mji

Stone Town of Zanzibar (Arabic: مدينة زنجبار الحجرية‎), also known as Mji Mkongwe (Swahili for "old town"), is the old part of Zanzibar City, the main city of Zanzibar, in Tanzania. The newer portion of the city is known as Ng'ambo, Swahili for 'the other side'. Stone Town is located on the western coast of Unguja, the main island of the Zanzibar Archipelago. Former capital of the Zanzibar Sultanate, and flourishing centre of the spice trade as well as the slave trade in the 19th century, it retained its importance as the main city of Zanzibar during the period of the British protectorate. When Tanganyika and Zanzibar joined each other to form the United Republic of Tanzania, Zanzibar kept a semi-autonomous status, with Stone Town as its local government seat.
Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance in East Africa. Its architecture, mostly dating back to the 19th century, reflects the diverse influences underlying the Swahili culture, giving a unique mixture of Arab, Persian, Indian and European elements. For this reason, the town was designated as a UNESCO World Heritage Site in 2000.Due to its heritage, Stone Town is also a major visitor attraction in Tanzania, and a large part of its economy depends on tourism-related activities.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Mji wa Auckland New Zealand tayari sasa ni sa 8 na Nusu Usiku ya Tarehe 1, Januari 2024.

    Wakati wengine tukiendelea kusubiri mwama mpya, Auckland New Zealand tayari walishaanza mwaka 2024 masaa 2 yaliyopita. Auckland wako mbele yetu zaidi ya Masaa 8, GMT+13. https://twitter.com/AP/status/1741427952116506698?s=19
  2. S

    Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele wanaume wenzao kwenda kupigana miti baada ya kanisa kutoa Sacramento takatifu! --- ROME (AP) — Pope...
  3. Urejeshaji wa Miundombinu ya Barabara Katika Mji wa Katesh Wafikia 75%

    UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KATIKA MJI WA KATESH WAFIKIA ASILIMIA 75 Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amesema hadi sasa urejeshaji wa miundombinu ya barabara na makalvati iliyokuwa imeharibiwa na maporomoko ya matope na mawe yaliyotokea Disemba 3, 2023 kwenye mji wa...
  4. Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  5. Waziri Mhagama na Bashungwa Waongoza Misheni ya Kusafisha Mji wa Katesh

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope inaendelea na shughuli kubwa inayofanyika kwa sasa ni kufungua mitaa yote ya mji wa Katesh na kurejesha mji katika hali yake ya awali kwa kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea. Ameyasema hayo mapema asubuhi hii wakati...
  6. M

    Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

    Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneza image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio Binafsi before sijafika Dar nilidhani Dar nzima inafanana na Posta, Kariakoo au Makumbusho yana watu wanaishi kwenye apartments kali mixer nyumba za maana. Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya...
  7. Israel yashambulia Rafah na Hamas, wapiga mji wa mpakani wa Sderot

    Baada ya kumalizika kwa usitishaji wa vita kwa muda wa wiki moja na ubadilishanaji wa mateka vita vimeanza upya kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas. Katika ngwe hii mpya na katika hai ya kushangaza Hamas wamefanikiwa kurusha makombora kutoka kaskazini ya Gaza na kuyavurumisha kusini ya Israel...
  8. T

    DOKEZO TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi. Kwanza awali wananchi...
  9. Nabii Clear Malisa ana mpango wa kuinunua Ubungo Kibangu yote, kuivunja na kujenga mji wake wa kisasa.

    Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi. Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani. Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom...
  10. Umati wa watu takriban 300,000 waandamana mji wa Marekani kuunga Israel mikono

    Israel kamatia hapo tu... Hauwezi kuiondoa Israeli kwenye ramani ya dunia, amini usiamini itakupa tabu...Bahati Bukuku https://www.youtube.com/watch?v=vbRCT38Y-Gs Nearly 300,000 people rallied in Washington on Tuesday at the March for Israel, calling for the release of the hostages held by...
  11. Waraka kwa DED wa Halmashauri ya Mji wa Bunda

    Waraka kwa DED wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, Emmanuel Mkongo Heshima yako mkuu! Nitajitahidi kuandika andiko fupi sana!Nakumbuka kwenye vikao vyako vingi huwa unawaencorage sana wana Bunda kupambana zaidi badala ya kukata tamaa! Awali hawakuweza kukuelewa ila Kwa sasa wamekuelewa vizuri...
  12. Dar ni mji wa ajabu sana, mtu anaweza vaa nguo/viatu hazijakauka lakini zika kauka akiwa amevaaa

    Walaaaaaahiii mtumeewww 5 moko , kimoko tuuu chaliii wanaumeeee tukapiga vitano vya afyaa boraaa hahhhahahhhgh Ebana heeeeeh ndo ikawa hivyo ...mvua hii people zinavaa nguo hazijakauka na life linasongaa kibabere Karibuni kwa makasiriko...
  13. Hongereni DED Bunda, mnaipambania sana 🙏

    Kipindi Fulani hii wilaya ilikuwa ustaarabu mdogo sana kuanzia usafi nk.Ila Kwa sasa napenda kuupongeza Kwa dhati ushirikiano uliopo kati ya MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA ambaye hapo awali alikuwa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, pamoja na Mkuu wa wilaya ya Bunda Dr.Vincent...
  14. Waislamu wa mji wa Dagestan nchini Urusi wavamia airport kuwasaka vyumbani wayahudi baada ya ndege kutua kutoka Israel

    Jamhuri ya Dagestan ni moja ya miji midogo ndani ya urusi inayosifika kwa kuwa na waislam wengi, huwa wana dalili za kujitenga na Urusi, Ni kama walivyo Chechnya. Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kuwakamata wayahudi...
  15. Tusisahau vita vya Sudan, waarabu bado wanachinjana na kuwindana mji mkuu

    Jamaa hawachoki, yaani ndio kama wanaanza vile.............. Clashes involving armoured vehicles and heavy weapons continued between the Sudan Armed Forces (SAF) and Rapid Support Forces (RSF) across large parts of the Sudanese capital of Khartoum on Tuesday, especially focused on the SAF...
  16. T

    Biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa laki nane katika mji wa Kahama?

    Wakuu habari, Natumai kuna wajuzi na wenye uzoefu na mji wa kahama kwenye eneo la ujasiriamali hapa, nina ichi kiasi cha laki nane ambacho natamani kisikae kizalishe chochote kitu ili nitanue wigo wa mapato yangu ata kwa kidogo. Naomba mawazo yenu wakuu. Asante
  17. Barua ya wazi kwa afisa elimu(sekondari)- Bunda Mji

    Nakusalimu kwa jina la Jamhuri...Kazi iendelee.Nimekuandikia waraka huu nikitaka kushare nawe mambo kadhaa. Tuanzie kwako,wewe ni kiongozi smart sana katika idara ya elimu sekondari hapa kwenye halmashauri yetu ya Bunda mji.Hujikwezi na umeifanya ofisi kuwa sehemu ya utendaji kazi badala ya...
  18. Ushoga katika taifa la Israeli

    Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 "𝑼𝒔𝒊𝒍𝒂𝒍𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖...
  19. Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga

    Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga. Mimi ni kijana nahitaji kwenda kuanzisha maisha mji wa Mafinga. Nina ujuzi wa ICT, kilimo cha mboga mboga n.k, mtaji ni milion 6. 1. Historia yake. 2. Makabila yake, mila na desturi. 3. Huduma za kijamii. 4. Uchumi kwa ujumla.
  20. Mafanikio na kuanguka kwa shule mbalimbali za sekondari halmashashauri ya Bunda MjinI

    Wasalaam wanajamvi, Mimi ni mdau wa elimu nchini nikiwa ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani ila nimekulia Mkoa wa Mara. Kwa kipindi chote nilichokaa Mkoa wa Mara na hasa halmashauri ya Bunda mji nimebaini mambo mbalimbali katika mashule ndani ya halmashauria mbayo yanachangia ufaulu au anguko la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…