kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume msiotaka kuoa na wanawake msiotaka kuolewa mkizeeka mtalelewa na nani?

    Wadau wa JamiiForums, Naomba tujadili swali hili kwa uwazi na hoja za msingi. Katika jamii yetu ya sasa, kumekuwa na ongezeko la wanaume wanaosema hawana mpango wa kuoa na wanawake wanaosema hawana mpango wa kuolewa. Kila mmoja ana sababu zake, na bila shaka kila mtu ana haki ya kuamua namna...
  2. JamiiForums Tanzania Kuoa au Kuoana na Mtu msiyeendana nyota

    Habarini za wakati huu Wazee! Kama maada inavyojieleza, kuna mshikaji wangu wa karibu sana alinishirikisha Jambo ambalo likanifikirisha sana na kuwa shauku kufuatilia zaidi. Huyu mshikaji wangu yupo Dsm kwa sasa na mimi nipo Dsm kwa muda, jana tukapata muda wa kukutana kupata moja baridi moja...
  3. JamiiForums Tanzania Nimegundua kuwa nilikurupuka kuoa

    Habari members wenzangu Nimekuja kwenu kuomba ushauri mbali mbali kisha nichanganye na zangu Nina miezi sita sasa tangu nimefunga ndoa na mwanamke niliekuwa nae katika mahusiano kwa miaka miwili. Nilichokuja kugundua ni kuwa muda wite wa mahusiano yetu alkuwa akiigiza tabia. Kwa sasa ameonyesha...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kwa kinachoonekana kwa jamii kuna haja ya kuoa kweli?

    Kumekuwa na wimbi la mauaji, matukio, ndoa kuvunjika bila mpangilio... Imagine mtoto yuko shule tayari anlmeshaingia kwenye kudanganya, au masponsor, Juzi tu hapa, nimekutana na kitoto cha sekondary kina mama yake mgahawa I, tayari yeye na mamaye wananipigia mahesabu mimi. Kwa wanaume...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

    Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
  6. JamiiForums Tanzania Kosea mambo yote lakini sio kuoa

    Ndoa zimeharibu maisha ya vijana wengi sana. Let me drink my fckng beer
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wa kikristo turuhusiwe kuoa mke zaidi ya 1

    Tumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda Hallelujah Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja...
  8. JamiiForums Tanzania Mke wa Ndoto au Mwenye Kipato: Nani wa Kuoa?

    Swali la leo: Hivi mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke wa ndoto zake au mwanamke mwenye kipato chake? Tuseme umekutana na mwanamke ambaye anakupenda kwa dhati, anakuheshimu, ana tabia nzuri, mnaelewana na unaona kabisa ndiye mwanamke uliyekuwa ukimtamani katika maisha yako. Lakini hana kipato cha...
  9. JamiiForums Tanzania Nani wa kuoa: Mpenzi wa ndoto au mwenye kipato?

    Swali la leo: Hivi mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke wa ndoto zake au mwanamke mwenye kipato chake? Tuseme umekutana na mwanamke ambaye anakupenda kwa dhati, anakuheshimu, ana tabia nzuri, mnaelewana na unaona kabisa ndiye mwanamke uliyekuwa ukimtamani katika maisha yako. Lakini hana kipato cha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Tukio la mke kuuawa kwa risasi kisa kikidaiwa ni mali, je, ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa?

    Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza? Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyekuwa natarajia kumuoa mwezi huu Oktoba nimegundua ana mahusiano na wanaume wengine wawili mimi ni wa tatu

    Mwanamke niliekuwa natarajia kumuoa mwezi huu October nimegundua ana mahusiano na wanaume wengine wawili mimi ni watatu. Mkiniona kwenye ndoa nivunjeni miguu yote miwili. Nimenusurika kwenye hili sitarudia Tena ujinga.
  13. JamiiForums Tanzania Hizi kampeni za kuhamasisha Wanaume kuacha kuoa Wachaga na Wamachame zinatokana na nini haswa?

    Wanajamvi habari za wakati huu wengine mkiwa kitandani wengine seubleni na wengine counter wakishusha vyombo. Hivi sifa tunazosikia kuhusu wanawake wa kichaga na kimachame kuwa wapo kopportunist zaidi kwenye ndoa na hawachelewi kutoa uhai wa wanaume zao waliowao zina ukweli wowote? Nimeona...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu kwanini wazee wanapenda kuoa vitoto vya afu mbili

    Kwenye vitabu vya kale vya historia, kuna siri moja iliyobaki kwenye kurasa za zamani: Wakati Mfalme Daudi alipokuwa mzee sana na mwili wake ukikosa joto, washauri wake hawakumletea nguo nene za sufu. Walimtafuta binti mbichi kabisa aitwaye Abishag ili alale naye. Lengo halikuwa tu...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kutokana na estimation mwanaume kuoa mwisho miaka mingapi?

    Kumbe kuwa na wimbi la vijana kuwa pressured kuoa. Ukisha fika in your late 20s na early 30s kuna kuwa kama kunakijicho fulani kinakukodolea, utaoa lini? Mmi ndo namalizia my 20s ila ndo kama hata sifikirii kabisa, na siwazi sasa sijui si angalii reality inapaswa kuonwa? Je, ndugu zangu naona...
  16. JamiiForums Tanzania Sheikh : Kwa Imani yetu Kuoa Jini ni njia ya kupata Thawabu

    Sheikh anasema Muislamu anapata thawabu anapomwoa Jini. Hii Dini kwa sisi Wazinzi .... Inatutoa sana. Hakuna kitu tunakatazwa kula. https://www.instagram.com/reel/Ddny6jwuImj/?stkn=MTE2eDB6eXZlbTI1ZA==
  17. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Hello Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38.Natafuta make wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30 nakuendelea.kazi nimejiajiri mwenyewe,Naishi mwanza,ni mkristu nilieokoka. Mwanamke Ambaye yupo serious Naomba tuwasiliane pm au .0775 627 723 serious kwa hili
  18. JamiiForums Tanzania Ulioa au unataka kuoa kwa sababu gani? Mimi sababu zangu ni hizi hapa👇👇👇

    Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?. Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino. min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe. adriz de...
  19. JamiiForums Tanzania Tyler Perry: Kamwe sitakuja kuoa maana Ndoa ni Utapeli

    Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli" Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo mwanaume hupoteza zaidia ya nusu za mali zake kumpa mtaliki wake pale wanapoachana Ameongeza kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

    Kuna kisa kimetokea manyuzi tu na kimenifanya lile wazo langu la kuoa mwanamke asiye mwafrika kuzidi kukomaa... (Sidhani kama Nitakuja kuoa mbongo au mwafrika) Unajua nini, ukweli usemwe tu wanawake wa huku Africa ni vichomi. Sio kwa ubaya ila ni kitu ambacho kinazidi kudhihirika.. Ni hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…