mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu asitisha kuachiwa kwa magaidi 620

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
  2. Pre GE2025 Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini hakuna hata jimbo moja la uchaguzi nchini litaenda upinzani uchaguzi mkuu wa october 2025

    Kwa namna ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ilivyotekelezwa kikamilifu na kwa ufanisi wa zaidi ya 98%, Ni wazi imani na kuaminika kwa serikali sikivu ya CCM kwa wananchi inaweza kua ni zaidi ya 100%, na hiyo itamaanisha na kuashiria kwamba, CCM inaweza kushinda uchaguzi mkuu wa October...
  3. U

    Rais trump amtimua kazi mkuu wa majeshi ya Marekani pamoja na majenerali wengine watano

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali CQ Brown muda wake wa kuhudumu akiwa Mkuu wa.majeshi unaisha mwaka 2027 Ametumbuliwa akiwa kwenye ziara ya kikazi kusini mwa marekani na taarifa amezipata kupitia mitandao ya kijamii Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Reuters: Trump fires top US...
  4. Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

    Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  5. CHADEMA ifanyeni Hoja ya Mh Mchengerwa, Mkwe wa Rais Samia kua Msimamisi Mkuu wa Uchaguzi ( TAMISEMI) kua Hoja Kubwa , itaeleweka Kwa haraka !!.

    Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka. Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi. Tatizo la CHADEMA, Hamfanyi matumizi sahihi mitandao ya kijamii. Hii ni Hoja nzito Sanaa . Kwanza...
  6. TCRA HESHIMUNI HAKI ZA WAALIKWA MLIWAALIKA MKUTANO MKUU WA DODOMA

    Mamlaka ya Mwasiliano acheni ubabaishaji fanyeni malipo ya washiriki waliofika dodoma kwenye mkutano mkuu wa vyombo vya habari mliufanya Dodoma kitendo cha kutowalipa washiriki mpaka sasa toka siku ya tukio kumalizika ni jambo ajabu sana sio heshima wapo watu walitoka mbali wakatumia gharama zao...
  7. Mufti Mkuu wa Saudi Arabia: Tulichokiona leo huko Gaza ni fedheha kwa Uislamu, kitendo cha kumkufuru Mwenyezi Mungu

    Ila wanywa gahawa wa bongo wanawa brand kama mashujaa. SHAME ON YOU!!
  8. Pre GE2025 Ushauri kwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS Kuhusu Kero Sugu ya Uhalifu wa Kiuchaguzi Unaofanywa na Wanasiasa Matapeli Wakati wa Chaguzi tangu 2010 hadi 2024

    I. USULI Usanifu wa hoja makini hufanyika kwa ajili ya kufanikisha angalau lengo mojawapo kati ya malengo manne yafuatayo: kutafuta jawabu la swali linaloleta mahangaiko kwenye akili za watu (inquiry), kufanya ushawishi ili watu baki wakubali hitimisho lako la kiutafiti (convincing)...
  9. A

    Pre GE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  10. Singida BS wamsagia kunguni Uchebe, wadai hakuwa na sifa za kuwa kocha mkuu wala msaidizi

    Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu hiyo imeeleza sababu za kuondoshwa ni kwasababu hakuwa na sifa ya kuwa kocha mkuu wala kocha...
  11. Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi, Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF Karibuni. Paskali
  12. Pre GE2025 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki Maswa, 16 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif, ameshiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki uliofanyika katika Uwanja wa Ngunzo Nane, Maswa...
  13. Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

    Mungu ni mwema kila wakati. Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito. Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua. Kila la heri kwako.
  14. Ujenzi Ofisi Mpya ya Mkuu wa Wilaya Chunya Kupangiwa Bajeti 2025/2026

    UJENZI OFISI MPYA YA MKUU WA WILAYA CHUNYA KUPANGIWA BAJETI 2025/26 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 maombi ya fedha kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya. Mhe...
  15. Marekani mfadhiri mkuu wa ugaidi duniani

    Mzungumzaji Mbali na usafirishaji wa pesa taslimu kila wiki hadi kila siku 10 wa dola milioni 40 hadi 80. Afghanistan inatawaliwa na watu wanaoitwa Sara Yudin-Hakani. Mtandao wa Hakani unamaanisha chochote kwa mtu yeyote humu ndani? Vipi kuhusu Abdulla bin Laden? Nani anapata sehemu ya pesa...
  16. Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Mfumo wa Upigaji Kura wa Kibaha, secondary ni Njia nzuri ya Kuondoa Wizi na Malalamiko Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania. Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu na uhalali wa matokeo. Katika juhudi za kukabiliana na tatizo hili, shule ya sekondari ya Kibaha...
  17. Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  18. Mkuu wa Mkoa Kagera - Mwassa: Wazazi pambaneni Watoto wenu wasiwe machawa

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amewasihi wazazi na walezi mkoani Humo kuhakikisha wanawasimamia Watoto wao wanapata elimu iliyo bora itakayowawezesha kujitengenezea maisha badala ya kutumia muda mwingi kujipendekeza na kuwa machawa. Mwassa ametoa kauli hiyo Februari 11, 2025 kwenye...
  19. Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CUF Bi Husna Mohammed Abdallah amtembelea Wilfred Lwakatare

    Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii The Civic United Front-CUF Chama Cha Wananchi. Katibu mkuu wa chama cha wananchi-CUF madam Husna Mohamed Abdallah Tarehe 11 February 2025 Alikwenda kumtembelea mmoja wa waasisi wa chama cha wananchi-Cuf ambae pia amewahi kuwa naibu...
  20. Katibu Mkuu CUF afanya ziara TAWLA (Chama cha wanawake wanasheria)

    Katibu mkuu wa chama cha wananchi-cuf madam Husna Mohamed Abdallah leo jumanne tarehe 11 February 2025 alifanya ziara chama cha wanasheria wanawake Ilala Dar-es-salaam,katika ziara hiyo mbali na kujitambulisha lakini alipata nafasi ya kujadiliana mambo mbali mbali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…