Bwana! Bwana! One time nilipokua in my early 20’s nilipitia changamoto moja hivi ya kikubwa, nilikua nimepanga chumba kimoja maeneo flan ivi Arusha mtaa mmoja ivi nyumba zimepangiliwa vizuri na waliachiana kama korido kati ya mji mmoja na mwingine. Nyumba niliopanga ilikuwa imepakana na Nyumba...