Habari zenu wadau, naomba kuuliza kama kuna mtu amefanya usaili wa kuandika hivi karibuni PSRS kada ya Tutorial Assiatant kwa huu mfumo mpya, je usaili unafanyika kwa computer kama wengine? mfano watumishi wa afya kama tulivyoona hivi karibu au kada Tutorial Assistant imebaki kama zamani, asante.