Israel walitoa amri watu waondoke Gaza, amelfu wakatii ila kunao wengi waliona kama mkwara wakabaki, wamelipuliwa wakaanza kutoka nduki, miili ya watoto imetapakaa pembezoni mwa barabara, inataka moyo kuendelea kufuatilia huu ugomvi.
HAMAS popote walipo sijui wanajihisi kivipi au ndio kuendelea...