mwenyekiti uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi CCM, tunzeni akiba ya maneno mnapokuwa mnazungumza

    Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia. Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana. Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi hiyo kwa maslahi yako binafsi. Tambua una ndugu, familia na jamaa. Nawakumbusha, walikuwepo na...
  2. JamiiForums Tanzania Kawaida: Kamati Kuu ilimuita Nchimbi lakini kwa sababu ya kiburi na kudharau chama aligoma kuja, tukamfukuza

    wenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwa kushirikiana na NEC, ilitoa maelekezo ya Balozi Emmanuel Nchimbi kuitwa katika vikao vya maadili, lakini alikaidi maelekezo hayo. Kawaida amesema hayo leo Agosti 29...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Dar: Katiba mpya sio suluhisho la matatizo ya vijana, uwajibikaji

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed amesema; "Hata tukitengeneza Katiba Mpya leo kama watu hawatawajibika bado tutarudi kwenye suala la malalamiko kwa Wananchi"
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti UVCCM Dar: Maandamano yana misingi yake. Haya tunayoyaona yakipangwa mitandaoni hayana uhalisia wa madai ya msingi

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, amewataka vijana kuepuka kujiingiza katika wito wa kufanya maandamano yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba 2025, akisema kuwa maandamano hayo hayana msingi na yanachochewa na watu wenye malengo...
  5. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM: Waliohamasisha kuandamana wanatumia misiba ya watu kufanyia siasa

    Anaandika Mohamed Kawaida kupitia Ukurasa wake wa Instagram Waliohamasisha kuandamana wao hawakuonekana kwenye maandamano, sasa hivi wanatumia misiba ya watu waliowatoa muhanga kufanyia siasa na kupandikiza chuki. Tunahitaji kuacha kutumika kama zana za kisiasa na badala yake tuungane kama...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Mohamed Kawaida: Tumesikitishwa Na Kauli Ya Rais Wa TEC

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Maneno tumepita bila kupingwa yanaweza kuwa sumu kupunguza kura za Chama chetu

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amezindua rasmi kampeni za Udiwani katika kata ya Kashasha, jimbo la Muleba kusini na kuzungumza na wananchi wa kata hiyo kupitia mkutano wa hadhara ‎Katika mkutano huo Faris alionyesha masikitiko yake kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Wilaya ya Handeni avunja rasmi Makundi ya kiuchaguzi kwa vijana

    Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga Ndg. Shabani Lugendo amewataka vijana wote wa UVCCM Wilaya ya Handeni kuhakikisha wana vunja makundi ya kiuchaguzi ndani ya Chama na kuwaomba wasubiri jina la mgombea atakaye pendekwzwa na Chama Ameyasema hayo leo baada ya kufanya kikao cha...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma: Kundi lililotaka kuupora Urais wa Samia baada ya Kifo cha Rais Magufuli wamefahamika, hatutanyamaza

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amelaani vikali kile alichokiita juhudi za watu wachache wenye nia ya kukwamisha misingi, tamaduni na Katiba ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kueneza na kuhamasisha usaliti ndani ya chama...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma ajitosa kuwania ubunge Dodoma Mjini

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini katika uchaguzi mkuu ujao. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM, Juma Senkubo: Vijana Kilosa msiogope Wazee, mkagombee Uchaguzi Mkuu

    Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM )Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro wameanza kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu wa Udiwani,Ubunge na Rais unatarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba Mwaka huu kwa kuhamasisha kujitokekeza kuchukua fomu nafasi za Udiwani na Ubunge. Kupata matukio na taarifa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida: Sio kila anayepotea, katekwa na vyombo vya dola!

    Wakuu, Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea! ================================================ Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na vyombo vya dola. "Niendelee kusisitiza kwamba siyo kila anayetekwa, Siyo kila anayekufa ametekwa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma aonya Viongozi wa Dini Kuhusu Siasa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania inaongozwa kwa misingi ya sheria na si kwa presha ya mitandao ya kijamii...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 GEITA, Mwenyekiti UVCCM: Kabla ya kuwapa nafasi hawa waongo tukayaseme mafanikio ya Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea Mkoani Geita. Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Iringa Vijijini awataka vijana bodaboda kuwatetea viongozi wa serikali wanaposemwa vibaya

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya katika kuleta maendeleo kwa wananchi. akiongeza kuwa viongozi hao wamekuwa mstari wa mbele...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita, Manjale Magambo: Ukipigwa kwenye Kura za maoni usikimbie, baki ujenge Chama chetu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka wanachama wa chama hicho kutokata tamaa au kununa pale wanaposhindwa kwenye kura za maoni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  17. JamiiForums Tanzania Faris Buruhan Mwenyekiti UVCCM Kagera: "Mtaa Hautaki Digrii Unataka Ujuzi".

    https://www.instagram.com/p/DHI1LhfoRuR/?igsh=MTB5bGZnMjRteTR0ag== My take: CCM wametuamulia naona kauli ya waziri mkuu inazidi kusisitizwa.
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Mara awataka vijana kusaidia kuzuia wizi wa mifugo Rorya

    Kufuatia matukio ya mara kwa mara ya Wizi wa Mifugo katika Wilaya ya Rorya, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi Mkoani Mara, Mary Daniel amewataka Vijana wilayani Rorya kuacha kuvinyoshea vidole vyombo vya Dola kukomesha Vitendo hivyo badala yake na wao kuwa mstari wa mbele...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Hatufurahishwi kuona vijana wetu wanaondoka duniani kwa kutekwa! Tunalaani na kukemea matendo haya!

    Wakuu, Naona suala la utekaji limekuwa ni suala gumu mno imefikia hatua hadi CCM wameanza kupiga kelele. CCM tulieni. Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Haya makelele Chadema walianza mapema kulalamika kuhusu utekaji mkawaona hamnazo, jamii imekaa kimyaa kama haiwahusu vile. Naona sasa hii...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM, Geita: Boda boda Nyang'hwale msijihusishe na shughuli za kiuhalifu

    Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wilayani Nyangh'wale Mkoani Geita wameaswa kutojiusisha na Vitendo vinavyoweza kupelekea kuvunja amani sambamba na kutojihusisha na Shughuli za kiuhalifu . Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…