Muigizaji Vin Diesel aliachana na mpenzi wake wa miaka mitatu, lakini walipoachana, hakumtoa nje ya nyumba yake, aliogopa kwamba angeishi maisha ya chini, hivyo alimuachia nyumba yao na yeye akaenda kupanga nyumba nyingine.
Sio hivyo tu, aliendelea kulipia bili zote kwaajili yake na binti yao na...