Tuwe makini na nguvu ya maneno, kiongozi wa Iran aliwahi kusema Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia

Tuwe makini na nguvu ya maneno, kiongozi wa Iran aliwahi kusema Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Leo ni siku ya kina baba duniani, mojawapo ya kitu nimeskliza kwenye ibada ya leo ni umuhimu sana wa sisi akina baba kuwa makini sana na kinachotoka midomoni mwetu, maneno hukata kuliko hata mabomu au upanga.
Ikumbukwe kuna rais wa Iran aliyewahi kusema anatamani kuona Israel inafutwa kwenye ramani ya dunia, hiyo alisema miaka 19 imepita.

Mahmoud Ahmadinejad ameshajizeekea hata sijui kama bado yuko hai, lakini hayo maneno alisema kipindi hicho ndio yamesababisha taifa lake linateseka hadi leo, kila likitaja kutaka kuwa na nyuklia hata ya kutumika tu kama nishati inaibua hisia kote. Inawezekana kizazi cha leo ukiondoa lile gaidi la uislamu Ayatollah, labda Wairan wengine wote wana nia njema na nishati ya nyuklia, lakini hayo maneno ya huyo rais hayajafutika.

Juzi tumeshuhudia uongozi wa jeshi la Iran ukifutwa, wanasayansi wabobezi wa nyuklia, ambao kuwaelimisha mpaka wanafikia hapo ni gharama kubwa sana, wote wamefutwa, na mpaka sasa Israel inaendelea kulipua miundo mbinu muhimu sana ya Iran ambayo imegharimu miaka mingi kuijenga, na hatujui lini Israel wataacha kupiga.
Iran wanajitutumua kujibu kwa kupiga apartments za wananchi wa kawaida, wamefaulu kuua raia watano.
====================================

Israel should be wiped off map, says Iran's president​

Iran's new president created a sense of outrage in the west yesterday by describing Israel as a "disgraceful blot" that should be "wiped off the face of the earth". Mahmoud Ahmadinejad who is more hardline than his predecessor, told students in Tehran that a new wave of Palestinian attacks would be enough to finish off Israel.

The populist leader's comments [See footnote], reported by the state-run media, come at a time when Tehran is under pressure over its suspect nuclear weapons ambitions and alleged involvement in attacks on British troops in Iraq.

He said: "Anybody who recognises Israel will burn in the fire of the Islamic nation's fury, [while] any [Islamic leader] who recognises the Zionist regime means he is acknowledging the surrender and defeat of the Islamic world." He was addressing a conference titled The World Without Zionism.
 
Hawa jamaa, Imani yao ya kukaririshwa bila tafakuri inawafanya kumuona kila mwenye imani tofauti na wao ni adui. Mohamed alifanikiwa sana kupandikiza uadui usio wa lazima vichwani mwa waumini wake.
 
Back
Top Bottom