mbarali

Mbarali District is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Iringa region and east by Njombe region. To the south the district is bordered by Mbeya Rural District and to the west by Chunya District.
In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 331,206 people in the district, from 300,517 in 2012.: 97 : 118 Mbarali district is the most famous area for rice farming. The district is home to Kapunga rice project and Mbarali estate. The district hosts a very famous wetland called Ihefu, as well as the Usangu plain. Ruaha National Park is within the district to the north side.

View More On Wikipedia.org
  1. Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kata ya Itamboleo wilayani Mbarali ni balaa

    Maadhimisho hayo yaliyojaa shamra shamra, shangwe huku Jina la mama Samia likiinuliwa Juu mawinguni yameenda vizuri hadi kupelekea mgrni rasmi ambaye ni diwani wa kata hiyo kutoa zaidi tani moja na nusu za mchele kwajili ya shule zote zilizopo katani hapo baada ya wakina mama kutoa changamoto...
  2. T

    Pre GE2025 Mbunge wa Mbarali awataka UWT kutangaza habari za Rais Samia hadi msibani

    Wakuu vibweka ni vingi sana huu mwaka, Mbunge wa jimbo la Mbarali Bahati Ndingo amewataka wanawake wa UWT kusambaza habari na mambo anayoyafanya Rais Samia, wakiwa kwenye shughuli mbalimbali ikiwemo msibani Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  3. KERO Mbunge wa Mbarali, Bahati Ndigo hii barabara ya Igawa - Rujewa hauioni ilivyo mbovu?

    Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani hebu iangalieni kwa jicho la huruma mbona nikipande kifupi sana Pia soma - Barabara ya Igawa-Mbeya...
  4. LGE2024 Mbarali: CHADEMA yashinda vitongoji 4 kati ya 7 na CCM vitongoji 2

    Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi katika kijiji cha Itamba, wilayani Mbarali, kwa kushinda vitongoji vinne kati ya saba. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi katika vitongoji viwili, huku...
  5. Mbarali: Kijana adaiwa kuchomwa visu sehemu za mwili

    Habari wa kuu, kijana moja anaefahamika kwa jina la meshaki mkazi wa kitongoji cha makondo "A" amechomwa na kisu sehemu kadhaa za mwili na aliyetendanda unyama huu ni jirani take, suala hill limeonekana kufumbiwa nacho na viongozi mtaa pamoja na afisa inasadikika kuwa mtuhumiwa ametoa rushwa ili...
  6. Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali atiwa hatiani

    Mahakama ya Wilaya Mbarali imemhukumu aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Joseph Werema Ndimila adhabu ya kulipa faini ya Tsh. 1,100,000/= au kwenda Jela mwaka mmoja na ameamriwa kurejesha kiasi cha sh. 4,000,000/= alichokifanyia ubadhilifu baada ya kukutwa na hatia katika...
  7. B

    Pre GE2025 Aliyekuwa Mbunge wa CCM Mbarali afunguka mazito "Wamenipiga fitina nzito"

    27 July 2024 Ubaruku, Mbarali Tanzania Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana .... Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea asiyejulikana... Modestus D. Kilufi asema CCM haipendi mtu msemakweli na aliyemchapa kazi na aina hiyo...
  8. Mtendaji wa III (Nafasi 2) Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Aprili, 2024

    POST MTENDAJI WA KIJIJI III - 2 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali APPLICATION TIMELINE: 2024-04-02 2024-04-15 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES (i)Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji (ii)Katibu wa Kamati ya kijiji (iii)Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria...
  9. Mbunge Bahati Ndingo Aiomba Serikali Kuwalipa Wazee Wastaafu wa NARCO Mbarali

    "Je, lini Serikali itawalipa mafao wastaafu wa shamba la Kapunga Wilayani Mbarali lililokuwa linamilikuwa na NARCO? - Mhe. Bahati Ndingo, Mbunge wa Jimbo la Mbarali "Wakati wa ubinafsishaji kati ya mwaka 2003 na 2004 Serikali ililipa mafao ya wastaafu wote wa shamba la Kapunga isipokuwa mafao...
  10. Ni muda Sasa wa serikali kutoa muongozo kuhusu uhamisho wa Mbarali

    Ndugu wana jamvi nisicheleweshe muda. Mwaka Jana mwezi Novemba serikali ilitoa katazo la kufanya shughuli za kilimo Kwa maeneo kadhaa na kuidhinisha uhamisho wa baadhi ya vijiji. Mwezi Disemba waziri mkuu alifuta GN 28 na kufanya marekebisho ya maeneo ya kuhama na kufanya shughuli za kilimo...
  11. M

    Serikali Mbarali tutengenezee kipande hiki cha barabara

    Barabara hii ikitengenezwa itakuwa short cut kufika hospitali ya wilaya iliyopo Inyala. Tutafikisha mazao kwa urahisi sokoni. Mbeya vijijini wametengeneza kipande Chao wewe unashindwa Nini?
  12. Chadema Digital yatikisa Mbarali, CCM yaanza kupagawa

    Tulionya mapema sana kwamba , huu mpango wa Chadema wa kusajili watu nyumba kwa nyumba , na huku wengine wakifuatwa hadi mashambani utakuja kuleta mtikisiko , hiki ndicho kilichotokea huko Mbarali . Kipo chama kinaanza kuweweseka kwamba Chadema Digital isifanyike wakati wa kazi au Week end ...
  13. Mbarali: CHADEMA Digital yaambatana na nyama choma

    Katika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi la Mbuzi kwa ajili ya nyama choma ya Watenda kazi hiyo ya kuteketeza ccm , kazi inayoongozwa kikamilifu na Liberatus Mwang'ombe. Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi...
  14. Mbarali: Kampeni ya kuifuta CCM yafika vijiji visivyofikika , Liberatus Mwang'ombe aongoza kikosi cha ufutaji

    Hali ndio kama mnavyoiona Aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali kwa tiketi ya Chadema, ndugu Liberatus ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu wanachoendelea kukifanya huko katika kusajili wanachama kidigitali. Ameandika "Hii ni kata ya Miyombweni, Mbarali. Unaendesha barabara...
  15. M

    Wilaya ya Mbarali imekuwa ikitoza ushuru wakulima bila kuwatengenezea barabara

    Moja Kwa Moja kwenye mada; niwapongeze wilaya ya Mbeya vijijini waliohusika na ujenzi wa Barabara ya Inyala -Malamba kupitia hospitali ya wilaya iliyopo Inyala Hadi stesheni ya Tazara Kijiji Cha Malamba. Barabara hii haijawahi kutengenezwa toka mwaka 1970 wakati wa ujenzi wa reli. Barabara hii...
  16. Wanawake wanajua kupiga shangwe, Bahati Keneth Ndingo aapa kiapo cha uaminifu jimbo la Mbarali

    Leo bungeni, mbunge wa Mbarali ameapa kiapo cha uaminifu baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa Mbarali. Jimbo hilo liliingia kwenye uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa mbunge wake, Francis Leonard kufariki dunia Julai Mosi, 2023. Wabunge wanawake wa chama cha mapinduzi walijifunga kibwebwe na...
  17. Wilaya ya Mbarali (Tanesco) inaongoza ukataji wa umeme Tanzania!

    Ni kweli kwamba kuna shida ya umeme Tanzania ila wilaya hii inaongoza kwa kukatiwa umeme, unaweza kuona siku nzima hakuna umeme au umeme unaletwa usiku wa manane nao sio zaidi ya masaa matatu au manne. Kinachonishangaza halmashauri ya Makambako na Mbeya mjini umeme unakuwepo but hii halmashauri...
  18. Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali

    Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na GENTAMYCINE sikubaliani nayo. Kocha Zuberi Katwila ( Legend wa Msasani Magunia ) ukiwa na Maswahiba...
  19. Ushindi wa kishindo wa CCM Mbarali, ni fursa kwa upinzani kuwa mguu sawa

    Ushindi mkubwa wa kishindo walioupata CCM katika jimbo la mabara-Jijini Mbeya, ni ishara njema ya kukubalika, kuimarika na kuaminika kwa chama cha mapinduzi kwa wananchi na uhakika wa kushinda chaguzi zijazo. Lakini pia uchaguzi huo ni fursa muhimu zaidi kwa upinzani kujipima, kujitathimini...
  20. J

    Uchaguzi Mdogo Mbarali: Bahati Ndingo ashinda Kiti cha Ubunge

    #CCM BABA LAO, Matokeo ya uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya yametangazwa, Mgombea ubunge kupitia CCM Bi. Bahati Ndingo ameibuka mshindi kwa kura elfu 44,334 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka chama cha ACT Wazalendo Bw. Dickson Kilufi, aliyepata kura...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…