Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba shule zote zilizofutiwa matokeo iwe fundisho kwa shule zingine, na najua tayari kuna dosari katka shule hizo naomba wachukuliwe hatua kuanzia uongozi wa shule, wasimamizi, Kwani hawnatofauti na wauaji.
Taifa linapata wataalamu wasio na sifa...