Kelele kelele
"Viongozi wa chama cha ANC wametishia kwenda mahakamani wakiishutumu serikali kuwapa Dubai tenda ya usimamizi wa bandari kinyume cha sheria kwasababu wananchi hawakuhusishwa. Wakisema kwamba, barua iliandikwa na kutiwa saini na Waziri wa Fedha tarehe 30/3, barua yenye maelezo...