mtaani

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Ukarimu au Siasa za Kura? Mbunge wa Nyaribari Chache Aibua Gumzo kwa Kugawa Pesa Taslimu Mtaani"

    Mambo yamekuwa moto katika Kaunti ya Kisii, haswa baada ya video kuibuka ikimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Nyaribari Chache, Hon. Zaheer Jhanda, akiwa katikati ya vumbi akifanya mambo yake mtaani. Kwenye video hiyo iliyosambaa kwa kasi, Mbunge huyo anaonekana akigawa pesa taslimuhasa noti za...
  2. JamiiForums Tanzania Kama unahisi umeichoka NDOA achika uje mtaani uone. Utalia kwa kipare.

    Kama unahisi umeichoka NDOA achika uje mtaani uone. Utalia kwa kipare.
  3. JamiiForums Tanzania Kontena na Divisheni Ziro limetua mtaani: Mama Gwajima ingilia kati

    Kwa hili wimbi la hawa vichogo wanaomaliza fom foo, kuna haja ya mkakati madhubuti. Nikiwaangalia hawa naona kabisa ni kama maboksi matupu ambayo yako rada katika uzalishaji wa watoto wasio na baba. Akili yangu inaniambia, kizazi cha GEN Z ni kizazi kisicho bunifu na chenye akili duni sana...
  4. JamiiForums Tanzania Bajaji zaanza kurejea mtaani Mbeya, daladala zalalamika

    Bajaji jijini Mbeya zimeanza kurejea barabarani baada ya kusitisha huduma kwa takribani siku mbili kupinga kuondolewa katika barabara kuu ya Tanzam, huku wananchi wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Jumanne Sagini, kusimamia msimamo wake wa kutaka vyombo vya usafiri kuzingatia sheria. Hata...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu yupo Sana tu mtaani ninyi andaa tu jinsi ya kumpokea, wanaharakati baadhi wanawadanganya

    The frivolous, fabricated and politically orchestrated prosecution against Lissu has become a severe albatross around the neck of Samia's illegitimate and unlawful regime! And yet, simultaneously, you eulogize and applaud activists who are being fed spurious, mendacious intelligence to obfuscate...
  6. JamiiForums Tanzania Wale wanaofanya biashara ndogondogo mtaani ni waha?

    Wanapenda kuishi kimakundi unakuta chumba kimoja wanaishi hata nane wanapika na kula pamoja! Wakishatengeza sambusa/mishikaki hao kila mtu na njia yake kwenda kutafuta wateja.. Biashara zao hazinaga maongezi bei za bidhaa zao ni standard (500 per piece). Unaweza kumtambua kama huyu ni...
  7. JamiiForums Tanzania Watu wanafanya Money Laundering nyie mnakazana na story za kuuza UTU, Migongo, Mara Kafara Pesa ziko nyingi sana mtaani na hawajui wapi pakuzipeleka

    Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo. Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna maandamano, kwa hiyo harakati zao zitakwenda fresh. Siwezi directly kusema inatokana na mitikasi ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukopesha fedha ndogondogo mtaani

    Wa JF, habari ya wakati huu, mimi nimevutiwa sana na hii biashara ya kukopesha pesa ndogondogo mtaani, naomba mwenye ufahamu wa namna ya kupata vibali vy kukopesha anifahamishe ili nianze kufuatilia vibali. Asanteni
  9. JamiiForums Tanzania Slangs za kuwatambulisha aina za wadada tofauti mtaani

    1: Pacome Mademu wanao nyoa na kupaka bleach za rangi kwenye nywele Mfano: "huyo pacome wako mtaachana tu" 2: Makebe Demu alie na makebo makubwa (makalio makubwa) Mfano: "makebe mmoja kapita hapa, aisee anayatingisha" 3: Tilatila Demu alie mnene/kibonge Mfano: "tilatila mmoja ndio amevunja...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Dar,hapa mtaani inaonekana kuna wanawake wengi kuliko wanaume

    Yaani kwa tathimi yangu niliyoiona kuna wanawake wengi sana mpaka nimebaki najiuliza sasa wanaishije,kila nikitoka inje ni wanawake tu, si wamama,vibiti,na vitoto vya kike, Tofauti na mkoani niliko toka hakuna mabinti wamejaa watu wazima hasa mabibi wajane,au ndiyo huwa wanakimbilia huku dar...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

    Baada ya kuachana na manzi ex wangu, nilijikuta na fall in love na manzi mmoja wa mtaani.. Tulikuwa tunapishana mara kwa mara, mtaani sa siku moja usiku tulikutana kiyepe point, so siku ile alikuwa kaagiza kidali na zege.. Mm kama kawaida yangu huwa na chukua ndizi za kukaanga na nyama choma...
  12. JamiiForums Tanzania Responded Waziri Gwajima aingilia hoja ya Mdau aliyedai mtuhumiwa aliyemfanyia ukatili mtoto anatamba mtaani

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram muda mfupi baada ya kuchapishwa kwa hoja ya Mdau aliyeelezea tukio la mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kufanyiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa siasani mtaani kimyaa kama hakuna kilichotokea

    Lile jiwe limetupiga pakubwa urithi wake utadumu milele Angepewa uenyekiti wa simba na yanga ingependeza zaidi mzogoo upungue tumechoka kelele wallahi
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mhitimu wa digrii au diproma ya kodi ambae umechoka kukaa mtaani bila kazi kisa huna uzoefu wa taaluma yako?

    Ewe mhitimu wa kodi hii ni nafasi njema kwako' (i). Unapenda kupata uzoefu ili uanze kutengeneza pesa kwa kutatua matatizo ya wafanya biashara na makampuni mbalimbali. (ii). Unahitaji kupata uzoefu kwenye taaluma yako ili uaminiwe na waajiri pindi unapoitwa kwenye interview. (iii). Tumia career...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ni nchi nzima au mtaani kwetu tu tunauziwa cement kwa 30,000?

    Kwa kweli nanathindwa kweleeewa!
  16. JamiiForums Tanzania Tulia uko wapi mbona husemu neno?. Mwakalenga jana katapeliwa

    Wakuu kwema? Asee jana nilipata wasaa wa kucheka na kulia kwa pamoja. Pamoja na taarifa kusambazwa na kujadiliwa kila.mahala bado kuna watu wanaendelea kutapeliwa na hawa jamaa wa mikopo online. Tulia trust mikopo wamemtapeli jamaa mmoja muendesha bulldoza hapa Unguja jana. Kalipa laki 3 na...
  17. JamiiForums Tanzania Enzi za jiwe, tuliogopa kuchunguza vyeti "FEKI" kwenye majeshi yetu, kuofia kutengeneza majambazi mtaani, Nina wasi wasi huyu shahidi na yule alie kuf

    Enzi za jiwe tuliogopa kuchunguza vyeti FEKI kwenye majeshi hasa jeshi la polisi, ILA Nina wasi wasi huyu shahidi Amini Mihamba kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu Kuna mmoja alikuwa anesoma na mwingine alifoji vyeti. Kwa kuwa wa kwanza aliushafariki, na kwa jinsi utetezi wa huyu aliyehai...
  18. JamiiForums Tanzania Kisa cha Zimbabwe kuchapisha kiasi kikubwa cha fedha, lakini bado ikakabiliwa na upungufu wa cash mtaani

    Tujikumbushe kuhusu kisa hiki cha Zimbabwe Thamani ya fedha iliporomoka kiasi kwamba manunuzi ya kawaida yalihitaji kiasi kikubwa sana cha noti, hali iliyozalisha picha maarufu za watu kubeba mafungu makubwa ya fedha kwa ajili ya bidhaa za msingi. Cha kushangaza zaidi ni kwamba, pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Nasikia Cement imepanda hadi kuuzwa Sh 22,000 kwa mfuko. Mtaani kwenu mnanunua kwa bei gani?

    Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi 17,000, sasa imekuwaje ghafla tu mzigo umepanda kwa kiwango hicho? Kuna nini nyuma ya pazia...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Saikolojia ya Wanadamu kwenye maisha ya kila siku

    Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa thamani na watu unaoamini ni wa karibu kwako. Hapa kuna kanuni 5 za kisaikolojia kuhusu wanadamu ambazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…