mtaa

MTAA Super (Motor Trades Association of Australia Superannuation Fund) is an industry superannuation fund established to serve the motor trades and allied industries.
Created in 1989, it has become one of Australia’s largest super funds. As at 2019, MTAA Super has more than $12 billion funds under management and represents more than 200,000 members and more than 50,000 active employers.MTAA Super is a public offer fund and allows membership to all Australians.
MTAA Super was named SuperRatings 7 year platinum performer for 2003-2010. In 2020, the fund was again awarded Platinum Rating by SuperRatings, who named MTAA Super a “best value for money” super fund.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwenyekiti wa CCM akielezea tukio la Vijana waliodaiwa kupigwa risasi na Askari Zanzibar

    Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Nungwi, Ali Adibu Mbwana Pia Polisi walisema gari lilikuwa halina Plate Number, mzigo huu hapa Pia soma: ~ Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji ~ Jeshi la Polisi kuunda...
  2. LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  3. Naomba kujuzwa mtaa wanaouza Vifaa vya Stationery hasa Rimu paper kwa bei rahisi.

    Nahitaji hivi vifaa kwa bei nzuri na ya jumla, hasa rimu paper, bei yake ikoje kwa kariakoo, mtaa gani vinapatikana kwa wingi? Au ndio haya haya maeneo karibu na kanisa la kkt, Magila na Muhonda? Je specifically wapi wana bei iliyopoa? Mwanza nako kwa aliyeko kule wanauzaje? Mashine za...
  4. K

    LGE2024 Sijui mgogoro huu utafika wapi wa Viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, baadhi hawamtaki Mwenyekiti aliyemaliza muda wake

    Imeelezwa kuna uwepo wa mgogoro wa viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, Kata ya Isamilo, Manispaa ya Nyamagana. Hayo yanajiri baada ya viongozi kutohitaji uwepo wa jina la Mwenyekiti aliyemliza muda wake (Abubakar Self) kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine kutokana na jitihada zake za kuibua...
  5. K

    Barabara ya Mtaa – Nyamanoro (Mwanza) ni mateso kwetu au viongozi wanasubiri watumie kama ahadi wakati wa Kampeni?

    Mimi ni mmoja kati ya Wananchi wa Mtaa wa Green View uliopo Kata ya Nyamanoro, Manispaa ya Ilemela hapa Mwanza tuna malalamiko yetu kuhusu hali ya ubovu wa barabara zilizopo katika Kata yetu. Barabara mbovu zimekuwa zikisababisha usumbufu kwa Watumiaji wa barabara hizo kwa muda mrefu sasa bila...
  6. A

    KERO Uhaba wa maji mtaa wa Simba, kata ya Kilungule Bunju Beach

    Tumekua tukikosa maji bila taarifa hata wiki 3 mfululizo na DAWASA wakipewa taarifa wanajibu watashughulikia na hawafanyi chochote. Aidha maji yanaweza kutoka wiki moja tu ili waweze kutuletea bili,sasa tunahoji kama yanaweza kutoka kwanini muda mwingine hayatoki? Inatulazimu kununua maji kwa...
  7. Nimevumilia muda mrefu sasa nakaribia kuuteka mtaa hamasa kwa wanaoanza biashara

    Kwemah wakuu,,,tunapeana tu motisha na kuongeza mapambano ya kila siku hasa kwa wadundulizaji kama mimi Iko hivi, nilipomaliza chuo niliingia zangu kitaa na idea ya kuuza vifaa vya simu na tigo pesa ambayo nilikuwa naifanya toka nikiwa chuoni hasa tukifunga chuo au nikiwa mwanzoni mwa semester...
  8. Marehemu "Saimoni sayi " A.K.A complex

    MAREHEMU COMPLEX _________________ "Navuta bafu la Vibe natoa moshi wa ryhems/ kama data, data kidogo nakuja na zangu ryhems/ sitaki utani walidhani Tupo ngizani/ wakafika uwanja na kupayuka mengi Hewani/ wakavuta dhamila taswira ikapoteza Dira / Yaani!! Ninapo waza nazidi pata hasira/...
  9. KR Mulla kwenye game toka kitambo mswahili halisi toka mtaa wa Temeke

    KING RASHID ( K R MULLA) MSWAHILI ALIYETUKUKA TOKA TEMEKE ASIYE NA MAJINGAMBO TOKA KITAMBO...🔥🔥🔥🔥🔥🔥 _________________ Jina langu halisi naitwa Rashid Ziada , lakini Jina langu la kisanii Naitwa "K R" jina hili la K R lilitokana kwa Sababu sisi ndio tulikuwa waanzirishi wa Movement Ama...
  10. K

    Barabara ya Kisoko-Silivini Mwanza: Hali mbaya yawa tishio kwa Watumiaji

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kisoko, Kata ya Luchelele, Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ninachojiuliza ni kuwa lini utatuzi wa barabara inayounganisha Mtaa wa Kisoko na Mtaa wa Silivini itatekelezwa? Hii barabara haipitiki kwa usafiri wa gari kutokana na uwepo wa Korongo kubwa ambalo limetokana...
  11. Kwanini serikali ya CCM haitaki uchaguzi wa serikali ya mtaa usimamiwe na TUME HURU YA UCHAGUZI?

    kipara kipya, Lucas Mwashambwa, the big boss, CHAWA, ChawaWaMama na wengine. Naomba majibu. Kwanini hamjiamini? Je ni kweli bila figisu CCM haishindi?
  12. U

    Karibuni sana kwenye makambi Kanisa la Waadvetista Wasabato Salasala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Kwa furaha kubwa nawajulisha kuanza Kwa makambi hapa Kanisa la Waadvetista Wasabato salasala Nyote mnakaribishwa sana Vipindi vizuri vyenye kutoa elimu zote za kiroho na kidunia pia Kwaya za kutosha zitahudumu Usipange kukosa mtu wa Mungu Mtaarifu mwenzako Mungu...
  13. Morogoro Imempa Mtaa Salum Abdallah wa Cuban Marimba Cha Cha Band

    MTAA WA SALUM ABDALLAH WA CUBAN MARIMBA CHA CHA BAND Morogoro wamemuenzi mwanamuziki maarufu Salum Abdallah Yazidi kwa kumpa mtaa ambao yeye aliiishi katika uhai wake. Kumbukumbu yangu ya Salum Abdallah naivuta kuanzia mwaka wa 1957 niko Mtaa wa Kiungani na Sikukuu nyumbani kwa mama yangu...
  14. Kama mchengerwa ndo msimamizi mkuu uchaguzi serikali za mtaa basi wapinzani mmekwisha.

    Wasalaam Zote tunajua kwamba bwana mchengerwa ni mkwe wa mama Samia kwa maana kamuoa mtoto wa rais. Na nakumbuka mwaka jana bwana mchengerwa alikula kiapo mbele ya rais Samia na kujiapiza kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka 2024 hakuna mtaa hata mmoja utaenda upinzani. Hakika siku...
  15. Mdomo wangu umepelekea wanawake wa mtaa mzima kunitazama kila muda. Waume zao wamenijengea hofu

    Napitia kipindi kigumu ndugu zanguni katika kipindi hiki kigumu cha wanaume wazee wa vilainishi Daslamu. Mtaani naanza kuishi kwa mashaka sana Hivi karibuni imeibuka hali ya kuzubaa ambayo inaukumbuka uso wangu. Kuna muda nikitizama kitu najikuta naganda, mwisho wa masaa najisahau kabisa, kuja...
  16. A

    Serikali ya kata ya Kalobe jijini Mbeya imeshindwa kuwajali wananchi wake wanaotumia uwanja wa Kalobe shule ya msingi kufanya mazoezi

    Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita uwanjani kwao. Na kuaribu mazingira ya uwanja huo mmoja unaotumiwa na mtaa mzima vijana waliongea na...
  17. Interview za Utumishi na barua kutoka Kwa serikali ya mtaa

    Hello, Naomba msaada Kwa wenye experience na interview, ntakuwa na interview next week, ila nimeambiwa kuwa lazima uwe na kitamburisho Kwa utambuzi. Nida namba ninayo ila sijapata kitamburisho, kadi ya mpiga kura ninayo ila walikosea jina. Badala ya kuandika JACKSON waliandika JACKSONI. hapa...
  18. Mtendaji wa Mtaa III - nafasi 10 Ifakara Mjini - July, 2024

    POST LOCAL EXECUTIVE III – 10 POST EMPLOYER Ifakara Town Council APPLICATION TIMELINE: 2024-07-09 2024-07-22 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES 1. Secretary of the Local Committee 2. Local Chief Executive 3. Coordinator of the implementation of Policies and Laws implemented by the...
  19. HONGERA SANA AFISA MTENDAJI WA MTAA WA NYERERE HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    Sasa unaingia mkoa wa Mara!Utakutana na maandishi yakiwa kwenye hiki kibao mara tu unapoiacha Simiyu na kuingia mkoa wa Mara.Jina la mkoa halijulikani sana ukilinganisha na jina la makao makuu ya mkoa,Musoma.Ndio maana wengi wanajua jina la mkoa ni Musoma!Huu ni mkoa ambao mfumo dume ni mahali...
  20. KERO Mamlaka haziioni barabara ya mtaa wa Lindi Kariakoo?

    Nimekuwa nikipita mara kwa mara mtaa wa Lindi kariakoo ili kuegesha gari kwenye eneo la maegesho gerezani. Ile barabara kuanzia makutano ya mtaa wa Lindi na Msimbazi mpaka makutano ya Lindi na Kawawa Road (Karume) ni mbaya mno. Eneo ambalo daladala za Tandika zinapaki lina mabwa makubwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…