Kwa huu mwenendo wa marekani kwa sasa mwenye uhakika wa usalama,ukaribu na utafiki na marekani naona ni Israel pekee.
Hawa wengine wanatumika tu kiurafiki wa kinafiki na marekani kwa ajili ya maslahi yake binafsi.
Canada kazi ya marekani wameiona, Mexico wameiona, Denmark wameiona, umoja wa...