kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Kijana wa UVCCM anasema bila CCM Kariakoo isingekuwepo kama ilivyo sasa, kulikuwa na vibanda vya nyasi

    Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kariakoo zamani ilikuwa na vibanda vya nyasi tu. Pia soma: Pre GE2025...
  2. A

    Kuhairishwa kwa debi ya kariakoo yachukua mlengo WA uchaguzi wa 2025 Zanzibar leo

    Bodi ya ligi yaangalia kuhairishwa kwa debi ya kariakoo
  3. Mwizi wa simu anaepigwa hapa kariakoo mda huu ni hatari sana

    Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
  4. Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025. Katika taarifa yao, Yanga imetoa pole kwa mashabiki waliokuwa wamejitokeza kushuhudia mchezo huo...
  5. F

    Usiogope kwa 200,000 mpaka 250,000 unapata fremu ya biashara kariakoo.

    Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
  6. Maoni yangu juu ya kuahirishwa kwa derby ya Kariakoo

    MAONI YANGU JUU YA KUAHIRISHWA KWA MECHI YA WATANI WA JADI KATI YA YANGA DHIDI YA SIMBA MAARUFU KAMA KARIAKOO DERBY YA TAR. 8/03/2025 Naanza kwa kuwasalimia wadau na wapenzi wa soka. Naomba nieleweke kwamba ninaandika makala hii nikiwa nimeweka ushabiki wangu pembeni. Iko hivi, yaliyotokea...
  7. Bashiri utabiri wako kuelekea Kariakoo Derby

    Tuone kipawa chako cha ubashiri. Kuelekea mchezo wa weekend hii, Yanga Vs Simba, tabiri matokeo yatakuaje. Mimi naanza Yanga 1-3 Simba, Tutakuepo
  8. Derby ya Kariakoo TFF na Bodi ya ligi lindeni mali za uwanja kwa mchezo safi.

    Asikwambie mtu bhana, Simba na Yanga ndizo timu zinazoendesha biashara ya mpira nchini; hata timu nyingine na Dar na mikoani mapato yao yanazitegemea Simba na Yanga; wadhamini wooote wanadhamini mpira kwasababu ya Simba na Yanga. Hivyo, nisingeona ajabu kama mechi zoooote zinazozihusisha Simba...
  9. Kwanini iitwe Kariakoo Derby wakati ni timu ya Simba SC pekee iliyo Kariakoo?

    Mada zangu zina kawaida ya kuwa mbele ya muda. Ukija kibishibishi muda utakuumbua. Kuna siku nilihoji uhalali wa kusema ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora Africa, wengi wakanibishia bila chanzo cha kuaminika cha hiyo ranking. Matokeo yake sasa hivi, kila mtu, kuanzia mashabiki, wachambuzi hadi...
  10. Kariakoo derby kupigwa Saa 1:15 usiku jumamosi, TFF wamezingatia kweli Usalama wa mashabiki?

    Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
  11. G

    MAONO: Kariakoo Derby

    Mechi itaisha kwa sare ya magoli.
  12. NEMC yasisitiza utunzaji wa mazingira katika Soko Kuu la Kariakoo

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu na kusisitiza suala zima la utunzaji na usimamizi wa Mazingira katika soko kuu la Kariakoo litakalokuwa linafanya kazi kwa masaa 24. Akizungumza katika Maonesho ya uzinduzi wa biashara ya saa 24 katika Soko kuu la...
  13. Masaa 24 biashara Kariakoo, hali ya usalama mitaani wanakotoka wateja inaruhusu?

    Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa. Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na taifa kwa ujumla. Usalama Kariakoo umeimarishwa kwa kufunga taa, kamera na kuwa na walinzi wa watu...
  14. Barabara ya mtaa wa swahili karibia soko la Kariakoo inamwagwa lami kwa kasi sababu kuna msafara unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko

    Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
  15. Juma Ayo: Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba apewe Derby ya Kariakoo, anajua kutafsiri vyema sheria za soka

    “Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo. Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio” Hayo ni maneno...
  16. Pre GE2025 Mkurugenzi wa Jiji Dar asema Jiji halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi, Ufungaji wa kamera za CCTV katika Soko la Kariakoo kuanza

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Elihuruma Mabelya, amesisitiza kuwa jiji hilo halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi. Tamko hilo amelitoa katika Viwanja vya Karimjee kwenye hafla ya utiaji saini wa miradi mitano muhimu inayolenga kuboresha huduma za jamii na...
  17. Freemasons waliwezaje kustahimili upotoshaji wa Kariakoo?

    Mnakumbuka alipofariki msanii maarufu wa filamu Tanzania Steven Kanumba liliibuka wimbi la vijana wengi wengine wakiwa na lafudhi za nchi jirani waliokuwa wakikusanya watu na kuelezea habari za freemasons Tena kwa UPOTOSHAJI mkubwa. Freemasons Tanzania hawakujibu chochote kusahihisha upotoshaji...
  18. F

    Kwa Tsh. 100,000 tu unafanya biashara Kariakoo

    Habari Wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi mkija kariakoo hamtaki nijue ID zenu mnasema mmeona tangazo langu X zamani Twitter, Instagram, Facebook wengine...
  19. F

    Ujumbe maalum kwa wanaotafuta fremu Kariakoo

    Habari Wana JF. Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi hamtaki nijue ID zenu mnasema mmeona tangazo langu X zamani Twitter, Instagram, Facebook wengine mnasema ndugu zenu wamewatumia namba...
  20. Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni "Serikali ipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…