kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni bora kumiliki IST kuliko landcruiser

    Huyu mwanamke alivyo mtamu nashindwa kumuacha Nilimpendea muonekano wake, sura, umbo, urefu, rangi, pamoja na utamu wa shoo. Nikajikuta nawekeza vijisenti vyangu ili mtoto asitaabike, na aendelee kunipa shoo tamu pale ninapohitaji. Ili kuhalalisha umiliki, tukakubaliana niweke ujauzito, na...
  2. JamiiForums Tanzania Unapendwa Kuliko unavyodhani, unapendwa jinsi ulivyo ila shidaa ni...

    Shida: Sote tumetenda dhambi. Dhambi inatutenga na Mungu na kuleta uharibifu maishani mwetu. Suluhisho: Mungu anatupenda. Alimtuma Yesu Kristo aliyekufa msalabani kulipa deni la dhambi zetu na akafufuka ili kutupa ushindi. Wito: Wokovu ni zawadi ya bure. Ukiamua kuacha njia zako za kale na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini maskini ni wengi kuliko matajiri?

    Ukiangalia pengo kati ya maskini na matajiri ni kubwa vibaya sana na linazidi kuongezeka duniani kote.
  5. JamiiForums Tanzania Wazo la leo: Elfu 20 ya mwanaume ni bora kuliko billion ya Mwanamke

    Mkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke. Ya kuwa mwanaume hapaswi kuleta shobo na maokoto ya Mwanamke. Mwanamke, ataridhika sana wewe kumpatia elf 20, hata kama ana Mshahara wa ma billion. Na mwanaume anaye tolea macho pesa ya Mwanamke...
  6. JamiiForums Tanzania TBS mko wapi? Trump na Ikulu ya Marekani wamesema Mirija ni hatari kuliko hata plastiki!

    Ikulu ya Marekani imekiri kuwa mirija ya kunywea kinywaji ni hatari kuliko hata chupa za plastiki. Ikumbukwe chupa hizo ni hatari zaidi kwa afya na zinasababisha kansa. chupa za Maji na vinywaji za Dar es
  7. JamiiForums Tanzania Ogopa sana Marafiki. Heri akuwinde mtu baki kuliko rafiki yako ambaye huwezi kumdhania

    Kumeibuka week hii story yakusikitisha ya mwanamke Roselyn Asanti Mchuna almaarufu Chunna. Ambae inasadikiwa alilishwa sumu na mmoja ya rafiki zake huko nchini Kenya. Mwanadada huyo mwenyeji wa Mombasa alikuwa influencer na mfanyabiashara mkubwa wa nyumba za kupanga maarufu kama Air BnB katika...
  8. E

    JamiiForums Tanzania NYERERE alianzisha TANU na baadae CCM kuepuka ukabila na utanganyika na uzanzibar, mawazo yake yamefeli CCM imekuwa kitu cha hovyo kuliko ukabila

    Nyerere ni muasisi wa CCM, alitumia short cut kuukwepa ukabila kwa kuanzisha CCM. Naweza kusema hakuona mbali kwa sababu mfumo haujaweza kufanya kazi bila yeye kuwepo. CCM ni zaidi ya makaburu wa south ambao Nyerere alipigana nao
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini post za nje ikihusisha Tz inapata engagement kubwa kubwa ya wabongo mitandaoni kuliko nchi nyingine za Afrika ?

    Moja kwa moja .. Hili nimefuatilia sana ; 1. Kipindi Samata kajiunga Aston Villa , page ya Aston Villa ilijaa wabongo mpaka na aliponyimwa pasi wabongo walimshambulia sana Grealish 2 . Aziz Ki ; alipojiunga Wydad page ya Wydad waarabu walikimbia walijaa wabongo kupiga stori na kumtaka Admin...
  10. JamiiForums Tanzania South Korea inazalisha chuma kingi kuliko Afrika ya watu bilioni 1.5!!

    Hii ni sababu moja kubwa ya umasikini wa sisi Waafrika. South Korea ina kama watu milioni 52 lakini inazalisha tani milioni 62 za chuma kila mwaka. Afrika ina watu bilioni 1.6 lakini inazalisha tani milioni 22 tu kwa mwaka. Kati ya hizo, tani milioni kumi zinazalishwa na Misri na tani milioni...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini kwasasa flagship za android smartphones imekuwa bei ya juu kuliko flagship za Iphone?

    Kipindi cha nyuma, simu za Iphone zilikuwa ni za moto katika bei, kuipata lazima upate connections na wanaofanya kazi kwa wadosi ili uuziwe kwa bei nafuu, ilikuwa ni simu inayouzwa kwa bei kubwa, kulinganisha na Android. Ila kwasasa flagship za android ndizo zimekuwa zinauzwa bei kubwa mno...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kutetewa na na aina fulani ya watu kunamharibia zaidi mtetewaji kuliko kumsaidia.

    Yawezekana kweli mtu ana mapenzi na mtu au taasisi.lakini namna yake na hoja zake za uteteaji na usifiaji inatia mashaka, ni TOO MUCH! Kumtetea mtu kwa sifa zinazopitiliza viwango. Kusema hadi uongo kwa lengo tu la kusifia,hadi kumpa mtu sifa ambazo sio za kibinadamu ili tu kumpamba...
  13. JamiiForums Tanzania Ngumu kuelezea, ila Ukigusisha Remote ya Gari kwenye Kichwa chako, Mionzi inafika mbali zaidi kuliko uki-point Remote uelekeo wa Gari

    Sijui kama tittle imeeleweka. Ila, kwa mfano unataka ku-lock/unlock gari, ila upo mbali mfano mita 100 kutoka kwenye gari, uki-point na kuclick lock isifanye kazi, kwasababu ya umbali. Ukiwa hapo hapo, ila this time Ile remote ukajigusisha kichwani mfano juu ya sikio, gari italock/unlock. Ni...
  14. K

    JamiiForums Tanzania JE MKAA UNA THAMANI KULIKO WATU MULEBA?

    * Ni hali ya simanzi na majonzi inaendelea ndani ya wilaya ya Muleba na nje ya Muleba. Haki ya kuishi iko wapi? Vyombo vya ulinzi na usalama kazi yake ni ipi? Tumefikia wapi mpaka kufanya Muleba kuifanya kuwa kama machinjio ya binadamu? Hofu inaendelea kutanda kila mahala baada ya kuona vijana...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Huu ndio WIMBO Bora kuliko zote kwa sasa

    Nilitaka nikupe title lakini nisiharibu uondo HUO hapo https://youtu.be/mRS35Oemxe8?si=X4Oost1VrmL_63HV
  16. JamiiForums Tanzania SIASA ZA MAOFISINI ZINAHARIBU TAASISI KULIKO UTENDAJI MBOVU

    Baadhi ya wafanyakazi hawashindani tena kwa kuboresha utendaji wao wa kazi. Badala yake, wanashindana ili wawe karibu zaidi na wakubwa wao. Badala ya kuongeza ujuzi wao, wanajitahidi kujenga uhusiano na watu wenye mamlaka ndani ya taasisi. Badala ya kuleta matokeo mazuri, wanashughulika...
  17. JamiiForums Tanzania Dunia imebadilika tena. Wanaanza kudai mafuta ya wanyama ni mazuri kuliko ya mbegu!!

    Hii imekaaje, ina ukweli wowote wa kisayansi? Watu wameanza kudai kuwa mafuta ya mbegu kama alizeti na mawese si mazuri kiafya ukilingsnisha na yanayotokana na wanyama kama ya kitimoto na ng'ombe. Hapo nyuma kidogo walisema mafuta ya wanyama yana lehemu na hayafai. Leo wanasema ya mbegu ndiyo...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wa Dar wako shapu kuliko wa mikoani

    Unaweza kukuta mfanyabiashara ana account nzuri mtandaoni, kama social media na google business lakini ukimtumia ujumbe kuulizia huduma au bei ya bidhaa, hakujibu. Mwingine anakujibu baada ya siku mbili na mwingine week ni mwendo wa blue tick. Majibu kujibiwa ni kama unatafuta hesabu za hiza utt...
  19. JamiiForums Tanzania Mazao/Mifugo Under rated inaweza kuwa na faida kuliko yale Over rated ambayo wengi hukimbilia

    Asilimia kubwa ya wakulima lazima utukute kwenye mazao yale Over rated yanayo zalishwa na kila mtu. mazao ya jamii kama Mahindi, Mahargwe, Mazao kama Vitunguu, Nyanya, Tikitiki maji, Maembe na kadhalika. Huko utatukuta kwa wingi sana Utatukuta kwenye mifugo kama Kuku labda na nguruwe na Ng'ombe...
  20. JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi za msingi Tanzania huduma za internet ziko juu, majumbani bado huduma za Wi-fi ni chache kuliko Kenya?

    Wanajamvi Kenya ni mashemeji kwahiyo mambo mengi sisi kama Wabongo huwa tunafanya comparison na mashemeji. Sasa nilikuwa na kasafari Nairobi kwa siku kadhaa kuna vitu nimegunduwa ni tofauti sana na kwetu kwaleo nitaongelea huduma za Internet na sample ni Jiji la Nairobi. Hali iliyopo nyumbani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…