ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Sudan hawana ndugu? Waliwakosea nini watu si waislam au WA Africa

    Amani iwe kwenu wakuu Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu anawazungumzia Je walikosea nini hawa watu? Hawana ndugu? Mbona Kongo ikiguswa kidogo tu kila...
  2. Nina shida na ndugu Mshana Jr

    Habari za wakati huu, Nina shida na Mshana Jr. Ewe ndugu Mshana Jr nimekutafuta PM lakini meseji haziendi. Uonapo uzi huu please naomba unitext. Shukran.
  3. DOKEZO Dereva Mtanzania anashikiliwa Sudan Kusini baada ya kugonga mtu, inadaiwa Polisi wagoma kumuachia wanataka hela

    Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
  4. M

    Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu

    Hello naitwa jenipha natafuta kazi ya receptionist naombeni msaada wenu 0713776534
  5. Wakuu, kama upo maeneo ya mwanangi au nasa ginnery tafadhali naomba unishtue. Kuna ndugu yangu nataka nikuulizie maana ni miezi sasa hayupo hewani.

    Ni vizuri zaidi kama ukiwa boda boda kama sio bado pia itakuwa fresh . Karibu
  6. Clouds FM kwanini mnasema wazi kuwa Yanga na Singida BS ni ndugu?

    Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo heshima Mmejiajiri media personnel wasio kuwa na waledi Yaani undugu wa Yanga na Singida BS unatoka...
  7. Ndugu zangu, muda mwingine sisi wenyewe tunawapa nafasi maadui zetu watudhuru

    Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa. Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta etc. Sijui lengo huwa ni nini? Kuwaringishia wengine au kuwahamasisha wengine. Nina mkasa wa rafiki...
  8. Kwanini ukiwasaidia watu ambao sio ndugu zako unabarikiwa sana ?.

    Habari . Mimi ni muumini mkubwa wa kutoa , Ila katika utoaji wangu huwa nikimsaidia mtu ambaye hatuna undugu wowote , baraka huwa zinarudia kwa kiwango kikubwa Sana. I need to understand kwa wataalamu wa mambo ya kiroho .
  9. G

    Naombeni kazi ndugu zangu nipate pesa ya kulipa ada

    Ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 na elimu ya kidato cha sita. Nilichaguliwa kusoma chuo cha IFM kampasi ya Dar es Salaam. Mwaka jana nilisitisha masomo baada ya kupungukiwa na ada. Ninatafuta kazi yoyote na ninaishi Kigamboni, Dar es Salaam. Niko tayari kufanya kazi kwa...
  10. A

    Naombeni ushauri ndugu zangu napitia kipindi kigumu mno.

    Habari za wakati huu, Waswahili husema penye wengi pana mengi. Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona hali bado si nzuri, kinacho nipa mawazo ni kwamba nina mdogo wangu wa kidato cha nne bado hajaripoti...
  11. R

    Ushauri wenu ndugu zangu

    Mimi ni Mama wa mtoto mmoja, sijaolewa ila nina kazi yangu nzuri tu ni Mhasibu katika Halmashauri moja hivi, kipato changu ni kizuri tena sana. Kuna mwanaume niko naye huu ni mwaka wapili ananipenda na mimi nampenda. Yeye naye ni mfanayakzi lakini katika kampuni binafsi. Kikipato namzidi hilo...
  12. Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

    Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana . So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless Kiko wapi
  13. Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

    Bro, chukua hii. Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo...
  14. Wapo Watanzania wapambanaji lakini hawajafanikiwa kwasababu ya kurogwa na ndugu au majirani zao

    Sijafanya utafiti wa kutosha kuhusu mikoa mingine, lakini karibu nimetembea mikoa yote ya Tanganyika. Hali zinafanana—utofauti ni mdogo sana. Turudi mkoani kwangu, Lindi. Kule, ndugu wa damu kabisa ndiye mchawi wako namba moja. Ni kama Yesu alivyosema: "Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake"...
  15. Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

    Umoja huu ni kwa ajili ya ma jobless pro max wote.bila ya kujali umri, jinsia au hata uzoefu. Lengo ni kumpa nguvu jobless, kumpa moyo na hata ushauri juu ya yale anayo yapitia. amini usi amini, Kuna vyama vya kutetea na kusikiliza kero na matatizo ya familia, wafanya kazi, Wana michezo. ila...
  16. Kwanini ndugu zetu Wahutu na Watusi wasipromote kuoana zaidi ili Kuongeza Ushirikiano na Amani baina yao

    Today's Decision are tomorrow Realities..., Nadhani hawa ndugu zetu ni kama Petroli inafuka inahitaji Spark (cheche) kidogo tu ili moto kuwaka...; Sasa kwa faida ya vitukuu vyao kwanini wasichanganyikane zaidi na zao la mchangayiko huo lisitengwe ?; Haya mambo mwisho wa siku ni perception tu...
  17. Hii misemo ya kijamaa imepotelea wapi ndugu zangu?

    Maisha ya zamani ilikuwa raha tupu:- ''Ingia bandani kamata kuku wawili tuchinje'' ''Ingia shambani vunja mahindi tuje tuchome'' ''Chemsha kahawa hapo jikoni ulete tunywe huku ukinihabarisha habari za huko nyumbani'' ''Hadithi hii inatufundisha nini wajukuu zangu?'' Nyakati hizi huwezi...
  18. Ndugu zetu wetu wa pwani hii aina ya ukataji viuno wa mabinti ilikuwepo tangu enzi au sasa imekuwa re-generated hadi kupitiliza?

    Kwa sisi tutakao nangoromboko vitu kama hivi tumekuwa kuviona huku kwenu. Mtundiko, baikoko, etc ni design ya ngoma zipatikanazo maeneo ya pwani, zimekuwa na maudhui ya wanawake kukata viuno hadi inakuwa "18+". Sasa sijui ni mabinti wa siku hizi wameongeza manjonjo hadi kupitiliza au tangu...
  19. K

    Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

    Wakuu huyu mwanamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahari. Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahari na ndoa jamani hii imekaa sawa?? Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli...
  20. Kijana huyu kaniumiza sana ndugu wabaya sana

    Hello Hii kitu ni ya ukweli kabisa sio kutunga nimeshuhudia kulikuwa na usahili hivi juzi huyu kijana unasemekana kwao ana chezewa na ndugu zake kapatwa na matatizo ya kutosikia kabisa mpaka uwe jirani yake ndio umshute aelewe kinacho ongeleka ila nje ya hapo hasikii Wakaita jina lake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…