Nikiingia mtandaoni nasoma kwamba Tanzania inauza nje ya nchi mazao ya kilimo kama vile mahindi, mchele, maharage, viazi n.k kwa matani na matani. Mtanisamehe kwa unyenyekevu wangu na uwazi wangu pengine na ujinga wangu pia.
Ila mauzo yanafanyikaje fanyikaje je watu binafsi kama vile wakulima...