muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Suala la hospitali kutokuzuia mwili wa marehemu linasubiri muda wa Kampeni? CCM!!!!

    Jana Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM ametoa ahadi nyingi za mambo ambayo Serikali yake itatekeleza katika kipindi cha siku 100 za mwanzo. Moja kati ya mambo hayo ni kuhakikisha kuwa itaondoa utaratibu uliopo sasa wa kuzuia miili ya Marehemu ambayo haijalipiwa, kuchukuliwa na ndugu zao...
  3. JamiiForums Tanzania Siri za Kariakoo: Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya jumla bila kupoteza muda

    Wafanyabiashara wengi wanajua Kariakoo kama sehemu yenye msongamano na kelele, lakini wachache sana wanajua nguvu iliyo ndani ya machimbo ya bidhaa yaliyopo pale. Kariakoo ndiyo moyo wa biashara Tanzania — bidhaa zikishafika Kariakoo, unaweza kupata kila kitu kutoka bei ya jumla, hadi bidhaa...
  4. JamiiForums Tanzania Unaweza kuingia serikalini na elimu ya form 4 je muda gani unaweza kuongeza elimu yako

    Mfano umepata kazo ajira portal FORM 4. NA UNA CHET CHA DEGREE ILA HAUJAKIPANDISHA AJIRA PORTAL KUNA UWEZKANO WA KUONGEZEKA CHEO BAADA YA MUDA GANI
  5. N

    JamiiForums Tanzania Shabiby Line ya Dodoma-Songea acheni uswahili tunzeni muda

    Kama basi linatakiwa kuondoka saa 02.00pm Songea kwanini mpaka sahivi haionekani? SuperFeo ya route hiyi kashafika mbali. Wahudumu mtakuja kuua biashara za watu, achenu uswahili.
  6. JamiiForums Tanzania Polepole - kwa mazingira haya tukatae uhuni Tanzania

    Link Down Below https://www.youtube.com/watch?v=tcNQ0ZEdV8c Rostam Aziz anamiliki hisa katika kampuni kadhaa zinazojihusisha na uchimbaji madini ya makaa ya mawe, hasa kampuni yake ya Taifa Mining and Civils ambayo ilinunua hisa za kutosha katika Mgodi mkubwa kabisa nchini wa TANCOAL, kutoka...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kitamlamba muda sio mrefu

    Uzi tayari Picha inajieleza
  8. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mimi nafikri muda mwingine shetani akikaa na ku-review mambo kama haya huwa anasikitika sana namna anavyosingiziwa muda wote

  9. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Chama cha upinzani na hakijawahi kuwepo, mkija kuelewa hii mtakuwa mshapoteza muda sana.

    Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo. Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti Othman Masoud Othman Anazungumza na Wahariri, leo Agosti 23, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman anazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari muda huu katika Hoteli ya Serena. https://www.youtube.com/watch?v=QALdEBBAQlk Mazungumzo ya Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia ACT Wazalendo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Serena Hotel...
  11. JamiiForums Tanzania TFF tumieni muda huu huu wa kutolewa kwetu CHAN 2004/2005 kumfuta Kazi pia Kocha Hemed Suleiman Morocco kwani hakuna Kocha hapo

    Tuachaneni na huu Ushamba kuwa hata Makocha wazalendo wana Ubavu wa Kufundisha Timu zetu za Taifa. Afukuzwe.
  12. JamiiForums Tanzania WATANZANIA WOTE MNAKARIBISHWA MKAPA DE STADIUM; Game ni Saa 2:00 Usiku Free Entrance muda wako tu.

    Umofia wana Sports ! Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo bahati mbaya siku ya jana POS ya kununua tickets ilikuwa down sana kiufupi hakuna ticket iliyouzwa...
  13. JamiiForums Tanzania 🌍 Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda

    Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda Katika ardhi nzuri iitwayo Tanzania, yenye milima inayogusa mawingu na mito inayobeba nyimbo za jadi, ulisimama Mti Mkuu uliowakilisha taifa. Mizizi yake ilitanda hadi ndani ya historia ya Uhuru, ikagusana na mifupa ya mashujaa waliopigania heshima ya ardhi hii...
  14. R

    JamiiForums Tanzania The morphing of dictators: why dictators get worse over time

    KUTOKA MTANDAONI "The morphing of dictators" refers to the concept that authoritarian leaders, even those starting with good intentions, often evolve into more ruthless tyrants over time due to the decisions they make to maintain power. A model proposed in an Oxford Academic article suggests...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Walimu zaidi ya 80 Wilaya ya Ngara tuliohamishwa mwaka jana mwezi Mei hatujapewa hela za kujikimu. Hali ngumu

    HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI. PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) afunguka mabadiliko wanayoyahitaji, awapongeza pia Askofu Gwajima na Polepole

    Wakuu tusubiri madini kutokea Kanda ya Nyasa hapo saa 7 https://www.youtube.com/watch?v=uKYw8JinUVc === Sugu anabainisha kuwa hadi hakuna hatua zozote zilizochukuliwa licha ya watu kupotea akiwemo Deus Soka na wenzake. Aidha ameeleza kuwa dola imeendelea kuonesha ubabe kwa kufanya mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa unamfikiria mtu na yeye muda huo huo anakuwa anakufikiria.?.

    Kwanini ukiwa unamfikiria mtu na yeye muda huo huo anakuwa anakufikiria . Kabla haujampigia anakupigia au vise versa yake , unajua inasabaishwa na nini hali hii !? Usiondoke hapa ! Namaliza kula nakuja. Hapa ndo utajua umuhimu wa kuwa na positive thinking .
  18. JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa serikali ya GHANA alitakiwa mpaka muda huu awe jela?

    ina maana ile serikali ya GHANA wote waliomo mle ndani ni wote watakatifu?
  19. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana. Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna muda hizi siasa huwa zinachekesha sana

    Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa, Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁 Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…