kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    BBC media na Kanisa Katoliki

    Hivi hiki chombo cha habari cha Waangalican hakina habari za kuandika kuhusu dini duniani tofauti na za kanisa katoliki. Hiki chombo sioni kikiandika kuhusu angelican ambayo ndiyo maskani yake kabisa, au Buddha, Uislam, Tao au hata Zen n.k. Madhehebu ya dini ni mengi tu duniani lakini jamaa...
  2. Nini tofauti kati ya Roman Empire waluomsulubishq Yesu, na Kanisa Katoliki (Roman Catholic Church?)

    Wapendwa wadadavuzi na wadadisi, great thinkers, wa hapa JamiiForums na hata visitors nawasihi tuache porojo, tuzame ndani kwenye kuusaka ukweli. Hii naamini ni mada mbegu itakayo ibua mjadala mpana . Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume, Pascal Mayalla, Infantry Soldier karibuni tujadiliane.
  3. Utofauti wa Kanisa, Hekalu na Sinagogi

    Hivi karibuni kuna mtu mmoja aliuliza swali sehemu kuwa kuna utofauti gani kani ya Kanisa, Sinagogi na Hekalu? Nikagundua kuwa wengi wanasumbuliwa na swali hili, hivyo leo nimekuandalia majibu kwa ufupi tu Mungu akitupatia neema siku nyingine tutaona kwa kina, karibu. HEKALU Hekalu ni jengo...
  4. Liliishia wapi kanisa la kushea vitu la mitume?

    Kwa mujibu wa biblia, Mara baada ya yesu kuondoka duniani, kanisa la kale kabisa walitumia mali zao kwa pamoja. Yaani mfano una kiwanja chako,unauza pesa Zote unapeleka kanisani. Hapa ndio kuna kisa Cha anania ambae alikufa kwa kosa la kuweka pembeni mali yake ambayo ilipaswa kutumika na...
  5. B

    Dkt. Samizi ashiriki harambee ujenzi wa Kanisa Jimboni

    Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuwa mstari wa mbele kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo na kijamii katika Jimbo lake la Muhambwe mkoani Kigoma na wikendi hii Jumapili alishiriki misa takatifu iliyoendeshwa. Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Kigoma, Joseph Mlola kisha kushiriki...
  6. Kenya: Aliyekuwa Padri wa Kanisa Katoliki afunga ndoa baada ya kujitenga

    Father Edwin Gathang’i Waiguru spoke to the media after Sunday's ceremony Kenyan Catholic priest marries after joining splinter group An ordained Kenyan Catholic priest has taken the unusual step of getting married. In the Catholic tradition, priests are supposed to commit to a life of...
  7. Kanisa lililojaa wapalestina laripuliwa Gaza

    Baada ya hospitali maarufu kupigwa bomu hapo jana na wagonjwa na madaktari 500 kuuliwa, leo imekuwa ni zamu ya kanisa na misikiti iliyojaa wakimbizi kuripuliwa na majeshi ya Israel. Hayo yametokea huko Kusini ya Gaza watu walikotakiwa kukimbilia. Sambamba na kanisa na misikiti barabara vile...
  8. Kanisa kongwe Gaza limehifadhi Waislamu waliokimbia mabomu, limewapokea kwa upendo

    Wengi wamehojiwa na kusema kwa walivyopokewa yaani hawajaona upendo kama huo kwa muda mrefu. Hongereni sana Wakristo kwenye hilo kanisa, waonyesheni inawezekana kuishi na watu bila kuwachinja kwa jina Mungu, na kwamba dini inapaswa kuwa kitovu cha amani na utulivu..... =========================...
  9. M

    Njia rahisi ya kutoka ni kuanzisha Kanisa au Chama cha siasa

    Wakuu, Kwa utafiti niliofanya kidogo tu ni kwamba ukitaka kutoka kimaisha kwa njia rahisi na nyepesi nikuanzisha chama cha siasa au kanisa la kuondoa mapepo. Imekuwa ni rahisi sana kukusanya michango kwenye makongamano ya kiroho (fukuza pepo) au makangamano ya kisiasa kama wenzetu wa...
  10. Freeman Mbowe ahudhuria Ibada Maalum katika Kanisa la TAG Kinondoni

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni . Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe...
  11. Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

    Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo. Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa...
  12. Ubaguzi washika kasi ndani ya kanisa la Roma kama wa Afrika tufanye nini?

    Hapa ni video clip mbili zikionesha ubaguzi wa wazi kabsa kwa wenzetu ngozi nyeusi. NB: Mimi Sina dini maana dini tuliletewa tu. ♥️I love this becose we African are practicing other religions retuals. Christianity us not for us. Black man wake up.
  13. Kama una shida ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui

    Note Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia Upendo wa kweli unapimwa kwa watu usiowajua unawatreat vip usiowajua wanapohitaji msaada wako na sio unaowajua Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema...
  14. Kanisa la Anglikana linaruhusu ndoa za jinsia moja, Inakuwaje kuna watanzania wenzetu bado wanaendelea kwenda ?

    Ni tangu mwezi February mwaka huu kanisa la Anglikana lilipiga kura kufungisha na kuzibariki ndoa za jinsia moja. Nilitegemea kufikia mwezi huu makanisa ya Anglikana hapa Tanzania yawe matupu kwa sababu sisi watanzania tunayapinga mahusiano ya mwanaume kumruhusu mwanaume mwenzake kumuingiza...
  15. R

    Prof. Mahalu kutuhumiwa kwa ubaguzi akiwa kwenye taasisi ya kanisa inaleta picha gani kwa mustakabali wa Tanzania?

    Zaman tuliaminishwa kwamba Prof ni mtu msomi na mwenye uwezo mkubwa wa kutambua mema na mabaya. Leo hii profesa akiwa ndani ya taasisi ya dini ambapo tunaamini analelewa kiroho anapotuhumiwa kuwabagua binadamu na kuelekezwa wasipewe huduma hata ya chakula ni fedhea sana kwa kanisa na wasomi...
  16. Q

    Pre GE2025 Askofu Bagonza: Kanisa likijenga Shule ama Hospitali halihojiwi na Serikali, lakini likihoji mbona dawa hakuna linaambiwa lisichanganye dini na siasa

    Dkt. Benson Bagonza Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe alikuwa akihojiwa na Mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu ambaye alimuuliza " Baba Askofu ningependa nikuulize, wewe umekuwa ukitoa mawazo yako hadharani juu ya masuala ya kisiasa huwa hakuna 'contradiction' kwamba unaingiza labda Siasa...
  17. Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu. Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
  18. R

    Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali. ================== ================== Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39)...
  19. Tanzania kuna kanisa hujiungi hadi usome mwaka mzima na ufaulu mitihani

    Hili kanisa lenye makabila 12 ya Israel Wapya wa Kiroho, Kanisa la Mlima Sayuni ni kanisa pekee duniani ambalo hujungi mpaka usome mwaka mzima na kufaulu mitihani mitatu kwa ufaulu wa zaidi ya alama 95%. Maelfu wakifanya mtihani
  20. Pasco Mayalla ana vielement vya unabii afungue kanisa

    Nilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto. Nikaja kukutane nae UDSM akisoma LLB na mimi nikisoma kozi ngumu kuliko zote pale chuoni, namkumbuka akinesanesa na pikipiki lake viunga ya UDSM au Mabibo Hostel nilipokuwa naishi. Mwaka 2005 Au 2006 NIlikuwa napata lunch Hill Park...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…