kuelekea uchaguzi mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Impactinglife

    Pre GE2025 Taarifa za Kiintelijensia ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Za ndani kabisa imefichuka kuwa Kuna Kila Dalili ya makundi matatu yenye nguvu kuungana na kupinga mwenyekiti aliyepo madarakani kugombea URAIS tena 2025. Lengo lao ni kuvunja matabaka na tofauti zao na kumsimamisha mtu mmoja ambaye ni mgeni ndani ya chama. Na hili Ili litokee wameandaa watu...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari. Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya...
  3. milele amina

    Pre GE2025 Athari za TAL kwa siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

    Lissu akimaliza mchakato wa uchaguzi wa ndani wa Chadema, kuna uwezekano mkubwa kwamba atahamishia mapambano yake kwenye serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kutokana na historia yake ya kisiasa na mbinu zake za kukabiliana na changamoto zinazohusiana na utawala. Hivyo, ni muhimu kwa...
  4. Manfried

    Yericko Nyerere umeua ndege wawili kwa jiwe moja

    Hongera Sana Yericko Nyerere. Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo . Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme . Huu...
  5. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Masaa 48 ya Mbowe kuamua hatma na uelekeo wa chadema kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Ni wazi kauli ya mbowe inayosubiriwa kwa hamu na gamu kubwa sana na wana chadema na taifa kwa ujumla, atakayoitoa mbele ya waandishi wa habari, ndani ya masaa 48 yajayo, itaamua mustakabali, uelekeo na myukano wa kisiasa wa aina ya kitofauti mno ndani ya chadema kuelekea uchaguzi wa ndani ya...
  6. Doctor Mama Amon

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Majibu ya kitendawili cha 'Governor's Dilemma' yanamkweza Tundu Lissu na kuwashusha Mbowe, Samia na Hussein Mwinyi

    "Hata alipokwisha kunena, Yesu alimwambia Simoni Petro, twika mpaka kilindini, mkashushe nyavu zenu mvue samaki. Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi...
  7. B

    Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 naiona CHADEMA kugawanyika sehemu mbili "CHADEMA Asili" na "CHADEMA Wazalendo"

    Nizahiri sasa Tindu Lisu amejipanga na wafuasi wake wanaomuunga mkono iwe jua iwe mvua ni lazima agombee na awe mwenyekiti wa CHADEMA Pia mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe naye amejipanga na watu wake wanaomuunga mkono kutetea tena nafsi yake kama hiyo. Kwa hali inavyoonyesha...
  8. Y

    Pre GE2025 Viwango vya Rais Samia ni ishara ya ushindi wa kimbunga kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ! Chama cha mapinduzi ni miongoni mwa vyama vya siasa vilivyopata bahati kubwa sana ya kuwa na tunu ya watu wenye uwezo na weledi mkubwa sana linapokuja suala la uongozi na utawala. hii sio mara ya kwanza kwa jambo hili kuzungumzwa lakini...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    1. Lissu na Mbowe watakosana. Kutakuwa na mgongano wa kimtazamo na kimwelekeo kati ya Mh. Lissu ambaye ni mtarajiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na Mwenyekiti wake Mh. Mbowe. 2. Kuna kiongozi wa dini ambaye atakuwa upande wa CCM na ataambatana na mgombea Urais wa CCM atakufa kabla ya...
  10. Cute Wife

    Pre GE2025 Uzi Maalum wa Kauli tata na za kushangaza kutoka kwa Viongozi na Wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa wanasiasa ambazo kwa namna moja ama nyingine zitakuwa na aathari fulani si tu katika uchaguzi huu wa mwaka...
  11. ngara23

    Pre GE2025 Inadaiwa Mbunge wa Ilemela anagawa TV kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda, dakika za jioni kuelekea uchaguzi mkuu

    Muda wote akiwa mbunge na waziri wa Ardhi wala hakujisumbua kujishughulisha na maendeleo ya Jimbo lake Sasa dakika za jioni anagawa TV kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda. Jimbo la Ilemela Lina changamoto nyingi, zinahitaji barabara za lami, majina umeme wa uhakika, huduma nzuri za afya na...
  12. M

    Pre GE2025 Kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 ni Chama kipi kitatoa mgombea Bora?

    Kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 wapiga kura watawapima waliokuwa madarakana kwa mafanikio ya ahadi zao. Ambao hawakuwa madarakana watawapima kwa uaminifu wao kwa utetezi kwa wananchi. Wewe unasemaje kuhusu hili?
  13. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi(Albino) kipindi Cha kuelekea uchaguzi mkuu inasadifu siasa sio uzalendo bali chanzo Cha utajiri.

    Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama ubunge,uwaziri na n.k. Hii inasababishwa na sisi kama taifa tumeifanya KAZI ya kisiasa kuwa chanzo Cha...
  14. U

    Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  15. Nyendo

    Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo

    Mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita, mkazi wa Kitongoji cha Mbale Kijiji cha Bulamula kata ya Kamachumu wilaya ya Muleba mkoani Kagera amekutwa amefariki na mwili wake umefungwa kwenye mfuko (Sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo. Akizungumzia...
  16. Matulanya Mputa

    Pre GE2025 Wanaharakati wawe makini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wamekosa hoja badala yake wananyamazisha wanaowakosoa

    Mfano G. Malisa, Mwanamapinduzi Singida, kifupi polisi wameshapewa order toka juu kukamata wanaharakati wote ambao wanachipukia na wakosoaji wa serikali. Hali hii itarudi kwa kasi kabla ya Uchaguzi wa Mkuu 2025 lengo ni kuwatoa watu kwenye mstari. Hivyo basi watu wawe makini katika shughuli za...
  17. B

    Maigizo ya Balozi Dkt. Nchimbi kwenye mikutano yake yanakidhalilisha chama, abadilishe mapigo kidogo

    Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi. Kwanza ifahamikw kwamba Kero na shida za Wananchi zinajulikana kazi walioshindwa Chama na serikali ya ccm ni kuzitatua...
Back
Top Bottom