mtego

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Leo nimeingia kwenye mtego wa "Ila hii nchi . . . "

    Nitajirekebisha na siku nyingine nitakuwa makini.
  2. JamiiForums Tanzania Bro, Usiingie mtego huu

    Broh, Usiingie mtego wa kuoa au kumzalisha mwanamke sababu ana pesa ,Kazi nzuri au ana elimu kubwa. Unajua kwa nini, Mwanaume kaumbwa kutawala hawo watataka kukutawala ,Mwanzoni atakupa vijipesa ,ata kusaport biashara na issue uko mbele misaada itakata, atataka na wewe uanze kumuhudimia ndo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Thucydides: Jinsi Tanzania na Majirani Zetu Tunavyonaswa Kwenye Vita ya Marekani na Uchina

    Picha ya pambano la kijiografia kati ya Marekani na Uchina Wakuu, salamu! Leo nimeamua kuhama kidogo kwenye yale mazoea yetu ya kila siku ya kufanya tathmini za siasa za ndani za vyama na majina ya wanasiasa hapa Tanzania. Badala destiny yetu tusogeze darubini mbele zaidi na tuangalie siasa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Algoriti na Shauku ya Umma: Kwa Nini Maudhui ya "Machawa" Yanasonga Mbele Kuliko Mada za Msingi?

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kuna kitendawili kinachoshangaza lakini kikitazamwa kwa kina kinaeleweka kijamii na kisaikolojia: mada zinazohusu ushangiliaji wa kisiasa au kijamii—maarufu kama "uchawa"—zinapata wafuatiliaji na mwingiliano wengi (engagements) na kujadiliwa kwa kasi kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

    Bwana nyie wakuu habari zenu, nimekutana na scennario moja very very funny japo ni serious kwa upande mwingine. Katika makujumu yangu ya hapa na pale, nika come accross mteja, ambaye mimi pasipo kukusudia nikajikuta tume exchange numbers. Ni juzi juzi tu kama wiki 2 zimepita ambapo mpaka...
  6. JamiiForums Tanzania Mtego wa Umaskini na Dhana ya Kujitegemea

    Leo ngoja niwape madini ya kwa nini familia nyingi zinabaki masikini, tunajikwamua lakini bado tunarudi pale pale, unakuta Baba kapambana kapata vimali, lakini badae miaka mbeleni unakuta bado familia ina struggle pale pale kwenye umasikini. Dhana kubwa hipo katika hoja ya "Ukajitegeme" au "...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Misaada ya Afya na Mapinduzi ya Kulinda Data: Ndani ya Uamuzi wa Ghana Kuisikitisha Marekani na Mtihani wa Kiutawala wa Tanzania

    Habari Kuu: Ghana Yaupiga Chini Mkataba wa Dola Milioni 109 Serikali ya Ghana, chini ya Rais John Dramani Mahama, ilikataa rasmi mkataba wa afya wa miaka mitano wenye thamani ya dola milioni 109 (zaidi ya bilioni 300 za Kitanzania) uliopendekezwa na serikali ya Marekani. Uamuzi huo...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA msiingize kwenye mtego wa Machinga na CCM

    Hao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!" Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.
  9. JamiiForums Tanzania Lissu anajua sheria aisee, aeleza kuwaita Samia, Mpango na Majaliwa aliweka mtego

    Lissu shikamoo Wewe ni mwamba wa sheria nchini. Unaona vitu ambavyo akili yetu haijaviwaza Lissu ameeleza kuwa kwenye hati ya mashitaka haikuelezea na Kwa jinsi Gani serikali ilitishika hakuna huo ushahidi Lissu akaamua awaited viongozi wakuu wa serikali wake mahakamani wayhinitoshe...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa nyingine ni mtego: Mtu akistuka tusitie maneno zaidi

    Katika pitapita yangu leo nimekutana na andiko katika Biblia kitabu cha ; 1 Samweli 18:21 "Naye Sauli akasema moyoni, Mimi nitamwoza huyu, awe mtego kwake, tena kwamba mkono wa Wafilisti uwe juu yake. Basi Sauli akamwambia Daudi mara ya pili, Leo utakuwa mkwe wangu". Baada tu ya kusoma mstari...
  11. JamiiForums Tanzania Kutajwa kwa JWTZ kwenye Mzozo wa Mashariki mwa DRC – Je, Diplomasia yetu ya Kiulinzi inaiweka Tanzania kwenye Mtego wa Kijiografia?

    Nikiwa ninapitia mtandao wa X (zamani Twitter), nimekumbana na chapisho (tweet) la mwandishi wa habari Steve Wembi lililoniacha na maswali mengi sana kuliko majibu. Kama kuna jambo linalotakiwa kufuatiliwa kwa jicho la ziada na wadau wa usalama wa taifa na sera za kigeni hivi sasa, ni mtiririko...
  12. JamiiForums Tanzania WANAYANGA MSIJE KUINGIA MTEGO WA MAKOLO KUHUSU MANQOBA MNGITHI, CHUKUA HII.!

    Wakuu I salute you kinsmen Imepita muda sasa sijaingia hapa lakini leo nimepata nafasi na sasa Acha niongelee jambo hili linalosumbua wanayanga ambalo kimsingi ni propaganda tu. Mosi Wakuu sioni tatizo la kocha wetu kabisa, bwana manqoba ni kocha mzuri ambaye tulisubiri muda mrefu. Tatizo ni...
  13. K

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 na Mkakati wa "Dada wa Taifa": Mtego wa Kidemokrasia Ambao Dola Haidumu Kuushinda

    Utangulizi: Sauti ya Mange Kimambi na Karata Mpya ya Mapambano Mange Kimambi amekuwa nguzo muhimu katika kuibua mijadala ya kijamii na kisiasa nchini Tanzania kutokea uhamishoni. Licha ya changamoto za kufungiwa kwa akaunti zake za Instagram na serikali kushinikiza masharti makali dhidi yake...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lema na Onyo kwa CHADEMA Kuhusu Mtego wa "Siasa za Kutenganishwa," Wanaharakati Mamluki, na Mateka wa Kifedha

    Wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito mtandaoni na kwenye ulingo wa kisiasa nchini unaomhusu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema. Tuhuma za yeye "kulamba asali" zilizosambazwa mitandaoni baada ya yeye kuchapisha salamu za pole za Mwenyekiti Tundu Lissu kwenda kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania wangapi wamehudhuria mkutano huu kupitia mtandao kama ulivyoitishwa na balozi wetu nchini Marekani?

    Huu mtego si sawa na ikiwezekana itabidi mbinu hizi DHS wataarifiwe. Hata kama balozi angeitisha mkutano huu 'live' bado wasiwasi ni mkubwa kuliko inavyodhaniwa. Nasikia watu walijipanga uzuri kusubiria lakini kimyaa! Nafikiri ntaeleweka.
  16. JamiiForums Tanzania Malisa, acha kubishana na hao ndugu, hawapendi! Ni mtego huo- jiondokee zako

    Sasa, unaweza uone unaweza kuwabishia hao Masadukayo. Lakini ukweli ni kwamba, umetegwa na wanajipanga kukuundia jambo Ondoka na rejea ulipokuwa kwa amani kabisa. Mshika mpini daima hupenda akuonyeshe kwamba, yeye ndiye na wewe siye Mwenye masikio na....
  17. JamiiForums Tanzania Yanga tusiingie kwenye mtego wa Simba. Selemani Mwalimu walikuwa wanamkarisha hadi dk za mwishoni. Sisi tunamweka bench?

    Matches 2 za Yanga Selemani Mwalimu hajacheza. Why? Why? Kocha una tatizo gani kumtumia Sele Gomez? Huyu tulimchukua kwa shangwe leo anachezea bench tu? Maana yake nini? Yeye alisema anaondoka Simba sababu hapewi nafasi kikosi cha kwanza. Anakuwa bench mpaka dk za mwishoni. Anakuja Yanga aanze...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego

    Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Umewekewa Mtego

    Nimeona Jamhuri katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wamefunga Ushahidi, Kama majaji wakitoa ruling una kesi ya Kujibu kitu ambacho nadra kwa sababu elements za Kosa kwa kiasi kikubwa hazijawa Proved ili uchomoke faster jitetee tuu mambo ya kuanza kuwaita akina Samia, Mwigulu...
  20. JamiiForums Tanzania Mtego wa Siri wa Kinyongo na Kukwazika (Offense) Apostle *Miz Mzakweh Tancredi*

    Eneo kubwa la tahadhari katika ujumbe huu ni mtego wa kiroho wa kukwazika au kubeba kinyongo moyoni, ambao shetani anautumia kama silaha ya siri kuzuia baraka. Maana ya "Scandalon": Neno la Kigiriki la kukwazika (offense) ni scandalon, ambalo linamaanisha kichocheo au kifyatulio cha mtego wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…