kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajira za ualimu ambazo usaili ulisitishwa, atujulishe hapa.

    Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao utabadilika. Najuwa Jamii Forum ni jukwaa lililosheheni watu kutoka vitengo mbalimbali na pengine...
  2. Kama Tume ya Mipango ni injini ya mwelekeo wa Nchi, kuna link ipi kati ya chuo cha Mipango Dodoma na Tume hiyo? We need rethinking kuhusu Chuo hiki?

    Hiki chuo kama kinachukuliwa poa, sawa na Mzumbe "ilipoondolewa" Katika majukumu yake ya serikali za mitaa. Kwanza, nashauri chuo cha mipango kifanyiwe study, hakuna maendeleo bila mipango. Tume ya mipango ina link vipi na chuo hiki? Kiwe ni chuo cha elimu ya awali au ya kujiendeleza? Mipango...
  3. Ninachojua kuhusu Dhamana za Serikali za muda mfupi /T Bills

    1. Dhamana za muda mfupi zinaitwa Tresury Bonds au T bills✅ 2. Ni uwekezaji kama wa hisa✅ 3. Hazina kodi ✅ 4. Huwezi chukua muda wowote✅ 5. Zinauzwa siku maalumu✅ 6. Ni za serikali siyo binafsi✅ 7. Watu wengi. hawaujui kabisa aina hii ya uwekezaji✅ 8.Dhamana za muda mref zinaitwa Premium...
  4. Shusha nondo kuhusu T-Bills au dhamana za serikali za muda mfupi

    Wakuu, kupitia uzi wangu wa UTT nimejifunza kuhusu T bills au Dhamana ya serikali za muda mfupi. Ninachojua ni Mnada kama wa fedha! MWENYE UJUZI WA DHAMANA YA MUDA MFUPI ASHUSHE NONDO!! #Bila-Nyinyi-Sitoboi
  5. F

    Naomba ufafanuzi kuhusu rangi za taasisi

    Kuna mvutano kidogo kuhusu rangi za jezi,katiba ya yanga inataja rangi za klabu ni njano,kijani na nyeusi,sasa jezi zilitolewa safari hii hasa za mashindano ya kimataifa,ni tofauti na hizo zilizotajwa kwenye katiba,je katiba imevunjwa?Wataalamu wa sheria naomba ufafanuzi
  6. Naomba kujuzwa, kesi CMA inaweza kuchukuwa muda gani?

    Habarini, Naamini wote mu wazima, wakuu msaada kujuzwa kimsingi kesi CMA inaweza kwenda muda gani? Na kama zaidi ya mara mbili unapata ushindi mshtakiwa anakata rufaa. Au wakati kesi yaendelea hatokei siku ya kuitwa mara kwa mara na mara nyingine hatoi tarifa ya udhuru kabisa. Msaada...
  7. Tumeshapata pa kuanzia kuhusu ghorofa kuanguka Kariakoo

    Watu kama hawa ndio wakukamata acheni kuhangaika na Mbowe, hakuna cha unabii wala nini ahojiwe inawezekana kuna Siri anazijua nyingi anajifanya nabii. Kashaona Yule alietabiri mwezi wa pili kua kutaanguka jengo kkoo mwisho wa mwaka huu naye anaiga anataka kutrend. Huu Uhuru WA kuabudu...
  8. Nimeandika sana kuhusu vita zinazoendelea ulimwenguni kwamba ni roadmap ya mwisho wa dunia

    Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum. Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui. Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa hazitapoa. Kuna jambo la hatari Sana hapo Mbeleni kidogo. Hatari hii kubwa itawakumba wanadamu wate...
  9. Swali kuhusu Wahudumu wa Ndege/Treni

    Hakika umeshawahi kuwaona walimbwende hawa wakiwa wamependeza, watanashati, warembo na kutembea mwendo wa madaha ndani ya ndege ama treni. Achana na hawa wa mabasi wapakua mzigo na walegeza sauti wa mabasi unaowajua. Namejaribu kuwaza ushindani wao, kila siku totoz kali batch zinatoka za...
  10. Karibu kwa Ufahamu na Ushauri kuhusu Ramani na Ujenzi...kisha tufanye kazi🤝

    Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi. Hakikisha unakiwanja ambacho kimepimwa na kinatambulika na manispaa ya mji...kuepuka migogoro. Katika kiwanja unachotaka kuanza ujenzi Hakikisha unatambua upitaji wa barabara(access roads) na mpango mji , kwa mfn kuna maeneo ambayo ni maalum kwa ajiri...
  11. Je, Mpunga umeibiwa Kimazingara: Ukweli au Tamaa?

    Habari wana JF, Nimeleta uzi huu kwenu ili nipate msaada wa mawazo. Kuna rafiki yangu wa muda mrefu zaidi ya miaka 15 ambaye alinishirikisha kuhusu kilimo cha mpunga huko Tabora. Nilipokea wazo hilo na tukakubaliana kushirikiana. Tulikodi ekari 8 na kufanikiwa kupanda mpunga. Japo muda mwingi...
  12. H

    Hivi ni akili , uoga au upumbavu kuhusu UTT ?

    Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M . Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
  13. Ushauri kuhusu Biashara ya Kuagiza Nguo za Special za Kupoint Mtandaoni kutoka Alibaba - Je, Inalipa?

    Habari wana JF, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi. Ningependa kujua...
  14. Angalizo kwa serikali kuhusu ukaguzi wa majengo Kariakoo, nimenusa harufu kubwa ya Rushwa

    Rais naskia ametangaza majengo yote ya eneo la Kariakoo yafanyiwe uhakiki. Japo sijaithibitisha hii habari niliisikia tu juu juu kwenye mitandao. Uhakiki wa majengo ni jambo zuri mno kwasababu itatuhakikishia kupungua kwa majanga ya aina hii - majengo kuporomoka. Kwahiyo kama hili zoezi...
  15. Uliza kitu chochote kuhusu mafundisho ya Buddha.

    Tunawakaribisha wote kuuliza chochote kuhusu Buddha
  16. Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

    UTT n mfuko wa hisa ✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka ✅kutoa pesa inachukua siku 3 ✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote ✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine ✅Haina makato ya kila mwezi kama benk ✅Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure ✅Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote ✅Ukiweka...
  17. Tujuzane ukweli kuhusu gari kijerumani, hasa hasa AUDI

    Wakuu mko njema? Kwanza tupeane Pole kama Taifa na Janga la Kariakoo! Tumuombe Mungu asimamie afya za majeruhi na kuwarehemu waliofariki🙏 Tukirudi kwenye mada. Nimekuwa interested sana na AUDI A5 SportBack Quattro TFSI. Hivi nikivuta hii nitakuwa sijajichanganya kweli?(au nijirudishe tu kwenye...
  18. Siku ya Watoto Duniani (Novemba 20): Unajivunia kitu gani kuhusu Mtoto wako?

    Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto (Convention on the Rights of the Child) mnamo 1989. Ni fursa nzuri ya: Kujifunza kuhusu haki za watoto...
  19. BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa. Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
  20. Wazee wa Subaru mnasemaje kuhusu Subaru XV. Naona muonekano mzuri, specifications kali hafu bei kitonga!

    Wataalamu wa Subaru. Hii gari Subaru XV aka Subaru Crosstrek naiona BF kwa bei rafiki sana hadi $3500! Ushuru ndio mchawi naona umesimama hadi Mil 13 ila nashangaa sana CIF ilivyo ndogo, especially kwa hii gen 1. Kama kuna mtu amewahi kuimiliki ebu atoe ushirikiano, kuna mdau anaitaka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…