Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina...