makamu

  1. K

    DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  2. K

    DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  3. Makamu wa Rais awataka Wanasheria Kuchukua Hatua Kali Dhidi ya mawakili wasio waadilifu

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali za kinidhamu na kisheria dhidi ya mawakili wachache ambao wanaharibu heshima ya taaluma ya sheria kwa kukosa uadilifu wa maadili, ikiwemo kujihusisha na...
  4. Dkt. Mpango: Kuna Mawakili wanatuhumiwa kuchukua rushwa. Profesa Hoseah: Wimbi la Polisi na Vyombo vya Dola kukamata Mawakili ovyo limetulia

    Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) unafanyika Jijini Arusha, leo Mei 11, 2023 ambao Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika shughuli hiyo. RC Mongella anatoa neno Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amepata nafasi ya kutoa...
  5. F

    Msisitizo unaowekwa Mara kwa Mara na waziri mkuu na Makamu wa Rais kuwa waliotajwa kuhusika na ufisadi kwenye Ripoti ya CAG, una maana gani?

    Si chini ya Mara mbili kumsikia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti wakiweka msisitizo na mkazo juu ya waliohusika na ufisadi na waliotajwa na Ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu, kiuwajibikaji na kisheria. Je, msisitizo huo wa Mara kwa Mara una maana ipi hasa? Nina...
  6. Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

    Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza utalii wa ndani ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora zenye gharama nafuu kwenye vivutio hasa huduma...
  7. Dodoma: Makamu wa Rais, Mpango amtembelea Festo Dugange Hospitali ya Benjamin Mkapa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amemtembelea na kumjulia hali Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dk Festo Dugange ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya...
  8. K

    Hivi hatuwezi kufanya kama Nigeria, Rais kuweza kujiteua nafasi ya Uwaziri?

    Rais Buhari alipoingia madarakani alifanya baadhi ya maboresho kwenye uongozi na moja ya mabadiliko aliyofanya ni kujiteua kama waziri wa nishati wa Taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Lengo kubwa ni kuhakikisha usimamizi unakuwa mkubwa katika sekta hiyo kubwa kwenye uchumi wa...
  9. Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wakabiliwa na kesi ya wizi wa Mabati ya Kaya Masikini

    Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Serikali, kashfa hiyo ya Rushwa imewagusa pia Spika wa Bunge, Mawaziri 26 na Wabunge 31 wa Nchini Uganda wanaotajwa kupora maelfu ya Mabati hayo. Taarifa imeeleza kuwa Rais Museveni aliagiza Mabati yatumike kuezeka nyumba za eneo la Karamoja lililotengwa kwa...
  10. Makamu wa Rais anaweza kukataza chochote Tanzania?

    Je, Kikatiba, Makamu wa Rais ana uwezo wa kukataza au hata kuamrisha chochote? I mean, ana uwezo wowote wa hire and fire yoyote yule Tanzania? Nauliza kwa maana isije kuwa tunalishwa matango pori wakati hana amri yoyote isipokuwa labda kiheshima tu.
  11. Makamu wa Rais Dkt. Mpango apiga marufuku Polisi kufunga Barabara kwenye Misafara

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao. Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
  12. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake , mfano mzuri ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake!

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa eerikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo menig yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na maligno yaliyokuwa wenye visin ya nchi za...
  13. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake, mfano ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa serikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo mengi yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na malengo yaliyokuwa kwenye vision ya nchi za...
  14. Dkt. Mpango: 26.4% ya Watanzania wanaishi chini ya kiwango cha umasikini wa kipato

    Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema “Malengo makuu ya dira ya Mwaka 2025, Maisha bora kwa kila Mtanzania, Kudumisha amani, usalama na umoja katika Nchi, Utawala bora, Jamii iliyoelimika vyema na inayojifunza, tano ni uchumi imara na shindani.” Pamoja na hatua kubwa ambayo...
  15. Uchambuzi: Ziara ya Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ina faida gani kwa Tanzania?

    Tanzania ina ugeni wa Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ambaye amefika akiwa katika ziara yake ya Nchi kadhaa Barani Afrika, ambapo pia ratiba yake ni kupita yatika mataifa ya Ghana na Zambia. Kitendo cha kioongozi huyo ambaye taifa lake lina nguvu kubwa Duniani kuichagua Tanzania kuwa...
  16. Breaking News: Makamu wa Rais wa Marekani aomba kukutana na Washindi wa Majukwaa JamiiForums

    Mwenye Suti Kali naomba aniazime.
  17. Ni sawa Waziri Chana kukutana na Balozi wa Urusi leo wakati tunapokea ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani?

    Ni kweli uliowazi kuwa mataifa makubwa haya matatu ya Marekani ,Urusi na China yanakimbizana na kupishana Afrika kijaribu kuongeza ushawishi wao kisiasa na kuongeza ushirikiano pamoja na kukuza biashara. Ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani ni hauko mbali na malengo hayo. Kila mtu atakuja kwa...
  18. Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  19. Udhaifu katika miundombinu yetu vipindi vya Mvua, aibu kwetu na ugeni huu mkubwa wa Makamu wa Rais Marekani

    Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali Hata miundombinu mipya kama vile...
  20. N

    Ujio wa Makamu wa Rais wa Warekani sio bahati mbaya

    Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! Rais Samia Suluhu amerudisha sana heshima ya Tanzania kwenye diplomasia na sasa imerejea mahali pake, Serikali ya awamu ya tano ilififisha mahusiano kati ya Tanzania na nchi nyingi lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kuimarisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…