Paroko wa Parokia ya Shirika la Roho Mtakatifu, Kilosa Mpepo, Padri Nikas Kiuko, amewaomba waumini wa Parokia hiyo kuikataa migogoro ya ndoa inayoweza kusababisha vitendo vya ukatili na unyanyasaji, majeraha na hata vifo kwa wanandoa.
Wito huo umetolewa wakati wa adhimisho la Misa Takatifu ya...