Wakuu habari?
Mnavyojua wakuu, wanaume tumeumbwa kutamani na kupenda watoto wazuri waliopo hapa duniani.
Katika pita pita zangu, nikanasa na mlimbwende mmoja ambaye aliweza kuuteka moyo wangu, mpaka nikiwa natembea mwenyewe mapigo ya moyo yanakuwa yako juu.
Kutokana na uzuri alionao, nikaona...