kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuhangaika na walioandamana mnatakiwa kwanza kushughulika na waliosigina haki, walioteka na kuua hao ndio chanzo kikuu cha yote nchini

    Mnahangaika na matokeo badala ya kushughulika na na walio sababisha hali hii itokee ,huo ni ujinga,wahalifu wa kwanza kabisa ni serikali na jeshi la polisi hao ndio waanzilishi wa machafuko tanzania na hakuna namna watakwepa lawama hizi. Mnateka watu wanaokotwa wameuawa halafu mnajibu kiholela...
  2. JamiiForums Tanzania Wadogo zetu, watoto wetu mnaoenda na mliopo Chuo Kikuu kwa sasa, huu uzi unawahusu

    Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
  3. JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Yale wamechukua picha za satelite zinoonyesha mauaji huko El Fashar. Je, waweza kufanya hivyo kwenye miji ya Tanzania?

    Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera. Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti mpya yaweka wazi uharibifu uliofanywa na makombora ya balistiki ya Iran nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion

    Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita Uharibifu huo ni...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanajiona miungu watu

    Kufundisha ni wito. Tenda kazi yako vizuri. Kwanini taasisi nyingi zinafanya kazi mpaka waone jambo kwenye mtandao? Hapo chuoni unakuta wanafunzi wananyanyaswa na hawana pa kwenda wakiofia kufelishwa. Mhadhiri anaingia darasani mara 7 kwa semester na hakuna attendance wala nini na hakuna...
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka 1990, gazeti la Daily News liliweka tangazo/habari ya Magufuli kuomba asaidiwe matibabu ya moyo enzi anasoma Chuo Kikuu Dar es salaam

    Ni ugonjwa huu ambao hatimaye ulitangazwa kuchukua uhai wake. Cc: hafre
  7. JamiiForums Tanzania CCM jengeni Chuo kikuu Mwanza na Hospital kubwa yenye hadhi ya nyota tano muziite CCM MEDICAL UNIVERSITY and Teaching Hospitali

    Haya mabilioni ya shilingi zenu njoeni muwekeze Mwanza mjenge Hospital ya hadhi ya nyota tano hafu mjenge chuo kikuu kikubwa Sana
  8. JamiiForums Tanzania Eti umeme ukikatika kwangu na jirani yangu professor wa chuo kikuu pia umeme kwake unakatika 🤣🤣🤣

    Wasomi wa tz hawana mbinu za kutatua matatizo Ni documents tu nyingi Zaidi ya hapo umkute msomi wa bongo hasubuhi kwenye magaazeti chakwanza hanunui gaazeti yeye anachambua tu vichwa vya habari
  9. JamiiForums Tanzania Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara

    Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ucheleweshwaji wa matokeo chuo kikuu huria(OUT)

    Wadau wa elimu habari. Chuo kikuu huria ni chuo kinachofanya vizuri katika taaluma mbalimbali hapa nchini nawapongeza katika hili. Kero: Kumekuwa na upotevu wa mitihani ya wanafunzi na hata kupelekea wanafunzi kulipia gharama zakurudia mitihani baada ya mitihani hio kupotea, mbali na hapo...
  11. JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
  12. JamiiForums Tanzania Kama Yanga ni timu kubwa na inafanya vyema kwanini kila mwaka inaanzia Shule ya Msingi CAFCL na Simba isiyofanya vyema inaanzia Chuo Kikuu CAFCL?

    Kazi yangu kubwa leo ni kusoma tu Comments zenu ili nicheke na nisikitike.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimemaliza Diploma kwenye Taasisi ya watu wazima(IAE) mwaka jana, lakini hadi leo AVN hajitoka na hakuna maelezo

    Habari, Mimi ni Muhitimu WA chuo Taasisi ya watu wazima IAE kampasi ya mwanza nimemaliza Mwaka Jana 2024 lakini toka tumalize Hadi Leo hatujapa AVN na tukihoji wanatoa majibu ambayo hayaeleweka. Mara Subirini tunashughulikia hakuna majibu yoyote na Watu tunahitaji kwenda kuendelea na elimu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Anayejiita Geoffrey Kiliba, Rais wa TAHLISO, sio mwanafunzi wa Chuo Kikuu au cha Kati chochote

    Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !. Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa . Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Ccm umejiunga nayo ulivyofika Chuo Kikuu huwez kumuelewa Polepole.

    Huwez kujibu hoja za polepole kama wewe ulijiunga na Ccm ulivyofika chuo kikuu na ulijiunga kama fashion. Ndio wengi wamebaki midomo wazi kwa yale aliyoyasema polepole. Polepole haujui tu Katiba wala kanuni za chama cha Ccm bali anajua hadi Miiko ya chama cha mapinduzi {Ccm} ambayo hua...
  16. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26

    Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26 Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora ambazo si tu zina nafasi nzuri ya ajira, bali pia zinakuandaa kwa kazi katika sekta mbalimbali...
  17. D

    JamiiForums Tanzania NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    Habarini za wakati huu wanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naombeni kujua ni kozi zipi zenye soko kwa sasa ambazo anaweza kusoma chuo kikuu mtu aliyesoma HGE advance?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Israel wasema kwa kitendo cha Iran kupiga kituo chao kikuu cha utafiti, Imeirudisha nyuma Israel miaka kadhaa nyuma kiutafiti

    Baada ya Ballistic missiles za Iran kupiga kituo kikuu cha utafiti cha Weismann na kukisambaratisha. Wanasayansi wa Israel wamesema kuwa sample nyingi sana za utafiti zimeharibiwa, wameweza kunusuru chache ila nyingi sana hawawezi kuzirudisha. Akasema kuwa watahitaji miaka kadhaa ili kuweza...
  19. JamiiForums Tanzania Padre Juvenalis Asantemungu Ateuliwa Kukaimu Chuo Kikuu cha SAUT

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT), Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap., kutokana na madaraka aliyo nayo kisheria kwa mujibu wa Katiba ya Chuo cha SAUT ya Mwaka 2010, amemteua Padri Prof. Juvenalis Asantemungu kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) atuhumiwa kumuua Mwanafunzi mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22]. Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…