nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Nchini Kunufaika na Biashara na Malipo ya Kimataifa

    Wafanyabiashara na wajasiriamali wa Kitanzania wanatarajiwa kunufaika na biashara na malipo ya kimataifa kutoka mataifa zaidi ya 200 yenye uwezo wa fedha za kigeni zaidi ya 25 hatua ambayo inafungua fursa za biashara kimataifa . Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Lema Itafsiriwe kwa Kiingereza Ili Wazungu Wajue wazi kabisa Namna wanaharakati uchwara wamekuwa wakichochea Vurugu na machafuko hapa Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Lema ameongea ukweli Mchungu sana siku ya leo kwa kuonyesha namna wanaharakati uchwara akina Mange Kimambi na akina Maria Sarungi wamekuwa wakifanya uchochezi kuchochea vurugu na machafuko hapa Nchini huku wao wakijificha huko waliko ambako wanalishwa kama Makinda ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  4. B

    JamiiForums Tanzania TAIFA LINAPOANZA KUOGOPA;RAIS ANAJUA NINI ,BARAZARA MAWAZIRI LINASHAULI NINI NA BARAZARA LA USALAMA LA TAIFA LINALINDA NANI?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda. Leo, swali kubwa si kuhusu nani...
  5. JamiiForums Tanzania Ningelipata nafasi ya urais,ningekaeibisha wazungu kuhamia nchini.

    Binafsi huwa siiamini mentality ya mtu mweusi,iliyojaa uroho na ulafi mkali,namaanisha hata umuone mtu msomi kiasi gani na smart kiasi gani,ni lazima awe mwizi,mpiga deal mroho wa mali asiyetosheka,akili ya mtu mweusi haimtumi katika kuona basics nne za mwalimu nyerere, Mtu mweusi na tabia zake...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Amri ya Habeas Corpus Nchini Kenya na Fundisho la Mihimili Yetu: Je, Mihimili Yetu ni Ngome ya Haki au Vikaragosi vya Dola?

    Picha: Alama ya utawala wa sheria na kimbilio la mwisho la raia pale haki inapominywa Hatua ya Mahakama Kuu ya Kenya kutoa amri ya Habeas Corpus dhidi ya Serikali na Mkuu wa Jeshi la Polisi, ikitaka mwanaharakati Twaha Mwaipaya afikishwe mahakamani tarehe 2 Novemba 2026 akiwa hai au mauti, ni...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waomboleza mauaji ya 29/10

    Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania

    # Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania ## Je, taasisi ya kiroho inapovuka mipaka yake, nani anapaswa kuwajibika? Dini ni nguzo muhimu katika kujenga maadili, kuimarisha amani na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Vyuo vya Afya vinachelewesha matokeo ya Special na Supplementary

    Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo. Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni ashiriki mkutano wa mawaziri wa Mazingira wa Afrika nchini Armenia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) ameshiriki Mkutano wa Mawaziri kutoka Barani Afrika waliokutana kujadili msimamo wa Afrika na vipaumbele vyake ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa ngazi ya juu wa Mkutano wa 17 wa Nchi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

    Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili. "Hayo ameyaeleza...
  12. JamiiForums Tanzania waziri mkuu Mwigulu Nchemba arejea nchini akitokea marekani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Jimbo la...
  13. JamiiForums Tanzania Wachoma Nguruwe na Kula Nje ya Msikiti Kupinga Uislamu Nchini Korea

    Raia wa eneo la Daehyeon-dong, Buk District, Daegu huko Korea Kusini wameamua kuchoma Kitimoto na kula nje ya eneo ambalo kuna Ujenzi wa Msikiti ambao Waislam watautumia kwenye Ibada ikiwa ni sehemu ya kupinga Uislam na ujenzi wa nyumba hiyo ya Ibada. Uislam sio haram kwa mujibu wa sheria za...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wetu ndiye kinara wa tuzo ya THE TYRANT PRESIDENT OF THE YEAR 2025/2026. Tuzo hii isije tena nchini mwetu, imetuaibisha

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alitajwa kuwa mshindi wa tuzo ya kejeli ya "Tyrant of the Year" (Babe au Dikteta wa Mwaka) 2025 inayotolewa na shirika la kutetea uhuru wa kujieleza la Uingereza, Index on Censorship. Sababu za Tuzo Hiyo Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025: Alitangazwa mshindi...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yaendelea kuitangaza kahawa yake kimataifa katika maonyesho ya SCAJ 2026 Nchini Japan

    Wizara ya Kilimo,kupitia Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), kwa kushirikiana na Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Japani, inaendelea kutangaza kahawa ya Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Maalumu (SCAJ 2026),yaliyofanyika nchini Japani kuanzia tarehe 14 hadi 17 Oktoba 2026. Ushiriki...
  16. C

    JamiiForums Tanzania NIDA imetangaza kusambaza vitambulisho million 21

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud amewasilisha taarifa za utendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Chuo cha Zimamoto na Uokoaji cha Chogo, Handeni, mkoani Tanga, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU). Akiwasilisha...
  17. JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha John Pambalu kurudi Tanzania kutoka Mafichoni nchini Kenya?? Pesa za wafadhili zilimuishia?

    LILIKUWA ni suala la muda tu kuwa utafika lini ili Pambalu afike hapa alipofika sasa kwenye hatua za maisha yake hapa duniani. Amepata alichokuwa anahangaika kukipata kwa muda mrefu sana kwenye huu ujinga wao wanaofanya na kuuita ni siasa na hatakati. VIJANA wengi wa BAVICHA huwa...
  18. JamiiForums Tanzania SERIKALI YACHANGIA ASILIMIA 75 YA ONGEZEKO LA KILIMO CHA UMWAGILIAJI NCHINI

    Sekta ya umwagiliaji Tanzania imeendelea kukua kwa kasi, huku eneo linalohudumiwa na kilimo cha umwagiliaji likiongezeka kutoka hekta 561,383 mwaka 2020 hadi hekta 727,281 mwaka 2022, na kufikia hekta 983,466 mwaka 2025 ongezeko la takriban asilimia 75 ndani ya miaka mitano. Serikali inalenga...
  19. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Gen Z nchini Ufaransa

    Kumetokea vurugu kubwa nchini ufaransa yaliyosababishwa na waandamanaji maarufu wanajiita Gen Z Watu wanavamilia maduka nakuchukua vitu wamechoma majengo Lakini pamoja na yote hayo hakuna raia hata mmoja akiepigwa risasi inaonyesha jinsi gani wenzetu wa france wanajari utu wa raia wake...
  20. JamiiForums Tanzania Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…