabia, anatarajiwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge la nchi hiyo na hivyo kuipundua serikali yake. Vyama vya upinzani nchini Ufaransa vikiongozwa na Maria Le Pen muda huu...
  14. Mjadala Mzito: Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki (Leo Kwenye Space 04 Dec 2024 19:00 East Africa )

    Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki Sote tunakaribishwa: https://x.com/i/spaces/1OwGWNkRORVKQ/peek Wazungumzaji nguli watakuwepo. Mnakaribishwa na kutakuwa na Live Update hap JF:
  15. SI KWELI Jua tunaloliona nyakati za mawio na machweo sio jua halisi

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii situation ikijadiliwa kuwa wakati wa mawio hadi kufikia mida ya saa 2 na pia mida ya kuanzia saa 12 kasoro mpaka jua linapochwaa, hilo jua tunaloliona si jua halisi. Ni taswira tu Kuna ukweli wowote kwenye hili?
  16. Sijaamini hadi nilivyoona vijana wamejiajiri kubet. Anashinda kibandani na mikeka hadi jioni

    Dunia imekwisha. Vijana hawafanyi chochote zaidi ya kushinda kubet Jijini Dar es salaam ndio kazi anakula analiwa jioni anarejea na unga na dagaa
  17. H

    KERO Wembamba wa barabara za kutoka Jiji la Arusha huleta foleni kubwa mida ya jioni

    Kwanza nimpongeze sana mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa jitihada zake za kusaidia wananchi; Naamini na hili lipo kwenye mpango kazi wake ila kwa kuchangia tu; Kuna vipande vitatu vya Barabara VIFUPI KABISA ila vina sababisha jiji la ARUSHA lisimame Asubuhi na jioni... 1. Ukitoka mnara wa Saa...
  18. TANESCO: Nunueni umeme mapema kabla ya saa 5:59 jioni

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00 usiku. wakati wa maboresho hayo, wateja hawataweza kununua umeme kwa muda wa saa 3, hivyo wananchi...
  19. Tanga: Magari mawili ya mizigo yamegongana na kuwaka moto jioni ya leo

    Magari mawili ya mizigo (Semi-trailer), yamegongana na kuwaka moto jioni ya leo October 20,2024 katika barabara kuu ya Tanga- Dar es salaam eneo la Kwedikwazu Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambapo inahofiwa kuwa baadhi ya Watu wamepata madhara ikiwemo Madereva wa magari hayo. Taarifa zinasema...
  20. Habari ya jioni.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…