Katika mashindano yote niliyoshuhudia, from 1998-2022, basi hili ndio shindano bora kwangu(2022), sio tu shindano, bali na muandaaji mwenyewe QATAR na tamaduni zake nimezifurahia sana sana, wengine walijaribu kubip suala la ushoga wakagonga mwamba.. hongereni sana wana-QATAR, hakika mmewaweza...