mfano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kujua tofauti mfano waziri mstaafu na mstaafu waziri

    Kuna tatizo kidogo kwenye kiswahili maana kwa viongozi hata wakimaliza mda wao wanatanguliza vyeo walivotumia na kumalizia mstaafu. mfano raisi mstaafu,waziri mstaafu. ila kwa wengine ijalishi ni polisi,mwalimu,dokta wanatanguliziwa mstaafu wala sio cheo alichotumikia ili linakuwaje mfano...
  2. L

    Maonesho ya Uagizaji na Mauzo ya Nje ya China ni mfano wa kunufaishana kati ya China na dunia

    Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa ya China, maarufu kama ‘Canton Fair,’ yameanza tarehe 15 mwezi April mjini Guangzhou, mkoa wa Guandong, hapa China. Katika maonyesho ya mwaka jana, idadi kubwa ya kampuni zilishiriki, na mwaka huu, idadi hiyo imeongezeka tena kwa kiasi kikubwa...
  3. Maeneo mengi ya Dar es Salaam ni Vijiji vilivyochangamka mfano hai Mabwepande na Mbopo

    Shalom, DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere. Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu nyusa zao kama maghetto ya popobawa. Kielelezo hakuna anaejali yafuatayo. - Hakuna madaraja -Barabara...
  4. J

    Kiongozi wa Dini anayetakiwa kuwa Mfano kujihusisha na Biashara ya Watumwa hii imekaaje?

    Wote tunajua madhara tuliyopata kutokana na Biashara ya Utumwa; Tena ambayo ilituwrka sisi waafrika kama bidhaa ya chini kabisa ya Watumwa. Naomba mtu anionyeshe andiko linaloonyesha Yesu kujihusisha na Biashara ya Watumwa. Vinginevyo Mwamba hapa anayeusumbua Ulimwengu kwa vita zote zinazotokea...
  5. D

    Kwenye ulimwengu wa roho maisha ni mfano wa operating system

    Maisha tunayoishi ni mfano wa operating system nikimaaninisha ukija afrika na kutoa south afrika na nchi za kiarabu kuanzia dakar uje abidjan, accra, lagos, kinshasha, nairobi, dar es salaam, kampala, lusaka n.k utagundua hii miji na mingine sijaitaja inakitu kinachofanana iko dis-organize...
  6. X

    Barua ya udhuru mahakamani

    Naomba kuelekezwa na mfano wa barua ya kuomba udhuru, kutohudhuria siku ya kesi mahakamani mahakama ya mwanzo.
  7. Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi kuhusu Rufiji

    Tunatafuta solutions juu ya hali inayo endelea RUFIJI. Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi juu ya hali inayo endelea RUFIJI? Tiririka mawazo yako yanaweza kuonekana. Unaweza kusimama kama waziri, injinia, mkurugenzi wa TANESCO, meneja wa bonde la...
  8. S

    Watanzania tuige mfano wa Ujerumani, tunapaswa kumsahau Magufuli na kuweka bidii kusonga mbele

    Sidhani kama kuna Mtanzania ambae hajui mazuri ya Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, atapinga kwamba Magufuli hakuwa na roho ya uzalendo kwa Tanzania, alichukia ufisadi, alichukia watu ambao anawaona walikwamisha bidii zake za kuindeleza Tanzania. Hakuna Mtazania atakaepinga kwamba Magufuli...
  9. L

    Wataalamu wa kigeni wapongeza mfumo wa demokrasia wa China, na kuutaja kuwa ni mfano wa nchi zinazoendelea

    Katika siku za karibuni kongamano hilo lililopewa jina la "Jukwaa la Tatu la Kimataifa la Demokrasia: Maadili ya Pamoja ya Binadamu," lilifanyika mjini Beijing. Lengo la kongamano hilo lilikuwa ni kuwaleta pamoja washiriki kutoka nchi za magharibi na nchi za kusini, kujadili kwa njia ya wazi...
  10. Tuseme ukweli mfano Shinyanga kwa sasa bila Kahama basi ingeshajifia

    Katika matembezi yangu ya utafutaji na majukumu ya jina langu nimeona kuleta moja ya mfano ambao kiukweli ni wazi kabisa. Shinyanga miaka 90 kushuka chini ilikuwa ni moja sehemu centre sana ikibeba wilaya zake zote na mambo mengine, ila kwa sasa imekuwa tofauti sana yani kuna kila kitu cha...
  11. Kampuni ya vodacom mna nini mwaka huu? Nimekuwa nikipokea offer mfulululizo mfano sms hii hapa na kabla ya hapo MB kama zote.

    Najuaga hakunaga vya bure. Nimekuwa nikipokea sms za kupokea vifurushi bure. Una Dakika 20(Voda) na SMS 100 mpaka 2024-04-08 07:05:35 kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki. Kujua salio Piga *149*60#. Vigezo kuzingatiwa nimajiuliza sana kwa ile kanuni ya HAKUNA CHA BURE HAPA DUNIANI yasije...
  12. Mifumo ya TEHAMA ya serikali mfano Tamisemi, inaundwa na kina nani? Ni AIBU tupu.

    Moja kati ya misingi mitatu ya usalama wa mifumo ya TEHAMA (System security) ni Confidentiality. Hakikisha zile taarifa nyeti zipo mikononi mwa watu walioidhinishwa (Authorized users) na si vinginevyo. Kwenye mfumo wa tamisemi unaoruhusu wanafunzi kubadili tahasusi zao, hivi ndio vigezo...
  13. G

    Waafrika tumerogwa, ni kwamba hatuna hata nchi moja inayoweza kuwa mfano katika sura ya dunia kwamba na sisi tunaweza?

    Wazungu wana Uingereza, Switzerland, france, n.k. - sina haja ya kuwaelezea sana Waarabu wana uae na kuwait - Wametumia vema mafuta yao kwa maendeleo ya nchi zao. Walatini wana uruguay, Chile- sio wenzetu tena hawa, wapo mbali mno. Wachina wana china, korea, japan - viwanda kibao +...
  14. M

    Shule ya msingi, Mikongeni iliyopo Pugu ni mfano mzuri wa shule zote za msingi za serikali zinavyopaswa kuwepo zama hizi

    Video inaonesha na kueleza vizuri shule ya msingi Mikongeni, ambayo ni Shule ya Msingi ya Umma (Inamilikiwa na Serikali) yenye Mchepuo wa Kiingereza. Shule ni nzuri kwa miundombinu yote. Hata hizi shule za binafsi tunazowapeleka watoto wetu wa kisasa kina Juniour na kulipishwa ada milioni...
  15. Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

    #Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na mitandao mingine nje ya serikali. Rais Samia ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024 wakati...
  16. Mwigulu Nchemba: Tanzania ni mfano mzuri wa kuigwa duniani kwa huduma bora za barabara, maji na umeme

    Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba. ---- Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani ukilinganisha na mataifa mengine Barani Afrika kutokana na hatua kubwa na ya haraka iliyopiga kwenye sekta...
  17. Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

    Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti. Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya. Mauti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo. Huyu Saba Sita...
  18. Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa hadithi nzuri na ya mfano miongoni mwa Watanzania

    Nilikuwa darasa la pili mwaka 1992, Shule ya msingi Bungo pale Morogoro mjini, nilipomuona kwa mara ya kwanza Rais Ali Hassan Mwinyi akishuka kwenye helkopta viwanja vya Gymkhana kuelekea uwanja wa Jamhuri kwenye sherehe ya Mei Mosi, niliendelea kumsikia kwenye taarifa ya habari na kumsoma...
  19. Ni ipi hasa sababu ya Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi kirefu hivi?

    Je, CHADEMA watu wenye hakuna uwezo wa kuwa wenyeviti? Mbona kina Mtei na Bob Makani walimuamini inamaana baada ya yeye hakuna mwingine mwenye uwezo? Ni kipi kinafanyika kwenye chama chetu CHADEMA kinachoonesha uwepo wa Demokrasia? Ni miaka zaidi ya 20 mwenyekiti yule yule. Binafsi kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…