kwa mkapa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

    Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare. Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
  2. FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

    Gusa. Achia. Twenda kwao. Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi. Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali. Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
  3. YANGA atashinda 2-0/2-1/3-1 kwa mkapa

    Kama una optn za aina hii kwenye kampuni ya bet weka mzigo 7 odds Mda si mrefuu wanayanga tu atinga robo final na kufurahia matunda ya kocha wetu All dbest hizo juu ndio matokeo tarajiwa Rgds Pdidytz
  4. Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

    Wale wanangu, ambao mnanikubali na kunifuatilia hapa JF nawapenda na kuwakubali sana, kama nyingi mnavyonipenda na kuja PM kunipongeza kwa tabiri zangu hapa JF ambazo kwa asilimia kubwa Huwa zinatiki, sio matokeo TU Bali kwenye angles mbalimbali za mpira na soka letu la hapa tz Wanangu hii...
  5. Mhubiri wa kiislamu alienda wapi? Tuliambiwa kwa mkapa hapatosha

    Amani kwenu Salamaleko Yule mhubiri wa kiislamu kaishia wapi Mbona simsikii je kwa mkapa alieenda? Na walihudhulia watu wangapi Mbona hatupean update LONDON BOY
  6. M

    Yanga hii ndio Simba ileeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu, mbinu za medani za Simba zimeibwa na Yanga

    Nna uhakika kabisa kama wameweza kusajili wachezaji wa simba waliotemwa nna uhakika hata mbinu zilzokuwa zinatumiwa na Simba ileeeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu imeibwa na hawa jamaa. Kiukweli wana makafara mazito mazito ambayo hayazuiliki, mbinu zote za Simba wamechukua wao, wanakimbiza kama...
  7. Simba yatakiwa kulipa gharama viti kung'olewa kwa Mkapa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua klabu ya Simba kuhusu ung'olewaji wa viti uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jana. Kupitia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano serikalini...
  8. Kibu Denis aibuka shujaa kwa Mkapa, CS Sfaxien wapagawa na kumpiga Refa dakika za jioni

  9. P

    Azam TV rekebisheni muonekano wa mwanga kwenye mechi zinazochezwa kwa Mkapa kupitia TV

    Mara zote mechi zinazochezwa mida ya saa kumi, watazamaji wa TV kupitia kisimbuzi chenu hukutana na muonekano wa giza katika nusu ya uwanja, jambo linalosababishwa na jua. Cameraman na uongozi wa Azam TV, fanyieni kazi tatizo hili la giza na tafuteni nafasi nzuri ya kuchukua video tofauti na...
  10. Aliyeiba Simu mbili za Aziz K jana kwa Mkapa alipokuwa Akihojiwa na Waandishi wa Habari baada ya Ndiki Kumalizika ameshazirudisha au?

    Ila Wabongo balaa dadeki zenu yaani hamna hata cha huyu ni Mgeni au Mwenyeji akijichanganya tu mnamuumiza.
  11. Barua ya wazi kwa wachezaji wa Taifa Stars watakaocheza na Congo kufuzu AFCON

    Napenda kuandika ujumbe uu wa wazi kwa wanchezaji watakao ingia uwanjani leo dhidi ya DRC congo, Ni ukweli usiopingika kama kongo hatuwawezi sio kwa mchezaji mmoja mmoja au kwa team play. Ila naandika ujumbe ukaguse mioyo na wakavae damu ya kizalendo zidi ya taifa leo. Kwenye mpila kuna muda...
  12. Nilioyaona kwa mkapa Yanga mna haki kabisa kuruka ukuta kimbien hizo getiii zao octb19

    Uchawi hautakaa uishe Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie...
  13. Angalizo: Chonde Chonde Makolo msing'oe viti mkifungwa kwa Mkapa leo!

    Leo ndiyo siku ambayo wale Waarabu kutoka Libya Al Ahli Tripoli waliotua nchini kupambana na Simba wanatarajiwa kuonyesha kandanda la kibabe kwa kupata ushindi mnono ugenini! Ushauri kwa Wana Lunyasi wote ni kuwa wavumilivu uwanjani, msing'oe viti wala kutoroka! Tunategemea mtaendelea...
  14. Mwanayanga umeshanunua tiketi yako ya Jumapili kwa Mkapa?

    Mpo huku mitandaoni mkisema Simba inacheza kombe la Ndondo, mnasema Simba haikuwa na on target hata moja, mnasema Simba ni mbovu sana, ila mko mstari wa mbele kununua tiketi kwenda kuangalia pira ubaya ubwela. Kwa nini msiende Zanzibar mkashuhudie timu yenu ikiweka historia ya kuingia makundi...
  15. Tusifanye mchezo, Al Ahly Tripoli inaweza kututoa mbele ya wake zetu kwa Mkapa

    Mchambuzi mmoja amenifurahisha sanasana amegusa karibia na ukweli Kama tutafanya mzaaa hii timu ya Libya itatufedhehesha mbele za wake zetu kwa Mkapa. Haya wanasimba mnaoenda na wake zenu taifa mjipange na aibu.
  16. Naomba Magari ya Wagonjwa yawe mengi kwa Mkapa Keshokutwa na Madaktari wakae Stand by Hospitali za Jirani na Kubwa Dar es Salaam

    Kwa nilichokipata tu kutoka somewhere huenda kuna wa Kuzimia kuwa Wengi au Kufa na Kuugua vibaya Keshokutwa.
  17. Goli la Mudathiri kwenye mechi ya jana lilivyo nisaidia kupata mchumba jana Uwanja wa Mkapa

    Kwa mfumo ambao Mungu ameutengeneza huu ulimwengu, you don't chase for the things that you want, you attract them. How do u attract them? By positioning yourself accordingly. All I want in this life of sin is having good time and having good time only. Popote ninakapo kwenda ninakwenda...
  18. TFF mmeruhusu siasa za CCM kwa Mkapa, leo msiwaonee CHADEMA

    Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu. Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya chama Chao au hata wakati mwingine wakiwa wamevaa sare za chama Chao. Hayo yote yakiendelea huku TFF...
  19. Kwa kumuacha huku Onana hapa sasa tumeenda sawa na Kunifurahisha, ila naomba Kibu Denis apewe Adhabu Kali au aombe Radhi leo kwa Mkapa

    Ujio wa kipa mpya kutoka Guinea, Moussa Camara 'Spider' umemfanya winga wa Simba, Willy Onana kung'oka Msimbazi baada ya taarifa kuvuja kuwa yeye ndiye anayempisha kipa huyo aliyetua kuziba nafasi ya Ayoub Lakred aliyeumia kambini Misri. Taarifa ambazo Mwananchi tangu awali ilishazidokeza...
  20. Aliyekuambia Kesho kuna 'Droo' nani? Kudadaeki Kesho linakufa Jitu kwa Mkapa na tusikiambiane tu hapa JF sawa?

    Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa? Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa Jamvini JF kuanzia Usiku sawa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…