mimi

  1. G

    Tukipeana namba na mdada halafu akatumia neno "dear" katika kuchat na mimi siku 3 za mwanzo, huwa nam-delete fasta

    Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
  2. A

    KERO Bayport na Banc ABC wanapata wapi namba zetu za simu na kutumbua na meseji zao?

    Mimi ni mtumishi wa serikali. Kuna malalamiko yaliwahi pia kuandikwa hapa siku za nyuma lakini lile tatizo nadhani limezidi maradufu. Kampuni za mikopo mfano Bayport, Manoto Bank, ABC na zingine zimekuwa zikituma meseji za huduma zao wakati sijawahi kujiunga wala kujaza fomu zao. Kwa mfano hao...
  3. Ni mimi pekee ndiyo nina maamuzi ya kijinga?

    Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela. Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi nimetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile hela ambayo ingeenda kutumika huko, ila bado naona ugumu kuitumia kwa lile jambo la 60. Why kwake...
  4. G

    Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

    Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
  5. M

    Airtel internet ina tatizo gani? Siku nzima sipati internet kwenye simu yangu. Je, ni mimi tu ama na wengine pia?

    Habari wadau. Leo Airtel internet imenigomea kabisa. Je, ni simu yangu ndio ina shida ama wengi imewakuta hiyo hali ? Cha kushangaza simu hiyo hiyo nikiweka data line ya voda. Mtandao unafanya kazi vizuri
  6. Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

    Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine. Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser. Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa" Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think...
  7. Katika hili mimi nimeona madhara kwa afya ya binadam tu. Kwani kuna lingine?

    Mahala ambapo takataka zimemwagwa na hazijazolewa muda mrefu hupelekea harufu mbaya hata mlipuko wa magonjwa. Je kwenye eneo hilo kama kuna nguzo ya umeme nayo inaathirika? Tazama picha hapo chini.
  8. A

    TANROADS na Mamlaka za Majiji wanavyo mzalilisha Makamu wa Rais kwa uharibifu wa mazingira

    Siku hizi kumezuka Tabia za malorry makubwa kwa magari kuegeshwa pembezoni mwa barabara au kwenye njia za waendao kwa miguu, hivyo kujaribu mazingira, kwani sehemu hizo sio hazikujengwa kuhimili uzito huo na kwa madhumuni hayo na pia zina kiuka haki za watumiaji wengine wa sehemu hizo, iwe...
  9. B

    Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

    Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa Nina uzoefu wa nyanja mbali mbali Kama Networking, IT SUPPORT ,Security system, System developer kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
  10. Tigo pesa wananikata pesa bila mimi kuidhinisha. Nikiwapigia wanababaika.

    Msaada wenu naitaka tigo pesa yangu ila hunikata kila ninapoweka pesa kwa matumizi yangu. Mfano Hii ni kifano tu na sometimes nakatwa nastukia baadae. Msaada wenu ili niset simu yangu isiweze kufanya hii miamala
  11. Nashauri Uitishwe Mdahalo kati ya Lissu na Kinana. Mimi nitajiandikisha kuwa mwanachama kwa ambaye atashinda

    Hoja kwenye mdahalo ziwe 1. Muungano 2. Katiba Mpya 3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake. CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
  12. P

    Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Nimeajiriwa ngazi ya chini Serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. Mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi changomoto sijajipanga. Niwaza hadi nimefika mwisho sijui nifanyeje, nina madeni mengi, na hapo hata...
  13. Samahani sana Guedejr kwa kukuita 'Bondia" na kukudhiahaki kuwa hujui ball, nisamehe mimi nimekosa

    Wale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja kumuomba msamaha hapa na kufuta kauli yetu ya kusema kuwa ni bondia . mwamba hivi sasa ana magoli jumla...
  14. Mwanamke anapokuuliza "una mpango gani na mimi" anamaanisha nini?

    Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
  15. C

    Marejesho Mimi ni software Developer mwenye idea aje tulifanyie kazi

    Wakuu kwema? kuna Post yangu nilileta hapa kuwa kama una idea yeyote tuje tuifanyie kazi for free bila malipo yeyote Nimefunga huu mjadala rasmi.. sipokei tena maombi nimepokea request nyingi saana nyingine nimezikubali na nyingingine nimezikataa kuna watu nimefanya nao kazi huku...
  16. Y

    Mke wangu hataki kutumia pesa yake kununua kitu chochote kwa matumizi ya familia

    Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yaani hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake. Je nifanye nini!
  17. Mwandani wangu hajivunii kua na mimi, ni kama anaona sio type yake

    Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti. Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona aibu kua mimi ni mume wake, simply kwa sababu naonekana wa kawaida. Tukiwa ndani hakuna shida ila...
  18. Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Wakuu kwema? Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana. "sina hisia na wewe" ".sijawahi kukupenda" "Nina bwana angu nampenda" "Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye"...
  19. Mimi ni nani?

    Habari JF members.. Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe. Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda mrefu atakufa na hii hali huwa inatokea mara chache sana. Kitu kingine, ni ndoto zangu Huwa naota...
  20. Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

    Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki . Ni sawa .. Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa umakini . Well wafuatao yanga tunapaswa kuwaacha ..! 1. Skudu Makudubela Huyu ni mfanyakazi hewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…