mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya Mweneseseme, Mzee Mohamed Said ni sita RAM GOEL AU R. C. Majumdar wa Tanganyika? Sehemu ya 1.Na Mkuluwanyika

    Na Mkuluwanyika. Hivi umewahi kumsikia Mshume Kiyate, Kleist Abdallah Sykes, Bilali Waikela, Iddi Tulio, Mzee Suleiman Taqadir, Tewa Said Tewa, Mzee Ali Said Mpima au Mzee Zibe Kidasi? Bila shaka kama wewe ni kijana wa kizazi kipya (Gen Z) au umeisoma historia ya Tanganyika kupitia vitabu vya...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzia: Mzee Wangu, Wilinasi Mwendawila Sikanyika Amefariki Dunia na Kuzikwa (1951 - 2026)

    Wana-JamiiForums, Kwa masikitiko makubwa na majonzi mazito, ninawataarifu kuhusu kifo na mazishi ya mzee wangu mpendwa, Mzee Wilinasi Mwendawila Sikanyika, aliyefariki dunia tarehe 25 Oktoba 2026 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya (iliyopo Wilaya ya Mbeya Mjini, Mkoa wa Mbeya) akiwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed Said aandike kitabu kuhusu kiongozi Muislamu aliyeua maelfu ya Watanzania akiwa madarakani

    Mzee wetu Mohamed Said ambaye kila kukicha anazungumzia kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika na kudai kuwa nafasi ya waislamu kwenye uhuru haikuandikwa vyema asisahau kuandika kuhusu kiongozi katili wa kiislamu aliyevunja rekodi ya mauaji ya raia october 29. Pia asisahau kuandika historia ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mzee Salim: Waandishi wengi wanajipendekeza ili kupata teuzi.

    Hii lina ukweli ndani yake👇
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mzee wa CHADEMA anena mambo mazito kuhusu kesi ya Tundu Lissu, haki itendeke!

    23 October 2026 Ikunga, Singida Tanzania MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ... Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
  7. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mzee wa miaka zaidi ya sitini lakini muonekano wa ujana kabisa

    Anaitwa chuan do tan ni Mzee alizaliwa march 3, 1966, Singapore ni mpiga picha kwa sasa kaingia kwenye mitindo baada ya makaampuni makubwa kumfata wafanye nae KAZI. jamaa mzee lakini anaonekana kama alizaliwa 2000, noma sana, jamaa kabeba tuzo nyingi sana za mitindo.
  8. JamiiForums Tanzania Yanga bora tumchukue Mzee wa Jambia awe msemaji. Hiki kituko kinachosha, hakina Mvuto

    Ukikitazama ki Ally Komwe hakina Haiba kabisa ya kuwa msemaji. Atafutwe Msemaji heavy duty ambaye akizungumza watu watamsimkiliza. Hiki kidogo watu wamekuwa wakikidharau na kusema maneno mengi. Kinajaribu kuiga usemaji wa Kidwanzi wa yule msemaji bogus wa Simba kinapwaya. Kinashindwa kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu mzee the rocky

    Miaka 70 amechoka sana USSR
  10. JamiiForums Tanzania Historia ya Mzee Joseph Mfugale kutoka kijijini Iringa na kujenga Peacock Hotel jijini Dar es Salaam

    Utajiri hauanzii kwenye fedha nyingi; wakati mwingine huanzia kwenye ujuzi, uthubutu na uwezo wa kuona fursa pale wengine wanapoona changamoto. Wakuu, leo ningependa kushiriki historia ya marehemu Mzee Joseph Mfugale, mfanyabiashara Mtanzania anayekumbukwa kwa kuanzisha Peacock Hotel jijini Dar...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee wa Madungu, Chris Lukosi, anawadanganya wateja wake anatest Aston Martin DB7 V12 wakati ni Aston Martin Vantage V8

    Sijui wivu au uchawi. Ila Kuna video nimeona amepost, anajisifu analeta Aston Martin DB7 V12, chuma ya James Bond, anaitest anaikanyaga mafuta mlio ukiusikia tu unajua hii V8. Pia milango inqonesha kabisa ni gari ya siku hizi, wakati DB7 iliishia 2004. Sijui, atawauzia Bei gani, ila Japan...
  12. JamiiForums Tanzania Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

    Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno Mafisadi Papa

    Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi" lenyewe na anaeleza jinsi alivyowaita hivyo na jinsi alivyopigwa vita. Mengi anaandika 2006 gazeti lake la Alasiri na The Citizen lilifanya uchunguzi likagundua kampuni...
  14. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mzee Magufuli alikuwa mtu mwema sana.

    Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama. Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi. " Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini"...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Katika miaka ya 1980 na miaka ya nyuma yake, machapisho na barua za siri au za asiyekuwa na jina zilizokuwa zikifichua kashfa, udaku, na masuala mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Mlimani) zilifahamika sana kama "Poisoned Pens" (au Poison Letters). Mwandishi au waandishi wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Jamani Mzee Warioba anaendeleaje?

    Tangu alipo pata mfadhaiko hakuna feedback hali yake ikoje. Aliye na ataarifa zake atujuze. Tunamuombea uponyaji.
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli Mzee mpili shabiki wa yanga kafariki dunia

    Hizi habari nimeziona USIKU huu
  18. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Mpili wa Yanga afariki dunia

    Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu. Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira...
  19. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba hakuisikia hii hotuba?, Anatuvuruga bila sababu.

    TUsiwalaumu wazanzibar kwa sisi kukosa serikali ya Tanganyika. Wakati Nyerere anayasema haya hata Mzee Warioba alikuwa hajafa, alikuwepo na yupo hadi sasa. Alimjibu nini Nyerere aipoyasema haya? https://youtube.com/shorts/oaqKz32hEsw?si=w9HDVY3pWZGaavNV
  20. JamiiForums Tanzania Mzee Wasira, kweli umenyimwa visa ya Marekani? 😃

    Nacheka kama mazuri, ila ndo ujue uko kwenye radar. Usijali mzee wangu, mabeberu hao wasikuumize kichwa. Twenzetu China 😎
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…