Nawasalimia wanabodi.
Inatia hasira,
Inakera,
Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa.
Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi.
Wengi wapo abroad...