mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Basi la Tahmeed kutoka Busia kelekea Mombasa ladaiwa kugongana uso kwa uso na lori la mafuta. Wawili wafariki huku watano wakikimbizwa hospitali

    Tahmeed Bus kutoka Busia kuelekea Mombasa imegongana uso kwa uso na Lori la mafuta karibia na High School ya Mundika. Inasemekana kuna vifo na marejuhi baada ya Basi kulipuka. --- Two people dead, 5 hospitalised after fuel tanker collides with bus in Busia Two people have died as five others...
  2. Brake Master Cylinder: mafuta ya brake kuvujia kwenye booster housing. Nini tatizo? Nini tiba?

    Brake fluid kuvujia onto brake booster housing... yaani kwenye makutano ya Master Cylinder na Booster panavuja mpaka rangi ya booster housing imemenyeka (booster paint peeling off) coz of such fluid leakage. Master Cylinder iliyopo sasa iliwekwa mwaka jana November, tuliweka used ya Japan...
  3. Nahitaji mafuta ya mnyonyo (castrol oil)

    Habari, Anayeuza mafuta halisi ya mnyonyo kuanzia lita 10, piga 0713 039 875
  4. Mbunge Stella Ikupa: Hatua gani zimechukuliwa kwa Halmashauri zisizonunua mafuta ya watu wenye Ualbino

    Mbunge Stella Ikupa: Hatua Gani Zimechukuliwa kwa Halmashauri Zisizonunua Mafuta ya Watu Wenye Ualbino. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Festo Dugange amesema hadi sasa ni halmashauri 41 pekee nchini zilizotenga fedha kwa ajili ya ununuzi wa mafuta...
  5. Je kuna athari yoyote kutumia haya mafuta wakati wa kusugua Papuchi?

    Sometimes najikuta nasugua machine muda mpaka kuna kauka kule chini. Basi nimepata demu analoana vizuri mwanzoni. Nikisugua sana akimaliza mara moja au mbili anakuwa mkavu. Mimi bado nakuwa nahitaji maana anakuwa kuna vijicent vyangu amekula. So si sahihi eti dk 5 au 10 nimwache. Nataka ale kwa...
  6. Je, umeshawahi kushushwa kwenye daladala ili kupisha zoezi la ujazaji mafuta?

    Kwanini madereva wa usafiri wa umma na binafsi hawafuati utaratibu wa kushusha abiria wanapoingia kwenye kituo cha kujaza mafuta?
  7. Mkuu wa Mkoa Chalamila: Wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuta yake

    Mkuu wa mkoa wa dar es salaam ataka wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuga yake hadi wafe. --- Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa wizi wa transfoma' za umeme unafanywa na vijana ambao wanafahamu kazi zake, kwani hakuna anayeweza kuziiba akiwa hajui namna ya...
  8. Jinsi ya Kuongeza Mauzo Haraka kwenye Kituo cha Mafuta (Petrol Station/Fuel Station/Service Station)

    Kituo cha mafuta ni biashara muhimu inayotoa huduma muhimu kwa jamii. Ili kuongeza mauzo na kufanikiwa katika soko lenye ushindani mkubwa, ni muhimu kuchukua hatua za kimkakati. Hapa, tunajadili jinsi ya kuongeza mauzo haraka kwenye kituo cha mafuta kwa kuzingatia mbinu za ubunifu na ufanisi...
  9. Msaada kwa mtu aliyeunguzwa na mafuta ya dawa za nywele

    -Habari za majukumu? Kuna mtu anahitaji msaada wa nini cha kufanya -Alipaka Dawa ZA kuweka waves kwenye nywele(Movit relaxer), Kwa Bahati mbaya kuna maeneo ya kichwa chalet ni kama yameungua. Kila Muda anatokwa na majimaji kichwani na kupelekea vidonda kama anaoza Hivi, anapata maumivu ya...
  10. S

    Mafuta bora ya alizeti kwa mapishi yote

    Mwana JF, Je Wajua? Kuchakata mafuta ya alizeti au mafuta mengine yoyote ya mimea (oil refinery) ni hatua muhimu sana katika kuhakikisha ubora wa mafuta kwa matumizi ya binadamu. Je, unafahamu faida za mafuta yaliyochakatwa (refined oil) ukilinganisha na yale yasiyochakatwa? Kuchakata mafuta...
  11. Madhara mafuta ya breki(Brake Fluid)

    Habari Madaktari na wafamasia, watu wengi tumekuwa tukitumia mafuta ya breki kujitibu mba. Nimepita mahali nimesikia yana madhara. Naomba kujua yana madhara gani?
  12. Dewji: Biashara yangu ya kwanza nilikuwa nauza Mafuta ya Taa, Baba yetu alikufa masikini

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Azim Dewji, ameweka wazi kuwa biashara yake ya kwanza kuifanya ilikuwa ni kuuza mafuta ya Taa. Akifanya mahojiano na CloudsTv Dewji amesema, "Biashara yangu ya kwanza nilinunua gari kwa mkopo, nikawa na gari lakini tulikuwa tunanunua mafuta ya taa kwenye madebe...
  13. Asante Serikali ya CCM kwa kupunguza bei ya Vinywaji, punguzeni na bei ya mafuta

    Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃. Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo...
  14. M

    Waziri wa Ujenzi, tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  15. M

    Waziri wa Ujenzi ,tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  16. Kwanini kuwa mbali na Dar inaonekana kama adhabu kwenye bidhaa ya mafuta?

    Kama Azam anaweza kuuza energy Mtwara kwa bei sawa na Dsm, TBL anauza bia Bukoba kwa bei kama Dsm, Mwananchi anauza gazeti Mbeya kwa bei sawa na Dsm, EWURA wanashindwa nini kuwa na bei moja ya mafuta Tanzania nzima? Kwanini kuwa mbali na Dsm igeuke adhabu?
  17. A

    DOKEZO Waziri Jerry Silaa, imekuwaje Kituo hiki cha Mafuta kinafanya kazi wakati ulisimamisha matumizi yake?

    Habari Wakuu? Nimepita Mitaa ya Mikocheni leo na kukuta Kituo cha Mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni kinaendelea kufanya kazi ikiwa ni takriban mwezi mmoja tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kusimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha...
  18. Mawaziri wa Nishati Tanzania na Zambia wajadili ujenzi wa bomba jipya la mafuta

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Peter Kapala, leo Januari 29, 2024 wamefanya kikao kilicholenga kujadili nia ya Serikali ya Tanzania na Zambia kuanza ujenzi wa bomba la inchi 24 la kusafirisha mafuta safi kutoka Tanzania...
  19. Meli ya Uingereza yalipuliwa na Houthis ilikuwa imebeba mafuta ya ndege

    Wanakumbi. Kumekucha tena bahari nyekundu imechafuka Wayemeni wanapambana na Magaidi Marekani na Uingereza safi sana. Biden, anaomba msaada China kupambana na Yemen anaulizwa kwa wao wanapigana sababu gani anasema tu hawa ni magaidi China kamwambia basi endelea na vita. Yule Muhindi wa...
  20. Pre GE2025 Chadema, pesa za mafuta ya bodaboda na posho kwenye maandamano mngewapa mtaji Bavicha

    Wanaukumbi. Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje. Nani analipa hizo pesa za mafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…