mungu

  1. Wa Mungu Kwa Ajili ya Mwanadamu: Katiba ya Sentensi Moja kwa Viumbe Vyote Wenye Akili – Wanadamu na Mashine (III)

    Kabla ya kuzuka kwa teknolojia hizi mpya, wanadamu walikuwa wakipiga hatua kwa kasi. Sasa ni zamu ya teknolojia kuendelea kwa kasi pia. Kwa nini? Hii ni kwa sababu ni asili ya viumbe wenye akili kuendelea mbele: Kwanza katika akili zao, na matokeo yake, katika nyanja zote za kile wanachokiona...
  2. Dini ndio zitakazo tupeleka motoni. Msingi wa Mungu ulikuwa fresh tu hadi hapo Siasa za dini zilipoingilia kati

    Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu. Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu. Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu. Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
  3. D

    Hivi kwa nini watu hawamwogopi Mungu?

    Watu wanaiba kura kama akina Nape ambao walitangaza hadharani kabisa. Jamani mungu yupo na maisha haya ni mafupi sana. Andaeni maish ya uzima ambayo ni ya milele. Kuna siku nimepta maona kuw Nyerere yuko mbinguni kwa sababu alitenda mema na kastahili. Sasa jamami tendeni mema
  4. Hivi ni kweli Mungu yupo bara la Asia tu?

    Nimeona tamaduni za Kiyahudi, Uislamu na ukristo chimbuko lake ni Asia. Hivi ni kweli Mungu aliona muhimu kuwaleta mitume kwa bara hilo tu? Majibu tafadhali.
  5. D

    Jamani Mungu yupo na anafanya kazi usiku na mchana. Tuache kuonea watu mungu hapendi na kisasi chake

    Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla...
  6. Afrika kusini kuna kanisa linamuabudu rapa lil'Kim kama mungu wao

    In South Africa, there is a church in which they worship RAPPER LIL'KIM as their GODDESS. The Church is known as " THE HOLY TEMPLE OF GODDESS LIL'KIM" and it operates in form of a secret society. It is located at KEMPTON PARK ( 45 MINUTES DRIVE TO DOWNTOWN JOHANESBURG) They have a very...
  7. Mungu wa kwenye wimbo wa taifa ni Allah au God?

    Wakuu Kwenye wimbo wa taifa anatajwa Mungu yupi Je viongozi wetu ni waumini wa Mungu, Je matendo yao yanaakisi uwepo wa Mungu ndani yao? Tujadili
  8. JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  9. Unatoa sadaka lakini haufanikiwi jibu hili hapa

    Habari zenu wapendwa Kumekuwa na mahubiri mengi kwa sasa kuhusu utoaji huko makanisa ata yale makanisa yanaendeshwa kitaasisi lakini nayo mahubiri yao kwa sasa yamehamia zaidi utoaji wa sadaka. Swali Je ? kuna tatizo kuwa wingi wa mahubiri haya makanisani Jibu ni hapana! Hakuna shida kanisa...
  10. Uwa najiuliza kwa nini baadhi ya miradi au mipango ya mwenyezi Mungu baada ya muda fulani ufeli. Mifano ipo.

    Why do some of God's major projects or plans misfire? Kwa kutumia akili yangu ya kawaida tu ya kibinadamu nimekuwa nikijiuliza hilo swali na hapa nitatoa mifano kadhaa: 1. Kwa mujibu wa maandiko ((kama ni kweli) wakati Mungu anamwumba Lucifer mpango wake ulikuwa kumwona Lucifer akiendelea...
  11. M

    Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee, ikiwa yeye ndie Mungu Sadaka aliitoa kwa nani?

    Habari wadau Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee. Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu? halafu Mungu anatoa sadaka ili apate nini?
  12. Ufirauni ni machukizo makubwa mbele za Mungu fanyeni toba

    Haya mambo kuingilia wanawake kinyume na maumbile kwa sasa yamekuwa ni fasheni lakini katika ulimwengu wa roho dhambi hii ni mbaya sana sababu utapofanya dhambi hii katika ulimwengu wa roho utaonekana kama mtu mwenye alama ya muhuri kwenye paji la uso wako yani ata siku utapokufa na unasogea...
  13. Taifa la Israel linalindwa na Mungu (Mungu hufanya kazi pamoja na wanadamu)

    Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel. Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili. Mungu haonekani kwa macho ya mwili wa mwanadamu. Ila ameweka kanuni. Utaratibu wa Mungu hapa duniani ni...
  14. Mungu Hailindi Israel Tena, Israel inalindwa na Marekani na Mataifa ya Ulaya

    Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu.. anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israel🤬🤬 Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila... Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi...
  15. Mungu atulinde na hatari za usiku huu.

    Kwa tulioyaona Matendo ya Mungu kwetu na jinsi alivyotuvusha katika hali ngumu tunajua atatenda sawasawa na Mapenzi yake. Amina
  16. Mwanadamu pia ni Mungu

    Katika pita pita zangu, nimekutana na hoja ya pasta mmoja wa Kenya akisema kuwa kuna Mungu na pia kuna miungu, na miungu ni sisi wanadamu. Watu walicheka sana na kumuita mnafiki. Kuna watu wengi wanashindwa kuelewa maana ya neno Mungu. Wanafikiri Mungu (Allah) ni jina la Yehova au Yahweh. Neno...
  17. Namshukuru Sana Mungu kwa hii Bar Jirani inayokesha siku Tatu kwa wiki, imenikuza Sana Kiroho.

    Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni. Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku Tatu mfululizo. Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Huwa nawafuatilia wako siriasi Sana na ratiba ya...
  18. Tunayaweza yote katika yeye atutiaye Nguvu

    Mungu wewe ni muweza wa yote. Tunaomba ulinzi wako siku ya leo na siku zote.. Amen
  19. Mungu wa Mbinguni awalinde barabarani,kazini, Biashara, Shuleni na kubariki kazi za Mikono yenu.

    Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana. Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea. Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
  20. Mungu ni Mwema sana

    Tunapaswa Kumshukuru Mungu kwa Wema anaotundea wakati wote. Nasema hivi kwa sababu kuna wakati unaweza kukutana na Jambo gumu sana.Lakini Mungu akafungua njia. Mungu ni wa yale yaliyoshindikana kibinadamu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…