mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. Israel wana mizinga yenye uwezo wa kuifuta Gaza kwa dakika mbili tu

    Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM. Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto ambayo haijawahi kutokea duniani, inapigana na adui aliyejificha nyuma ya watoto na akina mama...
  2. Nawezaje kufanya back up ya mafaili yangu ikiwa nina sehemu za storage mbili kwenye laptop ?

    kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup Laptop yangu ina storage mbili A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina speed kubwa sana kuzidi hdd unapowasha pc, kuperuzi mafaili, kucopy files, kusoma mafaili, n.k. B...
  3. Kupanda kwa nauli mara mbili 2023 ilipaswa kumng'oa waziri anayehusika

    1. 2023 nauli zilipanda mara mbili hii ilitakiwa kung'oka na waziri wa uchukuzi. Nauli zilisetiwa na LATRA kuwanufaisha wenye daladala na Mabus. Kwanini mafuta yakishuka Bei nauli hazishuki Bei? 2. 2023 Ajira za walimu zilitangazwa Tanzania mkoa wa Dar hakuajiriwa mwalimu hâta 1 tamisemi...
  4. Nchi moja serikali mbili: Unafahamu kuwa bado China ipo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe?

    Chukua hii kwa ufupi: Nchi ya China inayopatikana mashariki ya mbali ya bara la Asia. Hii ni nchi moja yenye serikali mbili zilizo katika mgogoro wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo havijatamatika toka 1949 mpaka sasa. Katika nchi ya China kuna serikali mbili zinazo ng'ang'ania mamlaka ya...
  5. Chimbo gani kuna AC na unaweza pata kinywaji, lunch yako na kufanya kazi zako mbili tatu?

    Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH
  6. Kama hawa wasiozidi milioni mbili wametupelekesha watu milioni 60 uwanja wa Amani, wakipata uhuru kamilii tutawaweza?

    Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama. Je, hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara.
  7. Mikoa midogo kieneo ni Dar na Kilimanjaro/Moshi

    Mkoa midogo sana kieneo ni Kilimanjaro naa Dar. Ki eneo Wilaya ya Misungwi+Ilemela = Kilimanjaro MZIMA. Ki eneo Mwanza ni Sawa na Dar 27 kwa pamoja. Yaani ukiunganisha eneo la Dar Mara 27 ndo unapata Mwanza moja. Dar 70= Rukwa 1. Dar 75= Tabora moja
  8. Ng'ombe mwenye thamani ya IST

    Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano. Lakini hii clip imenifungua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/= Milioni kumi na mbili si bei ya IST used? Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa unalipa!
  9. Tupigeni story mbili tatu🤗🤗

    Signed Out
  10. Mwenge hakuna umeme kuanzia saa mbili asubuhi

    TANESCO mna agenda gani ya siri dhidi ya watu wa Mwenge? Umeme mlikata saa mbili asubuh, hadi sasa ni saa 00.35 usiku, umeme hakuna giza limetamalaki. Kwa upuuzi huu CCM imeshindwa kuisimamia vyema TANESCO iweze kutoa huduma bora. Kataa CCM uboreshe maisha ya Watanzania
  11. L

    Ziara ya Rais wa China nchini Marekani yaongeza utulivu katika uhusiano wa nchi hizo mbili

    Mwezi uliopita, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara rasmi nchini Marekani, ambako pia alihudhuria mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC) uliofanyika mjini San Fransisco. Katika ziara hiyo, rais Xi alikutana na mwenyeji wake, rais Joe Biden wa Marekani, na kufanya...
  12. Kwanini timu za Tanzania zote mbili zinashika mkia kwenye makundi Yao ya CAF champions league

    Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
  13. S

    Simba wanajaribu kulazimisha tuamini kisaikojia kuwa Yanga hana nafas, ila wanasahau wao walifungwa mechi mbili na bado wakafika robo fainali

    Hawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya ugenini. Ukweli huu wanaujua vizuri, wanachokifanya ni kujaribu kucheza na saikolojia yetu wakati huo...
  14. Nasikia kumbe ukiwa Mtu wa CIA, MOSSAD na FSB unaongezewa 'Senses' zingine Mbili ili uwe Hatari Kiujasusi / Kinjagu je, ni zipi hizo?

    Na wanasema zenyewe huwa zinakuwa nje ya zile Senses Tano ( 5 ) za Kawaida ambazo zinajulikana na zimezoeleka. Ninazisubiria kutoka Kwenu Wajuaji!!!!
  15. Kwa siku mbili, wameuawa Wapalestina 200

    Na wataendelea kufa mpaka wao wenyewe wajue adui wao ni HAMAS, ndiye kawaletea haya masaibu kwa kuchokonoa Wayahudi, kwa kifupi HAMAS iachie Wapalestina wajiongoze kwa amani.... Israel is reportedly planning an intensified and extended campaign in the Gaza Strip lasting potentially more than a...
  16. Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

    Habari wana jamvi, kumekuwa na taarifa za chini kwa chini baada ya kuibuka sakata la wasimamizi wa televisheni kule Dstv sasa imehamia Azam nao wamejibu mapigo. Note; ukimshtumu mtu au kampuni hakikisha hiyo kesi una ushahidi nayo la sivyo inakugeukia, kesi kama hizi ikikugeukia utalipwa faini...
  17. Nimeamua kuishi kwa KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari

    Salaam JF, Hali ya ukimya wangu hivi karibuni katika jukwaa hili ni matokeo ya kuishi nadharia na vitendo katika KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari. Haijawa rahisi sana ila ndio hali halisi, sioni umuhimu wa kuainisha sababu, itoshe kusema naendelea kufurahia uamizi huu. Kila...
  18. Ndege mbili zaanguka Hifadhi ya Mikumi

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limethibitisha kutokea kwa ajali mbili za Ndege (muda tofauti) leo katika uwanja wa Ndege wa Kikoboga uliopo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi ambapo zaidi ya Watu 60 kwenye Ndege zote mbili wamenusurika. TANAPA imesema Ndege ya kwanza ya Unity...
  19. LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…