mtu mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Naombeni ushauri nimetoa elfu hamsini hapa kijiweni kwa mtu mmoja aniandikie neno kwaya kwa kuzungu sijapata mtu aliyepatia hadi sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata Mchana mwema
  2. Rushwa nimekubali ina nguvu kubwa sana, huyu ni mtu mmoja kwa masaa tofauti,ila kauli tofauti!

    Huyu ni mtu mmoja, kauli tofauti ila kwa tofauti ya masaa! Rushwa ina nguvu sana!
  3. CCM sio mtu mmoja ni zaidi hivyo inapaswa kuwa huru kusimamisha mgombea ambaye chama kizima kitamkubali sio eti muweke mtu kwasababu ni Rais

    Kuelekea uchaguzi mkuu nitoe wito kwa CCM kusimamisha mgombea ambaye watanzania wa chama hicho wata mchagua kuwakilisha chama mwenye hoja, mwenye uwezo na maono bora sio mnapitisha mtu kwa kuangalia heti ni raisi au sijui nani, hii itakuwa ni pengo kwenye taifa kwa ujumla kwani mtu huyo...
  4. Mbeya: Mtu mmoja auawa kwa kukatwa na panga wakigombea goli lilokataliwa uwanjani

    Anyulise Mwamkisu (49) ameuawa kwa kukatwa na mapanga, katika uwanja wa mpira wa miguu wa Kijiji cha Mofwile Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, kulikokuwa na Ligi ya mpira kati ya Nyuki FC na Mofwile FC na kuibuka kwa vurugu baada ya timu moja kushinda goli na kukataliwa, hali...
  5. Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  6. Tuzo za CAF 2024: Kwanini Diamond Platnumz hakushangiliwa hata na mtu mmoja alipotumbuiza?

    Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza. Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini? Yawezekana ni kwakuwa...
  7. Huwezi Pinga Kuwa Dini (madhehebu yote) yamegeuka kuwa biashara zinangonya waumini. Kama una hoja utasikilizwa na kujibiwa

    Nipo tiyari kukosolewa lakini Kwa uthibitisho tu na sio mbwembwe zingine. Kwanza hakuna kwenye biblia sehemu yoyote Ile watu walifanya harambee ya kumnunulia mtume ama nabii punda ama farasi Kwa Wakati huo maana hapakuwa na magari Wala pikipiki. Hivyo usafiri wao ulikuwa Punda,Ngamia au...
  8. Mahusiano ya mapenzi na ndoa huitaji mtu mmoja mjinga, two smart people they can’t ever fall in love

    Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili Ni Hilo tu nawafundisha...
  9. Sam Sasali: Tusihukumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja

    Wakuu, Mtangazaji mkongwe wa Clouds Media Group, Sam Sasali ana neno kwa wote wenye tabia ya kulaumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja == "Watu wanahukumu jeshi lote la Polisi inapotokea shida lakini shida sio kwa Jeshi ni mtu mmoja mmoja. Ukisema traffic wanakula rushwa sio kweli...
  10. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania. Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
  11. Shirikiana na wenzako, hakuna Jeshi la mtu mmoja

    📖Mhadhara (67)✍️ Kuna msemo unasema "ukitaka kufika haraka nenda peke yako, lakini ukitaka kufika mbali nenda na wenzako." Kupitia msemo huu unadhihirisha kwamba ili ufike mbali hupaswi kujitenga sana. Kwenye safari yako ya mafanikio watu ni muhimu sana, na wala hupaswi kuogopa adui. Acha...
  12. Mwili wa mtu mmoja waokotwa mto msimbazi

    Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika amekutwa amefariki dunia katika Daraja la Mto Msimbazi mpakani mwa Msimbazi Centre na Kigogo. Sababu zilizosababisha kifo chake bado hazijafahamika na tayari Polisi wameuchukua mwili huo ambao ulikuwa umeanza kuharibika kwa ajili ya uchunguzi.
  13. Polisi Arusha kuchunguza Tukio la Kifo cha Mtu mmoja Eneo la Moivaro

    Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi; ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 50 hadi 55 mkazi wa Baraa Jijini Arusha aliyekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa...
  14. Umuhimu wa Shirika Kuwa na Ufadhili Kutoka kwa Mtu Mmoja Mmoja (Individual Donor)

    Mashirika mengi yasiyo ya kiserikali yaani, “Non-Governmnetal Organizations” yanapokea ruzuku kutoka kwenye vyanzo vikuu vitatu, ambavyo ni; 1) Taasisi za ufadhili yaani “funding organizations/foundations” 2) Makampuni ya kibiashara yaani “corporations” na 3) Mtu mmoja mmoja yaani “individual...
  15. Hakuna hata mtu mmoja aliyeweza kurekodi video clip ya mtu akitekwa ?

    Inawazekenaje watu wanaweza kurekodi kwa siri video clip za dungadunga kwenye dalalala na mwendokasi ila walishindwa kabisa kurekodi video ya Ali Kibao akichukuliwa mateka na wasiojulikana katika bus lenye abiria zaidi ya 40?! Ni kweli mpaka sasa hakuna hata raia mwema mmoja aliyefanikiwa...
  16. Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

    Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama...
  17. Naomba kujua bei ya bima ya afya NHIF kwa familia, na kwa mtu mmoja

    Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
  18. Nani ni maarufu sana eneo unaloishi? Nini chanzo cha umaarufu wake?

    Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile. Mi naanza na huyu.. Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
  19. Takwimu: Mtu mmoja anakunywa pombe lita 10.4

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema takwimu zinaonesha kuwa wanywaji wa pombe wameongezeka nchini hali inayofanya kuanza uhamasishaji wa kupunguza unywaji wa pombe. Takwimu alizotoa zinaonesha kuwa mtu mmoja anakunywa lita 10.4 kwa mwaka ambapo awali mtu mmoja alikuwa anakunywa lita 9.1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…