nguvu

  1. G

    Kuna kipindi kunakuwa na msururu wa misiba ya watu unaowajua, huwa kuna nguvu yoyote kiroho?

    Wiki iliyopita Baba mkubwa wangu alifariki, Siku mbili zijazo kuna msiba wa jirani nyumba zetu pua na mdomo, ghafla tena kuna msiba wa mama wa jirani yangu wa ofisini,
  2. Mike Tyson na Evander Holyfield katika picha ya pamoja, nguvu ni kitu cha kuisha

    Hawa ni wababe ambao mwishoni mwa miaka ya 90 waliitikisa dunia katika ndondi. Moja ya pambano la kukumbukwa ni mmoja wao kung’atwa sikio. Kwasasa wamezeeka ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
  3. Nani mwenye nguvu anayeruhusu 'Mauaji ya Sumu' ndani ya CCM?

    Hii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU! Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula alilishwa/alinyweshwa sumu, Na leo Kwamba Makonda anataka kuuawa kwa sumu? Hii ni taarifa rasmi kwamba CCM ni...
  4. Dokta Greyson: Kutembea bila ya viatu (Peku) kunaongeza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba, akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio cha Times Fm, amesema kuwa tabia ya kutembea peku bila ya kuvaa viatu huongeza nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  5. Tabora United ndio hii iliyocheza na Yanga mpira wa nguvu na akili nyingi pale Dodoma ama ni wengine hawa?

    Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata? Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini nilichokiona Leo pale Aly hassani mwingi stadium ni kichekesho Cha kufungia mwaka! Wamefungwa magoli mepesi...
  6. Dokta Greyson: Kula huku unachezea simu hupunguza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio Times Fm, amesema kuwa tabia ya wanaume kula wakati wanachezea simu zao hupelekea tatizo la nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  7. Chama kina nguvu kuliko Serikali, hizo ndizo siasa za nchi yetu na za kikomunisti

    Kwa wale wote wanao shangaa maigizo ya makonda kukaripia viongozi wa kiserikali wanapaswa kufuatilia na kujifunza asili ya siasa zetu. Baada ya ziara ya Mwalimu Nyerere uchina na Tanzania kupitia mabadiliko makubwa ya kisiasa na kuanza kufuata siasa za kijamaa. Katika mabadiliko hayo nguvu ya...
  8. I

    Mataifa kumi yenye nguvu nyingi za kijeshi katika Afrika

    Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 zenye nguvu nyingi za kijeshi katika Afrika. --- The military stands as one of the most relevant institutions in the world, serving as a foundation for security and stability at the global, regional, and national levels. A recent index by Global Firepower's...
  9. Kama kuvamia Tanzania, adui haitaji kutumia nguvu ya Jeshi bali dini, rushwa na ujinga

    Tanzania ina madhaifu makuu matatu ambayo yameshaonekana mpaka sasa DINI, RUSHWA na UJINGA (NAIVETY). SOMO LA KWANZA: UFALME WA UJERUMANI (UJINGA or NAIVETY) Usidanganyike, huhitaji kutumia nguvu kubwa kuvamia taifa la watu ambao wamehalilisha rushwa kama sehemu ya utamaduni wa maisha yao...
  10. Hii herufi X ina nguvu gani za Siri?

    Ukiitizama kwa undani ina mambo mengi sana. 1.AXE 2.twitter X 3.1Xbet Yaani kifupi herufi X ina ujinga ujinga mwingi japo ndo tunaishi nao.
  11. A

    DOKEZO Dampo katika Soko la Stereo lililopo Temeke ni kero kubwa, Mamlaka ziongeze nguvu katika kuzoa taka

    Dampo lililopo kwenye soko la Stereo hapa Tekeme, Dar es Salaam ambapo ni sehemu kwa Wauzaji wa soko hili kuhifadhi takataka baada ya wao kufanya usafi kwenye maeneo yao, limekuwa ni kero kubwa kwa Wafanyabiashara na Wanunuaji wa bidhaa katika Soko hilo. Wafanyabiashara katika soko hili kwa...
  12. D

    Nguvu za kiume zinapotoweka ghafla!

    Pale unapopenda na kujenga taswira katika ubongo kisha unaenda kukuta ulichofikiria sio!
  13. Jamii za Ulaya na Amerika zimefanikiwa kuua/kuondoa nguvu ya asili ya mwanaume

    Sasa hivi Europe na américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo. Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke . Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50. Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya...
  14. Zanzibar wamejua sehemu wa kuweka nguvu wapate Pesa kwa miaka mingi ijayo. Tanzania Bara bado tumelala

    Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni. Rasilimali kubwa inayompa maendeleo ya kweli mwanadamu ni akili. Rasilimali si madini, si...
  15. R

    Tunategemea CCM waje na Katibu Mkuu mwenye nguvu ya ushawishi au waendelee kuwekeza kwenye tume na dola?

    Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina la katibu mkuu linaweza likawa na ushawishi kuliko jina la makamu mwenyekiti bara Ndugu Kinana...
  16. S

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndio nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za...
  17. Nguvu ya Waislam kupigania haki iliuliwa na Nyerere

    Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA. Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana...
  18. Hakuna mjadala, Visungura vinaua nguvu kazi ya vijana, havina tofauti na viroba, serikali itoe tamko juu ya mauaji haya ya makudi

    Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii. Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga...
  19. Majina ya kitanzania yanayosound kimamlaka na nguvu

    Kuna majina ukiyasikia tu unaona hili linawakilisha mamlaka. Yaani jina linakuwa na nguvu ndani yake. Umewahi sikia jina gani la mtanzania ukasema hili linasound kimamlaka na nguvu hasa? 1. Jidula Mabambasi 2. Kaselabantu 3. Fundikira 4. Kunjakuwili 5........
  20. Mwaka wa vipawa na nguvu za Mungu

    Ni mwaka mpya ninafurahi kwa kila ambaye atasoma uzi huu ujue umeundwa kwa ajili yako Wewe utesekaye na kulemewa mwilini hadi rohoni basi leo miujiza ya Mungu itakuwa pamoja nawe. Swali kuu ni umewahi muhisi na kuisikia sauti ya Mungu wako, umewahi omba hapo hapo likatendeka? Mungu wako si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…