kilichotokea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa kilichotokea, leo ndiyo mara yangu ya mwisho kupanda mwendokasi🙌

    Habarini za jioni wana JamiiForums, husika na kichwa tajwa hapo juu. Leo nilikuwa na safari ya kivukoni/posta, nikaona ni heri niende mbezi nikapande mwendokasi. Nilifika mbezi mida ya saa9 hivi nikakata tiketi nikasubiri pamoja na abiria wengine kama nusu saa hivi, mpaka dakiki40. Ikaja gari...
  2. Kilichotokea baada ya kuota Niko shule

    Sina Maneno Mengi ilaaaa.... Baada Ya Ndoto Ya Kuota Niko Darasani Karibia Kila Siku Kwa Takribani Mwezi Kilichotokea Ni Hasara Kubwa... Kupoteza Pesa Sehemu Flani Nlipowekeza,Kufeli Kwa Jambo Muhimu Aisee Ni Noma. Sasa Siku Ya Pili Mfululizo Naota Nachomwa Kisu. Naogopa Sasa Ndoto za ajabu aisee
  3. UHAI wa Mchungaji Malisa (Moja ya wanaopinga kilichotokea DODOMA) Ulindwe , bado tuko kwenye Majonzi ya Mzee Kibao !!.

    Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?. Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana...
  4. I

    Freeman Mbowe bado haamini kilichotokea

    Freeman Mbowe haamini yaliyotokea. Hakujiandaa kustaafu kwa hiyo amepata mshtuko mkubwa! Kuna mengi yamemponza lakini machache ni haya yafuatayo: 1. Kuondoa wanachama wenye uwezo katika nafasi za uongozi na utendaji na kuweka wale wanaomtii na nidhamu ya woga. 2. Kutokuwa na msimamo madhubuti...
  5. Tuliozaliwa 1994 hatuamini kilichotokea usiku leo

    Tuliozaliwa 1994 hatuamini kilichotokea usiku leo.😔😔
  6. Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

    Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na...
  7. Kilichotokea jana usiku kwa watumishi wa TRA ni matokeo ya serikali kushindwa kudhibiti rushwa na ufisadi kwenye utumishi wa umma

    Watumishi wa TRA wengi (sio wote) kila mmoja kwa kitengo chake hutumia nafasi hiyo kujipatia pesa kinyume na taratibu. Serikali inakosa mapato kwasababu watumishi wa TRA na taasisi zingine wako busy kutafuta pesa. Mmoja wa watumishi wa TRA ambaye kafariki ninafahamiana naye kiasi cha kuweza...
  8. Kilichotokea kariakoo jana msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu! Viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maslahi tu

    Kiukweli kilichotekea jana kariakoo msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu nahisi au ndiyo ukweli viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maisha yao na si Ku dedicated maisha yao kwa walipa kodi just kwa miaka 63 bado nchi kama nchi tunasua sua kwenye uokozi? Wale ni walipa kodi...
  9. U

    Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Israel Taarifa rasmi ndiyo hiyo 99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa Ukitazama video yake utacheka Live Update arrow right icon From the Liveblog of...
  10. Ule ni usaliti, kukata tamaa kwa wanachadema au kupuuzwa kwa uongozi wa juu wa CHADEMA na mipango yao mibovu kuhusu maandamano?

    Maana, bilashaka yoyote, kwa umoja na uzalendo ule wa kiwango cha juu sana walionyesha wanaChadema, mashabiki wake na wananchi wasio na vyama, kugoma na kutokuthubutu kuitikia wito wa Chadema wa kuandamana, ni ishara ya wanachama wa chama hicho kuanza kuususia na kupuuzia mipango, maamuzi na...
  11. Uongo/Chuki ina nguvu sana, Ona kilichotokea kwa Michael Jackson

    Kuna watu walieneza maneno ya uongo kuwa Michael Jackson alivyotua nchini aliziba pua yake na kusema kuwa nchi ya Tanzania inanukaa. Ukweli ni kwamba, MJ hakusema maneno hayo na pia kwenye ziara yake nchini aliweza kuitembelea shule ya watoto wenye mahitaji maalumu.
  12. Hivi unaendaje kuweka karakana ya Mwendokasi katikati ya mji? Bado hamjajifunza kwa kilichotokea Jangwani?

    Bado hamjajifunza tu, mwanzo mlifosi mkaweka karakana pale Jangwani, kilichowapata kila mtu anajua. Mwaka huu tena mmeamka na akili zenu finyu mnataka kwenda kuweka karakana pale Simu 2000 a.k.a Mawasiliano. Hivi ni mnatumia akili kufikiri au mnatumia mgongo? Kwa sasa mradi wa mwendokasi...
  13. Kilichotokea leo Monaco: Mcheza kwao utunzwa

    Msilale bila kujikumbusha kwamba Charles Lecrec (Ferrari) mtoto wa miaka 26 kutoka Monaco, kashika namba 1 uwanja wa nyumbani, Circuit de Monaco kwa kutumia muda wa 2:23:15.554 (saa: dk : sekunde. mil second). Ni habari mbaya kwa Max the Mad Max the Super Max kwa kushika nafasi ya 6 ivyo...
  14. A

    DOKEZO Mbeya: Wakili aelezea kilichotokea sakata la Mkurugenzi City Casino anayetuhumiwa kumnyanyasa kingono mke wa mtu

    Suala la Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia, Vasil Dosev Dimitrov kudaiwa kuwatishia kuwaua Wanahabari wawili waliokuwa wakifuatilia madai kuwa anatuhumiwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono aliyekuwa mtumishi wake wakike ambaye pia ni mke wa mtu, uchunguzi bado unaendelea...
  15. Millard Ayo amejifunza nini kwa kilichotokea kwa mfanyakazi wake mpiga picha kufariki

    Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada. Pia soma Zuchi Zuchero...
  16. R

    Kwa hiki kilichotokea; Watumishi wa umma bora wafe tu

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema watumishi wa umma wasipoweza kuondoa viongozi dhalimu bora wafe tu. Nakubaliana na Mwalimu Nyerere ila najiuliza kama watumishi wa umma ni waoga na wameshindwa kuondoa viongozi dhalimu na kumwachia Rais kazi hiyo peke yake! Kweli tupo tayari kuwanenea kifo...
  17. R

    Kwa kilichotokea Zanzibar kuhusu kula hadharani Serikali ipige marufuku maafisa wa Serikali kukimbilia vyombo vya habari kutoa ufafanuzi, DPP ajiuzulu

    Napongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar KULAANI waliojichukilia sheria mikononi wakidai kupiga marufuku kula adharani Ningependa pia yule mtalii aliyetuzwa fedha arejeshewe fedha zake na wale waliokamatwa na polisi waachiwe huru. Wakati huo huo jeshi la polisi lifute kauli yake na DPP...
  18. Tukio la Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kudaiwa kumlawiti Mwanafunzi, Padri asimulia kilichotokea

    Paroko wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi - Sinza, Padre Josephat Celestine Muhoza amesema kuwa Kanisa lao lina taarifa kuhusu tuhuma za mlinzi wao mmoja anayetambulika kwa jina la Baraka kudaiwa kuhusika na tukio la kumlawiti Mwanafunzi wa darasa la Tano mwenye umri wa...
  19. Kilichotokea Singida FG nimeshindwa kukiweka Kihasibu

    Singida Fountain Gate FC ipo nafasi ya sita na alama zake 16 baada ya michezo 16! Mwendelezo wake umekuwa si mzuri inawezekana hii ni baada ya kuondeokewa na nyota wake kadhaa waliojiunga na Ihefu wakati wa dirisha dogo la usajili. Kumekuwa na story nyingi kuhusu uendeshwaji wa Singida Fountain...
  20. Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…