kadogosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siku chache baada ya Waziri Kadogosa kutoa maelekezo, Mitambo 41 yarejeshwa katika Mradi wa Iringa Bypass

    Agizo lililotolewa na Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, mwezi Oktoba 2026, mkoani Shinyanga, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Msalala, wilayani Kahama, limeanza kutekelezwa baada ya vifaa na mitambo ya ujenzi kuanza kurejeshwa katika maeneo ya miradi husika, hatua inayolenga kuhakikisha...
  2. JamiiForums Tanzania HOJA Tozo za barabara: Waziri Kadogosa fikiria vizuri kuhusu hii kauli yako

    Wakuu, Kuna masuala ya kiuchumi yanayopaswa kujadiliwa kwa kina kabla ya Serikali kuamua kuongeza tozo nyingine kwa wananchi. Kauli ya Waziri wa Ujenzi, Eng. Massanja Kadogosa, kuhusu tozo za barabara inapaswa kutufanya tujiulize maswali muhimu: Je, Serikali imeshindwa kuongeza ufanisi katika...
  3. JamiiForums Tanzania Kadogosa: Tutaanzisha tozo za barabara, watu walipie matumizi yake

    Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amesema Serikali inaweza kuanzisha tozo za matumizi ya barabara na madaraja ili kukabiliana na mahitaji makubwa ya matengenezo na kuhimili athari za ongezeko la matumizi ya miundombinu hiyo. Kadogosa ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2026, wakati akizungumza...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Hatuwezi kuwa na pesa za kujenga nchi nzima kwa mkupuo

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, amehoji Bungeni leo Oktoba 28, 2026, kuhusu hatma ya ujenzi wa barabara ya Mgumu–Nata inayoelekea Serengeti, akieleza kuwa inasababisha watalii kukwama wakati wa mvua. Mbunge huyo amesisitiza kuwa kwa vile Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ni...
  5. JamiiForums Tanzania Kadogosa amwambia Mkandarasi wa Barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT - Kakola kuwa hataongezewa muda, mradi ukamilike Desemba 2026

    Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amemtaka mkandarasi anayejenga barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT–Kakola yenye urefu wa kilomita 73, kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ifikapo Desemba 2026, kama ilivyoainishwa katika mkataba wa mradi huo. Kadogosa ametoa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi waziri Kadogosa umejipangaje kuhakikisha kuwa mradi wa BRT phase 4 unamalizika kabla ya kombe la mataifa ya Afrika kuanza

    Niaje waungwana Huu mradi ulianza toka miaka mitatu iliyopita, na makubaliano ilikuwa ni kuumaliza kabla ya mwaka 2025. Sasa leo tupo 2026, mradi bado unasua sua. Kinachojengwa hakijulikani, wakandarasi wenyewe maeneo mengi barabarani hawaonekani. Yani kama nchi tumeendelea kuwa zaidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mwl. Makungu amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini, kuchuana na Masanja Kadogosa

    Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu, ambaye ni Mwalimu na Mwandishi mahiri wa Makala , Mwl. Makungu Mussa Sweya, jana 2/7/2025 alichukua na kurejesha fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mwl. Makungu Ms amesema...
  8. JamiiForums Tanzania Eng. Kadogosa karibu Chato, Kalemani kapumzike sasa!

    Kadogosa umefanya makubwa Tanzania nzima kwa kuanzia SGR inawaka kama dhahabu. Karibu Jimbo la Chato utuhudumie
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Masanja Kadogosa: Umoja wetu utawezesha uchaguzi waamani na utulivu

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri mema ikiwamo kuimarisha muungano na umoja kama Taifa. Kadogosa ameyasema hayo Aprili 21, 2025 jijini Mwanza alipokuwa mgeni rasmi katika ibada ya Pasaka na maombi maalumu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mfumo wa ukataji tiketi wa SGR upo vizuri sana Mkurugenzi Kadogosa apewe maua yake

    Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana naamini hawezi kuwa mbongo pia natamani nijue wameipata kwa bei gani(Thamani anayejua atudokeze)...
  11. JamiiForums Tanzania Madai ya mkurugenzi mkuu wa TRC kuhusu watu kuhujumu treni ya SGR yanahitaji kushughulikiwa haraka

    Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai. Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa amegoma kuja JF atufafanulie uhalali wa makatazo wanayofanyiwa wasafiri wa SGR

    Wasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na Serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe ufafanuzi wa madhara ambayo TRC imeyaona ikiruhusu abiria waingie navyo kwenye treni yao tofauti na...
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TRC Kadogosa njoo JamiiForums ujibu tuhuma za kinachoendelea kwenye treni ya SGR

    Kinachoendelea kwenye makatazo kwa abiria wanaopanda treni ya SGR ni kuonesha ushamba na ulimbukeni. Hili la kukataza mifuko yenye zipu maarufu kama shangazikaja na maji ya kunywa chupa moja! Na vitu vingine visivyokuwa na athari kwa abiria wengine. Tanzania Railways Corp
  14. JamiiForums Tanzania Kadogosa, bila shaka kimkataba, wakorea waliotengeneza treni yetu wanapaswa kuwa wanatembea nayo kwa walau miaka mitatu ili kubaini mapungufu

    Sidhani kama hili halikuwekwa kwenye mkataba, kwamba waliotengeneza treni hiyo wanatakiwa kutoa warrant ya sio chini ya miaka mitatu, na pia, kwa muda walau wa mwaka, washiriki moja kwa moja pamoja na watanzania katika kuiendesha katika safari zake. Hii itasaidia kuhamisha maarifa kwa mafundi...
  15. JamiiForums Tanzania Kadogosa: Changamoto ya Vivuko kwenye reli ya SGR ipo, vitajengwa vingine hivi karibuni

    Kufuatia uwepo wa malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi ambao hasa wanapakana na maeneo ambapo inapita Reli ya SGR kudai uwepo wa umbali katika Vivuko vya kuvukia baina ya kimoja na kingine, Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amekili uwepo wa changamoto hiyo na...
  16. JamiiForums Tanzania Kadogosa: SGR inachangiza uwekezaji, viwanda zaidi ya 250 vinatarajiwa kujengwa eneo la Kwala, Kibaha

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema viwanda zaidi ya 250 vinatarajiwa kujengwa eneo la Kwala, wilayani Kibaha Mkoani Pwani, ambapo amedai hatua hiyo inachangizwa na uwepo wa Treini ya kisasa ya (SGR) inayopita karibu na eneo hilo. Kadogosa amesema kuwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

    Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃 ========= Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema bei za treni za mchongoko zitakuwa Tsh. 100,000 hadi...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imsimamishe ndugu Masanja Kadogosa kugombea urais mwakani (2025)

    Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu. Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi tajiri duniani. Kinacho kosekana kwetu ni viongozi wenye maono na wazalendo. Baada ya kumchunguza...
  19. JamiiForums Tanzania Treni Mchongoko yawasili nchini

    Seti ya kwanza ya EMU Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa ya kuwasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa seti ya kwanza ya Treni ya kisasa ya EMU, Vichwa vitano vya umeme na Mabehewa matatu ya Abiria ( iliyowasili ni seti moja ambayo kikawaida hufungwa behewa nane na vichwa viwili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…