lini

Linyi (simplified Chinese: 临沂; traditional Chinese: 臨沂; pinyin: Línyí) is a prefecture-level city in the south of Shandong province, China. As of 2011, Linyi is the largest prefecture-level city in Shandong, both by area and population, Linyi borders Rizhao to the east, Weifang to the northeast, Zibo to the north, Tai'an to the northwest, Jining to the west, Zaozhuang to the southwest, and the province of Jiangsu to the south. The name of the city Linyi (临沂) literally means "close to the Yi River".
The city recently expanded along the Yi River to Nanfang, now called the Beicheng New Area, under the slogan "Grand Linyi, Beautiful Linyi, New Linyi". Multiple recreational parks were built, along with new school campuses etc. The development is a consequence of a series of governmental projects, including relocate the city government, which is expected to stimulate the economy.
The population was 11,018,365 at the 2020 census, of which 3,651,868 lived in the built-up area made up of Lanshan District, Luozhuang District and Hedong District, as well as Linyi National Hi-Tech Zone.

View More On Wikipedia.org
  1. Simba wanalia na refa Ramadhani Kayoko wajiulize ni lini mara ya mwisho wameifunga Azam.

    Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch. Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi...
  2. Wewe Makonda, uadilifu umeanza lini? Makontena yako 20 ulikwepa kodi ya sh. 1.2 bilioni. Acha kuhadaa wananchi

    2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha makontena bandarini. Baadaye ukakana huyatambui. Baadaye tena ukaanza kugawa laana kwa watakaonunua kama...
  3. Hivi lini mwisho HAMAS kurusha roketi kuelekea Israel? Jamaa wamezimwa kabisa

    Wakati hivi vita vinaanza jamaa walikua wanarusha rockets kwa mamia kila siku, ila sasa hivi hawaskiki tena, wakirusha roketi moja, hapo hapo ilipotokea panapigwa kipigo cha mbwa koko..... --- Defense Minister Gallant claims Hamas leader moving ‘from hideout to hideout,’ IDF on his heels, as...
  4. S

    Jana nimekatwa shilingi 1500 nikinunua umeme baada ya shilingi 1ooo hii 500 imeongezeka lini?

    Tangu zoezi lianze miaka michache iliyopita nimekuwa nikikatwa elfu moja,lakini jana ikakusanywa 1500 bila maelezo hiyo 500 imeongezekaje. Sijajua kwenu wakuu imekuaje pia kama mmekutana na ongezeko hilo.Mamlaka husika imeshawahi ongelea ongezeko hilo na hiyo tsh 500 inaenda kumfanyia nini...
  5. Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

    Friends and Our Enemies, Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'... Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui...
  6. Prof. Paramagamba Kabudi: Watapata lini akili hao wapumbavu wanaokataa mabadiliko?

    Nawasalimu Kwa jina la JMT Mwaka 2014, Profesa Palamagamba Kabudi, aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, alisema kuwa kuna watu wawili duniani: wapumbavu na wajinga. Wapumbavu ni wale wanaoshupaa na kutumia ubabe, huku wajinga ni wale wanaokubali ubabe huo. Kauli hiyo iliibua...
  7. Wasukuma wanaoendelea kufanya hizi mila za kimabavu zilizopitwa na wakati wapewe kesi za ubakaji, mabinti waheshimiwe.

    Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila, Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili...
  8. K

    SAP wakiri walitoa rushwa Tanzania na nchi nyingine

    Wenzetu US hawana uninga na rushwa. Rushwa zimetolewa sehemu nyingine kabisa lakini kampuni ambayo hata sio ya US kwa kufanya kazi US wanaweza kupigwa fine $220M na kukiri makosa yao sisi tunalea wala rushwa wetu mpaka leo nani kafugwa! === Kampuni ya programu ya Kijerumani, SAP, inachunguzwa...
  9. A

    DOKEZO Barabara ya Mihama (Kata ya Kitangiri, Wilaya ya Ilemela) lini itawekwa Lami?

    Hii Barabara ina Kibao cha ujenzi wa Lami tangu enzi za JPM. Lakini mpaka sasa haieleweki lini litafanyika zoezi hilo. Barabara inaendelea kuharibika kila kukicha kutokana na mvua za kila siku. Barabara hii ndio inatumika na wafanya biashara wa Dagaa mjini Mwanza wanapoenda kurangua Dagaa kwa...
  10. Lini ilikuwa mara ya mwisho Mshahara wako ulikutana na unaofuata?

    Kuna swali najiuliza hivi kadiri unavyoata fedha ndivyo majukumu yanaongezeka au ni akili tu inajiambia sasa hivi kipato kimeongezekana nawe ongeza matumizi? Nasema hivyo kwa kuwa mara nyingi imetokea kwa watu wengi hasa sisi wa hali ya kawaida na hali ya chini imekuwa kawaida mishahara...
  11. Je ni lini kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku mchana ?

    Je lini Kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku? Naomba kuwasilisha
  12. K

    Ajira za ualimu lini mwenye fununu.

    Kama somo linavyosema naomba kujua ajira za walimu.
  13. Utekelezaji wa Amri hii ya Jaffo kuhusu kusitisha matumizi ya mkaa itaanza lini?

    Jafo alitoa tamko kuwa kuanzia January 2024 mwisho kutumia kuni, mkaa. Kama kuna anayefahamu tarehe ya utekelezaji wa jambo hili atueleze ili tujipange tusije kuingia matatizoni.
  14. S

    BASATA ni lini mtampa tuzo rais Samia kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza?

    Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa. Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni...
  15. Je, mnanitunuku lini 'Honorary Doctorate Degree' yangu kwa kuwa Visionary and Rational Thinker?

    Kuna Watu mnawalundikia Mashahada ya Heshima mbalimbali ya kuhusiana na Mambo fulani fulani ambayo GENTAMYCINE nikiangalia au nikitafuta walichofanya au walichokifanya huko wala sioni au sikioni. Haya watoa Honorary Doctorate Degree niangalieni nami GENTAMYCINE na niandalieni yangu kwani...
  16. M

    Mkeka wa usaili kwa jeshi la zimamoto unatoka lini?

    Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka. Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho. Mwisho japo si kwa umuhimu: wanatarajia kwenda depot mwezi gani?
  17. Video: Lini Polisi wetu watakuwa na haya Maarifa?

    Jeshi la Polisi la Tanzania wanapaswa kuwa na Ueledi zaidi. Tizama Video Huyu ndugu yetu Hamza tusingempoteza. https://youtube.com/shorts/6h1kmOlwE34?si=xwdoAccRSXkUmYeh
  18. S

    Ni lini Zanzibar itatangaza mashoga na mateja kuwa janga la kitaifa? Hali ni mbaya sana hapa visiwani

    Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua. Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi. Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
  19. Hawa wake za viongozi waliotoa msaada Hanang ni taasisi? Imesajiliwa lini na chanzo chake cha mapato ni kipi?

    Kwa kweli tunawashukuru sana wale wote waliojitolea kwa hali na mali kusaidia wahanga wa Hanang , na tunachukua nafasi hii kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu ili awajazie pale palipopungua, Amina. Hata hivyo ni vizuri tukafahamu huko ilikotokea misaada hii , wala haijawahi kuwa dhambi kufahamu chanzo...
  20. M

    DOKEZO KWENU SERIKALI: Adha ya usafiri kwa wakazi wanaotumia barabara ya Kimara - Bonyokwa itakwisha lini?

    Salam Husikeni na kichwa cha habari hapo juu , Wakazi na watumiaji wa barabara kuu itokayo kimara kuelekea bonyokwa na vitongoji vya karibu kama Baa mpya,Mavurunza,Kwa Mringo na Golani wamekuwa wakisumbuka kwa muda mrefu sasa juu ya kero ya usafiri wa hii barabara. Kiuhalisia urefu wa barabara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…