kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna 10,000(elfu 10) cash kabla ya saa 06:00 asubuhi kwa atakayeonesha picha full nyumba yenye paa hili

    Hii picha inatrend sana hasa Tanzania ikizungumziwa masuala ya mvua na mafuriko. Naomba picha hii ikiwa full. Yaani nyumba full. Kuna 10,000/= cash kabla ya saa 06:00 asubuhi. Nipe picha ya hii nyumba ikiwa full na paa lake hili linaloonekana kama lilivyo Karibuni kwenye mpambano. 10,000...
  2. Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

    Haya fungukeni wapendwa
  3. Je, kwa kisa hiki kijana alipaswa kumwambia mchumba wake kabla ya kumuoa kuwa ana mahusiano mengine?

    Hiki ni kisa cha kweli kimetokea mtaa jirani, je mwanaume alikuwa sahihi kutoa talaka? Iko hivi baada ya kijana kuhangaika kutafuta maisha kijijini aliamua kuzama mjini kusayasaka maisha hata hivyo haikuwa rahisi ikabidi azame kwa Jimama mwenye pesa. Aliishi na huyu Jimama zaidi ya miaka 10...
  4. Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

    Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani. Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa...
  5. Tafuta taarifa sahihi ya chama au mgombea kabla ya kuamua kumchagua

    Uchaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi wanaowaongoza. Hata hivyo, ili kufanya maamuzi ya busara na yenye tija, ni lazima wananchi wapate taarifa sahihi kuhusu vyama vya siasa na wagombea wao. Taarifa sahihi hapa inamaanisha habari...
  6. Kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi au sio dhambi?

    Binafsi siri ya kuwa mtu makini na mwenye misimamo yangu binafsi ni baada ya kugundua taarifa nyingi ambazo watu wanazibeba kuwa ndio kweli mara nyingi si si za kweli. Wrong information Unakuwa mjinga na mtumwa bila kujijua. Nina swali, mnipe majibu kupitia Biblia ambayo na mm nimeisoma...
  7. Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara

    Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara, Utafiti unaonyesha biashara mpya zinafeli ndani ya miaka 2 tu kwahiyo vijana mnaomaliza vyuo wakati mwingine ni kheri kwanza ukatafuta kazi kuliko kukimbilia biashara maana wengi wao wanakuwa awajakomaa kwenye eneo hilo na kuna...
  8. Ule umeme wa kabla ya JKNHP nao uko wapi?

    Haya ni mateso makubwa sasa tunayopitia Watanzania! Tunaishi utadhani tupo kuzimu? Ndugu Watanzania ninayo mengi sana kifuani kuwahusu wizara hii ya Nishati na uongozi wa awamu hii inayoshindwa kila kukicha, Nashindwa kuyaandika, Kila nikiandika nafuta , nimeona niulize swali kwa Wizara! Ule...
  9. Waziri wa Maji Jumaa Aweso asisitiza Mamlaka za Maji nchini, kufunga mita za malipo ya kabla

    WAZIRI AWESO ASISITIZA UTEKELEZAJI AGIZO LA RAIS KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI Ahimiza ufungaji wa mita za malipo ya kabla Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesisitiza Mamlaka za Maji Nchini ikiwemo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha agizo la Mhe...
  10. Mwanaume kabla ya kuoa fanya hivi itakusaidia sana.

    Moja kwa moja kwenye mada Nenda kwenye mahakama zinazo Dili na mambo ya ndoa jipe muda wa miezi kadhaa kusikiliza kesi zilizopo katika hizo mahakama. Pia sikiliza vizuri maamuzi ya majaji juu ya hizo kesi. Zingatia vizuri mwanaume anachukuliwaje kwenye hizo na anaonekanaje. Ukibahatika...
  11. Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Wakuu nina miezi miwili bila bila niko kwa ndoa. Niko na mashaka.
  12. Nimepandishwa cheo hapa JF Mshahara wangu utakuwaje?

    Kipindi najiunga JF nilianza na cheo cha member, hata mwisho wa mwezi haujafika tayari wamenipromote kuwa Senior Member. Je ifikapo mwisho wa mwezi ntapata mshahara wa cheo cha awali au cheo kipya? Je, madaraja ya mishahara yakoje?
  13. Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  14. CAG Kichere, kwanini uwaite wastaafu Mizigo wakati hela yao ndio imesimamisha NHIF kabla kuingia viwavi jeshi kukopeshana?

    Kwako kichele CAG Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa hawachangii. Nimesikitika kwa sababu Kichere na genge lake wanajua tatizo linalousibu mfuko limetokea...
  15. Utajuaje kama alishawahi toa mimba mfululizo kabla ya kumuoa?

    Kwa wale wenye exp UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana. KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospitalini hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana Mimba Nawaza wale wanandoa watatajiwa mtajuaje mtarajiwa ana shida hiyo?
  16. Kampuni ya vodacom mna nini mwaka huu? Nimekuwa nikipokea offer mfulululizo mfano sms hii hapa na kabla ya hapo MB kama zote.

    Najuaga hakunaga vya bure. Nimekuwa nikipokea sms za kupokea vifurushi bure. Una Dakika 20(Voda) na SMS 100 mpaka 2024-04-08 07:05:35 kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki. Kujua salio Piga *149*60#. Vigezo kuzingatiwa nimajiuliza sana kwa ile kanuni ya HAKUNA CHA BURE HAPA DUNIANI yasije...
  17. Russia imeiambia Israel iondoke Golan kabla hawaingia vitani kuwafurusha

    🇷🇺🇸🇾 Russia tells Israel the Golan Heights belong to Syria. Russian Armed Forces intensify operations in Syria, striking ISIS and expelling Israel from the Golan Heights.
  18. R

    Ushauri kuhusu mawazo yangu kabla sijampa kazi msanifu majengo

    Habari ndugu wana Jamii Forums, Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo. Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
  19. ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

    Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza. ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena. Reli ya kati na TAZARA...
  20. Viongozi: Kabla ya kuwa katika nyadhifa mbalimbali walianzia huku

    🇮🇳 Narendra Modi - Tea seller 🇺🇦 Volodymyr Zelensky - Comedian 🇦🇱 Edi Rama - Painter 🇦🇺 Tony Abbott - Trainee Priest 🇧🇬 Boiko Borisov - Bodyguard 🇨🇦 Justin Trudeau - Bouncer 🇨🇦 Stephen Harper - Mailroom Assitant 🇭🇷 Ivo Josipovic - Music Composer 🇫🇷 Nicolas Sarkozy - Cleaner 🇬🇹 Jimmy Morales -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…