kompyuta

  1. Mavunde Akabidhi Kompyuta na Printres kwa Shule 50 za Sekondari Jijini Dodoma

    MAVUNDE AKABIDHI KOMPYUTA NA PRINTER KWA SHULE 50 ZA SEKONDARI JIJINI DODOMA Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu...
  2. T

    Pre GE2025 Antony Mavunde agawa kompyuta kwa shule za serikali Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde amegawa vifaa vya tehama vikiwemo kompyuta, printer Kwa shule zote za Serikali za jiji La Dodoma. Sanjali na hayo, Mhe. Mavunde amegawa compyuta 41 kwa ofisi zote za kata katika jiji La Dodoma Pamoja na kuzindua...
  3. Wanasayansi wa Oxford Wafanikisha Teleportation kwa Kompyuta ya Quantum (Maxwell na gari lake la mwimbi ya redio ilibidi awasilishwe hivi👇👇👇)

    Utangulizi Katika ulimwengu wa leo, ambapo maendeleo ya kiteknolojia yanapiga hatua kwa kasi isiyowahi kushuhudiwa, ni wazi kuwa sayansi inaendelea kusukuma mipaka ya yale tuliyoyazoea. Swali la msingi ni: Je, tunaelekea wapi katika mustakabali wa teknolojia ya kompyuta? Katika jaribio la hivi...
  4. S

    Ninatafuta Fursa ya Kujitolea kama Mwanafunzi wa Mwaka wa Mwisho katika Sayansi ya Kompyuta [Uchakataji wa Data, Machine Learning na Akili Mnemba]

    Kwa majina naitwa Alfred Baraka Rugoye, mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika shahada ya Sayansi ya Kompyuta. Nimejikita zaidi katika uchakataji na uchanganuzi wa data, ujifunzaji wa mashine (Machine Learning), na akili mnemba (Artificial Intelligence). Ninatafuta fursa ya kufanya mazoezi ya kile...
  5. Tumia Kompyuta ndani ya kivinjari chako! (Free and Open Source)

    Puter ni mfumo wa uendeshaji wa mtandao wa chanzo huria ulioboreshwa, wenye kasi ya hali ya juu, na unaoweza kupanuliwa kwa urahisi. Live demo Puter unaweza kutumika kama: A privacy-first personal cloud to keep all your files, A platform for building and publishing websites, web apps, and...
  6. G

    Mnaoichukia Israel msitumie Smartphone, Laptop, Googlr, n.k. makampuni giant ya kompyuta na Internet huitegemea Israel kwenye kubuni

    Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel. China ndipo vilipo...
  7. G

    Mnaoichukia Israel msitumie Iphone, Google, Window, n.k. makapuni makubwa ya kompyuta na mawasiliano hutegemea zaidi Israel kuwabunia bidhaa na huduma

    Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel. China ndipo vilipo...
  8. Biashara za simu na kompyuta na uagizaji: Bei zetu zote kwa biashara Tanzania

    BIASHARA ZA SIMU NA KOMPYUTA NA UAGIZAJI: BEI ZETU ZOTE KWA BIASHARA TANZANIA 📦 Bei Nzuri Za Simu, Laptop, nHuduma za Uagizaji Bidhaa ➡️Kwa wale wanaoagiza bidhaa kutoka China, ikiwa ni pamoja na simu 📱, kompyuta 💻, kamera 📷, na bidhaa nyingine ambazo ni vilipukizi hasa kwa njia ya mdege...
  9. Mambo ya kuzingatia ukiwa unatumia simu au kompyuta

    Unapotumia simu au kompyuta, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia ili kuhakikisha usalama, afya, na ufanisi: 1. Usalama wa Mtandaoni: - Tumia nywila (password) ngumu na salama. - Epuka kubonyeza viungo vya kutatanisha au kutoka kwa vyanzo visivyoaminika. - Hakikisha kompyuta au simu ina...
  10. Mambo ya kuzingatia unaponunua kompyuta

    Unaponunua kompyuta, kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha unapata kifaa kinachokidhi mahitaji yako. Hapa ni mambo machache ya msingi: 1. Matumizi yako: Fahamu unataka kutumia kompyuta kwa nini (mfano: kazi za kawaida, michezo, kubuni, au uhariri wa video). Hii itaamua sifa gani ni...
  11. Programu ya Kusimamia Invoice, Proforma, na Delivery Note kwa Kompyuta na Simu

    Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara yako? Invoice management System inakupa uwezo wa kutengeneza na kusimamia Invoice, Proforma, na Delivery Notes kwa urahisi. Mfumo huu unapatikana kwa desktop na simu, hivyo unaweza kutumia popote ulipo. Sifa za Nina System: Invoice...
  12. W

    Umewahi Kukagua kama Simu au Kompyuta yako kama ina “Virus”?

    Virusi ni programu ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kuharibu programu nyingine zinazokuwepo kwenye mfumo wa utendaji wa kompyuta au simu. Virusi vya kompyuta vinaweza kufuta, au kuharibu mafaili, kuathiri mfumo wa utendaji wa kompyuta na kuifanya kuwa nzito kwa kuenea haraka na kushambulia...
  13. Etaro Sekondari: Matayarisho ya Kuanzisha High School Yenye Somo la Sayansi ya Kompyuta

    ETARO SEKONDARI: MATAYARISHO YA KUANZISHA "HIGH SCHOOL" YENYE SOMO LA SAYANSI YA KOMPYUTA (COMPUTER SCIENCE) Idadi ya shule ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini: (i) Shule za Msingi: 120 116 za Serikali na 4 za Binafsi 6 Shule Shikizi mpya zinajengwa (ii) Shule za Sekondari: 28 26...
  14. B

    Je, Unajua kwa sasa Vipuri vya Kompyuta bei imeshuka?

    ⚠️⚠️Je unatafuta vifaa vifuatavyo kwa ajili ya Laptop,Desktop,Tablet au Simu Yako?⚠️⚠️📌📌 ☑️Laptop Adapter ( Laptop & Macbook) ☑️Ram ya Laptop na Desktop ( DDR2,DDR3,DDR4 & DDR5) ☑️Laptop & Desktop Keyboard, Mouse Wire , Wireless Mouse ☑️Vioo vya Laptop, Tablet na Simu. ☑️Antivirus na...
  15. Miwani ya kuzuia mionzi hatari ya kompyuta, simu na tv

    - Hutakiwi kuikosa miwani hii, miwani hii ni PHOTOCHROMIC, inabadilika na kuwa nyeusi kila unapopigwa na mwanga wa jua na kuweza kukukinga na mwanga mkali wa jua. - Itakukinga na mionzi mikali ya KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV inayopelekea kichwa kuuma chenyewe, Macho kutoa machozi na kuwasha...
  16. A

    KERO Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu Angavu

    Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE). Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo. College ya CIVE ina jumla ya blocks 6, tatu katika hizo sita ni mbovu kupindukia. Block moja zima unaweza kukuta vyoo(matundu)...
  17. Mbunge wa Nkenge, Florent Kyombo akabidhi kompyuta

    Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Mheshimiwa Florent Kyombo, akabidhi kompyuta Mbili shule ya Sekondari Bwabuki Ya Kata Kitobo na Shule ya Msingi Lukurungo Kata Bugandika Ofisi ya Mbunge wakikabidhi kompyuta hiyo kwa niaba ya Mheshimiwa Kyombo wamesema, utoaji wa kompyuta hizo ni mwendelezo wa...
  18. KWELI Kupakata Laptop husababisha hatari katika uzalishwaji wa mbegu za kiume

    Nimeona sehemu kuwa kupakata laptop kwenye mapaja kunasababisha uzalishwaji wa mbegu za kiume kuwa hatarini na nguvu za kiume zinaweza kupungua. Je, suala hili lina ukweli?
  19. Mwongozo wa Kazi ya Mhandisi wa Kompyuta (Computer Engineer Career Overview)

    Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa. Wahandisi hawa wanazingatia kuunganisha vifaa(hardware) na programu(software) katika mfumo mmoja...
  20. T

    Mhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Mifumo ya Kompyuta natafuta ajira

    Habarini wakuu, Kama title inavyojielezea mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 napatikana Jijini Mwanza ninatafuta nafasi ya kujitolea katika Makampuni au Biashara yoyote. Fani yangu ni IT upande wa Mifumo ya Kompyuta hivyo naweza kufanya kazi zote zinazohusiana na Mifumo ukizingatia mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…