Wadau nahitaji Showcase/display fridge ya lita 300-380, kwa ajili ya biashara..
Nikinyoosha sana mkono Naishia 1.5M, kulingana na Brand na ujazo.
Brands ninazoziwaza ni kati ya
Midea
Haier
Hisense
Westpoint
Bruhm au
Von,
Ninacho omba kujua kwa wazoefu, kuna za mtumba Nyingi tu kama LG...